Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

πŸ“πŸ“ ILA KWA MPARANGE 😒 Sehemu ya kwanza

27th Jul, 2025 Views 220

.

Unasemaje?

" Sauda apokei simu.

" Umempigia na ile namba nyengine.

" Ndio mama ila apokei simu alafu ndio ngoma uku inataka kuanza.

" Mchana aliwajibu nini?

" Alisema Atakuja anamsubili mumewe amuombe ruxsa.

" Basi acha nimfate mimi hapo kwa mumewe.

" Mama usisumbuke muache.

" Nimuache nini mbona nyinyi kwenye harusi yake mlikuja mpaka ikanoga yeye kwanini asije naenda kumchukua.

" Sawa mama.

( Mama sauda akazuiliwa na mumewe)

" Mke wangu saizi usiku na sauda kwenye ndoa ndio kwanza siku 9 Leo unaenda kufanya nini?

" Mume wangu sikia nikwambie sauda anao mashoga zake na ndio walifanya shughuri ikadamshi sasa Leo shoga yake kwao kuna mdundiko Kesho anaolewa yeye kinachomfanya asije nini?

" Mke wangu inawezekana akaja Kesho kwenye ndoa.

" Aiwezekani wenzake awajaja kesho yake tulikesha nao hapa wewe ukumbuki inamaana ata mwezi bado mpaka ulisema kiwanja kidogo ichi watu walijaa.

" Sasa naomba wewe ulale inawezekana mumewe ndio kamkataza kutoka usiku.

" Bora amuache mwanangu amtenganishe na marafiki zake yeye anaona makabati yale anajua nimenunua mimi manguo kama yote anajua nimenunua mimi nguvu ya marafiki wamefanya jeuli yote ile Leo aseme amkataze acha niende hapa kwa mpalange na mbagara sio mbali.

" Mke wangu utafika usiku sana utaonekana mama mkwe wa ovyo.

" Acha niwe wa ovyo tu ndio mama yake mkwe hao wazima wa wenzie.

( Mama sauda aliondoka na dela tu kutoka kwa buza kwa mpalange mpaka mbagara rangi tatu na kwa sababu usiku akuna mtu aliyemshangaa...ila mumewe akili inamjia mama sauda kashaondoka anawaza mkewe kavaa kweli nguo ya ndani....mama sauda anafika nyumbani kwa mume wa sauda anagonga mlango..anayefungua sauda na yeye yupo na dela tu wakati huo mumewe anaoga)

" Aya wewe kinachofanya usipoke simu za wenzio nini?

" Mama Shikamoo kwanza.

" Nijibu kwanza Shikamoo achana nayo.

" Mume wangu kanikataza kwenda kwenye ngoma.

" Aya toa kwato zako twende.

" Wapi?

" Kwenye ngoma.

" Mume wangu kanikataza amesema Kesho tutaenda wote kwenye harusi ila Leo nisiende kwenye ngoma.

" Wewe sikia kama wote wangekuwa wanasikiliza waume zao pale siku ile kwenye mkesha wako wangekuwa watu nasema twende.

" Subili basi mume wangu atoke kuoga.

" Muage uko uko bafuni nasema twende sitaki aibu mimi uswahirini napajua vizuri kama utakuja kubadilika shughuri utaki miaka mitatu mbele uko sio mwezi huu watu wamefanya jambo wewe utaki kufanya jambo.

( Sauda anaona mtihani umemfikia sijui afanyaje anajiuliza ndoa na mama...akaenda kwenye mlango wa bafu anamuaga mumewe)

" Mume wangu mama kaja kunichukua.

" Sawa nenda.

( Sauda anatoka anamwambia mama yake)

" Acha nivae nguo nyengine twende.

" Wewe twende mwili wako na wangu unafanana utaenda kuvaa nguo yangu Kesho unaenda kwenye ngoma unataka uvae mparo ukachangamke kama wenzio walivyochangamka kwako.

( Sauda anaondoka na mama yake uku na yeye kavaa dera kalichomekea kidogo kwenye nguo ya ndani...wanafika kwenye ngoma mpiga ngoma akazima ngoma akamwita mama shughuri akamwambia)

" Naomba yule Bint anayekuja nikalale nae kidogo nije kuendelea.

" Sawa acha nikaonge nae.

( Mama shughuri anamwita sauda pembeni maana mpiga ngoma kagoma anataka goma hii ni kawaida kwenye ngoma izi akamwambia sauda)

" Sauda kama vile kwenye ndoa yako tu mwenzio alikustili uyu anayeolewa Kesho shoga yako alimpa mpiga ngoma kidogo alafu mambo yakawa Sawa sasa Leo mpiga ngoma kakuchagua wewe mstiri mwenzio kampe kidogo mambo yaende Sawa hapa.

( Sauda kazi sasa kwake akampe mpiga ngoma kama mwenzie alivyotoa kwenye harusi yake au akatae aharibu shughuri sauda alikaa kimya kidogo mama wa shughuri akamuuliza)

" Sauda autaki au?

ITAENDELEA
Sauda atakubali..?
Je akikataa itakuwaje..?

Usikose EPISODE ya pili.

KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

πŸ“πŸ“ ILA KWA MPARANGE 😒 Sehemu ya kwanza  >>> https://gonga94.com/semajambo/ila-kwa-mparange-sehemu-ya-kwanza
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest