Chizi akachomoa fasta akachukua nguo akanivalisha fasta mama mkwe anasema jamani vipi.
Baba mkwe akajifanya kazimia mkono upo kwenye nanii yake yani naisi aliisi aibu kubwa.
Ndani ya moyo wake vile vile aliofia kipigo cha nguvu kutoka kwa chizi ndio maana kazuga kuzimia bahati nzuri chizi na yeye akavaa akamwambia mama yake toka nje acha nioge uyu atazinduka na maji nitakayokuwa najimwagia mimi na dear dear dear wangu.
Mama mkwe akajiuliza nini kimemkuta mumewe na alimuacha sebuleni Sisi ndio tulikuwa chooni sasa anajiuliza uku anaondoka.
Chizi akanivesha kanga mimi nikaoga na kanga chizi anafanya kusudi anaoga uku anakojoa baba yake kalala chini kojo maji vyote vinapita kwake ametuliya tu yani amejikausha atikisiki ata kidogo yani ajazimia uwoga tu na aibu.
Tukamaliza kuoga tukatoka tukamkuta mama yupo sebuleni kajiinamia moyoni anasema nini kimemkuta mumewe.
akatoka kwenda kumwangalia chooni akamkuta yupo vile vile akaenda kuchukua bajaji ili ampeleke osp.
Sasa mimi na chizi tupo chumbani kwa chizi japo wanamuona chizi mtaani ila family yake imempa chumba kizuri na vitu vya ndani vipo sawa niliwapenda wakwe zangu awakumchukulia chizi anafaa kulala chini.
Basi kumbe baba mkwe alinyanyuka akaenda kuchukua begi la nguo akawa anakimbia kwa aibu kashajuwa chizi kamstukia sasa akawa anawaza kaniona mimi kwa bibi kwangu je uyu chizi atampa kipigo gani akaona Bora ainusuru roho yake akakimbia.
Sasa mama mkwe anakuja na bajaji anamuona mumewe anakimbia akamwita mume wangu nini kimekukuta.
akazidi kuongeza spead yani nduki kama wanavyosema watoto wa mjini.
Deleva wa bajaji akamuuliza kwani imekuwaje??
mama mkwe akasema mazingila aliyomuacha na mazingila aliyomkuta.
Deleva wa bajaji akasema mama uyu mumeo amewachungulia shukuru na mwanamke wake itakuwa na walikuwa wanafanya yao ndio maana mzee na yeye umemkuta amedondoka kwenye mazingila ayo wazee awa wanazeeka vibaya enzi zao video zilikuwa amna kwaiyo awajamaliza kuchungulia sana sio kama Sisi tumeangalia sana video za ajabu mpaka sasa wamefungia lakini wajanja wenye fani izo wanazo mama achana nae yule kinamsumbua aibu si chengine.
Mama akasema kweli dunia ina mambo akaingia ndani kutupikia chakula jibu akawa amepata sasa.
Sasa akaja mama yule aliyempa ushauri mala ya kwanza yeye asiende kumchoma chizi sindano maana ata yeye alikuwa na wazo ilo akamwambia shoga yangu siku izi autokei kwenye maombi kwanini sikuoni kwenye maombi wala madua nini kimekukuta au ushakata tamaa??
Mama mkwe akasema shoga yangu naanzaje kukata tamaa sema mwenzio nimetingwa na uyo ninayeenda kumuombea kila siku kafanya aya.......,.............
yote mama mkwe akamwambia shoga yake.
Shoga yake akamwambia yote aliyofanya mwanao ni ya uzima Mungu ameanza kuwa pamoja na wewe je mwanzo alikuwa anaweza kufanya ayo inabidi mshauri na yeye aende kwenye maombi na uyo mwanamke wake pamoja na kwenye dua mungu atafanya muujiza kwenye maisha yao kwa mungu akuna kubwa kiwete anatembea kipofu anaona ata yeye atapona nakwambia wewe ni mwanamke simama kwa mwanao kama ulivyosimama kumleta duniani ukamchunga na moto na majanga yote utotoni usishndwe ukubwani.
Mama mkwe akasema sawa basi NISAIDIE kupika tumalize tuwaite tuwaambie inawezekana mungu ametenda kitu juu ya maisha yangu maana mimi nilikuwa naitwa mama chizi sasa naona naenda kuwa bibi naona kwenda kumuona mwanangu anapona naenda kuiyona ndoa ya mwanangu mungu nionyeshe ninayoya fikilia mimi kichwani mwangu.
Walipika wakamaliza wakatuita sebuleni tule chizi akasema mama uyu rafiki yako wa pekee kabisa naona amani kwenye moyo wangu baada kumuona yeye naomba nikwambie kitu mama sijawai kukwambia mama nakupenda sana naludia nakupenda sana ukitoka wewe kwenye upendo wangu anafata uyu my wangu my wangu nampenda sana kuna kitu naisi kipo kwenye moyo wangu kinanisukuma kuongea kilicho nisibu mama naona TV mbele yangu ya maisha yangu mama nipeleke popote kanisani au msikitini mama kuna kitu nataka niongee mimi.
" swala la kula likasitishwa tukatoka kuelekea kwenye maombi mimi nikawa nimechanganyikiwa chizi wangu anataka kuongea nini maana si kwa kuwa sura ya msisistizo aliyonayo chizi.
Upande wa baba mkwe alikutana na baba yangu mama yangu na babu wa chizi stendi ya mabasi baba mkwe alikuwa anataka kusafili yani akimbie kwenye mji lakini na babu wa chizi walishuka kwenye basi wakotokea shamba babu akamuuliza baba mkwe vipi yule binti yupo na mwanao??
Baba mkwe akasema wapo nyumbani mimi nasema nimetoa luxsa mwanangu aoe mimi naondoka kwenye huu mji yamenikuta makubwa acha niondoke.
Baba akamshika mzee mwenzie yani baba mkwe akasema twende tukayajenge yule mwanao na mwanangu wanapendana kweli na ngumu kuwatenganisha twende mimi na mke wangu akuna amani akageuka amesema mapenzi ayana mwenyewe yeye amempenda shukuru na amempokea kiroho safi.
baba mkwe akasema shukuru sio chizi kamzidi timamu.
Baba akasema unamaanisha nini??
Baba mkwe akasema shukuru angekuwa na simu ningempigia sio kwa utamu ule amemzidi timamu.
baba akasema unachosema mimi sikijui na unachomaanisha.
Baba mkwe akasema shukuru angekuwa na simu ningempigia awafate maana dah.
Baba akamshika mkono akamwambia twende naona ata sikuelewi.
Sasa baba mkwe anajuwa kwanini ataki kuja lakini analetwa sasa.
Na Sisi tumefika kwenye uma wa watu akasema jamani hapa hapa nataka niseme mimi.
Shukuru akatoa sauti kubwa tangazo tangazo tangazo naombeni utulivu.
Wote wana mjua chizi ambaye ndio shukuru wakasogea sasa wale wenye simu zao wasione jambo washachukua washakaa tayari maana wale ata kwenye ajali wao wanachukua video tu.
Sasa chizi akaanza kusema mimi naitwa shukuru nimewaita niwaambie ukweli wa maisha yangu ni........
CHIZI UNGEKUWA NA SIMU NINGEKUPIGIA SI KWA UTAMU ULE UMEMZIDI TIMAMU NO 22
AGE 18
YA MWISHO
Mimi naitwa shukuru nasema kutoka moyoni binadamu si watu wazuri ila Mungu yupo pamoja na kila anayeomba mimi nafahamika kwa jina la chizi uchizi huo mimi sikuzaliwa nao mimi nimemaliza la Saba nikalogwa kwa ila kwa dhana mbaya ila aliyeniloga mimi kashatangulia mbele za aki aligongwa na gali akafa sababu ya kulogewa nitamwambia mchungaji wangu uyu mmemuona.
" watu wote macho kwangu mala namuona baba mama na babu wanaingia na wao pale sasa naangalia pembeni nawaona wale wambea pale nyumbani wapo chizi akaendelea.
Ugonjwa wangu mimi mama yangu mzazi alikata tamaa akadhani siponi akataka aende kunivunja nguvu za kiume yani niwe si mwanaume tena lakini mama uyu hapa shoga yake akamwambia yupo Mungu Mungu asiyeshindwa na kweli maombi madua yamenisimamisha tena baba yangu yule na yeye alisema mimi nivunjwe nguvu za kiume baba ludi nimekusemehe kwa yote unayoyajua wewe kwani kichwani mwako uliluuusu shetani ashike nafasi.
Nampa sifa mke wangu uyu mtalajiwa amekuwa na utayali wa kunibebea mimba nani kati yenu anaweza akakubali kuzaa na chizi naisi akuna wengi wenu mlimcheka na kumuona kama anadhalilisha wanawake sasa nasema naludia tena nasema msikate tamaa na watoto wenu wenye matatizo ya akili inawezekana binadamu kaamua lake na ushetani wake ila wewe mzazi simama na Mungu Mungu amtupi mja wake na si kwenda kuwavunja nguvu za kiume watoto wenu wa kiume nasema la mwisho namshukulu Mungu kama lilivyo jina langu shukuru asante Mungu ASANTENI kwa kunisikiliza jina la Mungu litukuzwe.
Wote walisema milele amina.
Baba yangu alifulai sana pamoja na mama yangu.
Tulifunga ndoa mimi na chizi ndoa ya kawaida sana alafu chizi akasema sherehe anaenda kufanyia kijijini alafu akasema atapeleka zawadi kwa wana kijiji wote.
Baba na mama waliludi kijijini wakisubili siku ya sherehe.
sasa mume wangu ndio akaniambia mimi siri akasema yeye aliokota pesa ya mwarabu akujuwa kama ya mwarabu akaenda kuficha ndipo akaludi shule kufanya mtihani sasa wakati anataka awaambie wazazi wake kama kaokota pesa ndipo kumbukumbu yake iliishia hapo ilianza kuludi kumbu kumbu akiwa kijijini lakini kuna muda zinapotea sasa amepona kweri yule mwarabu mungu amemlipa anachostahili pesa zilipo napajua njoo uzione mke wangu.
Kumbe zipo kwenye koba lake alafu kalifunga vizuri kufungua dolla tupu.
Mume wangu akanijengea nyumba kama asante kwa kumpenda akawajengea wazazi wangu alafu akapeleka solar kila nyumba kijijini wote walimpa balaka bibi aliyetupa mpunga akajengewa nyumba mzuri na mama aliyemshauri mama yake akampa zawadi ya nyumba akampeleka sadaka kanisani na msikitini.
Tuliofanya sherehe kijijini.
Mimi nikajifungua mtoto akamwita akbar.
Ukikatisha jina la mwanangu lakini tafsili yake Mungu mkubwa.
Sasa mimi na shukuru ni mke na mume.
Mwisho mwisho mwisho
Endelea KUFATILIA HADITHI zangu zengine.
All the best
KWETU morogoro.