Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’— SEHEMU YA 01

27th Jul, 2025 Views 26



"Ni binti mrembo ye hufanya kazi katika hotel moja hivi..asubuhi wakati amelala simu yake iliingia msg na ule mlio wa simu ukamshtua kutoka usingizini.."

"Jamani nimechelewa na leoo" aliinuka huku analalamika haraka haraka alioga na kuvaa
nje kulikuwa na dalili za mvua kunyesha Vicky alipitia sweta la dada yake juu ya kochi haraka na kutoka ...

Alichukua boda haraka kuwahi sehemu yake ya kazi ambayo anafanya kama kibarua baada ya hapo anaelekea chuo ..
Hoteli anayofanya usafi Vicky ni Hoteli kubwa sanaa hotel ambayo inakutanisha watu maarufu mbali mbali vigogo ,matajiri na hata mastaa wakubwa hufikia hapo ...

Siku hiyo hotelini hapo kulikuwepo na mgeni mmoja hivi tajiri sana alipumzika katika chumba namba 457 jina lake ni Alberto

Alberto ni mfanyakazi mkubwa sana na anamiliki utajiri mkubwa..alifika hotelin hapo kwa ajili ya mapumziko ya siku

Yeye anaishi nchi za nje huko na miaka michache iliyopita Alberto alipoteza familia yake wazazi wake na mdogo wake ambao waliaga dunia kutokana na ajali mbaya ya gari..

miradi yote na mali zote zilibaki chini yake , baada ya vifo vya familia yake Alberto alianza rasmi kusimamia biashara zote na hivo akaamua kuwekeza nchi za afrika ilipo asili ya mama yake ,

katika uchunguzi wa wapi awekeze
Ndipo aliichagua nchi Ya Tanzania yenye madini mengi sana ..

Ni siku moja tangu afike Tanzania katika hotel hiyo anayofanya kazi vicky binti mrembo na mtam kama sukari..

Siku hiyo Vicky alifika kazini kwa kuchelewa sana alianza majukumu yake haraka na kama mnavyojua kazi yake ni usafi alifika katika chumba alicholala Alberto kwa ajili ya kufanya usafi..

Mida hiyo Alberto alikuwa anaitizama saa yake muda wote maana alikuwa na safari ya kuondoka nchini Tanzania kuelekea huko majuu..

Yalibakia masaa machache tu hivo Alberto akaona ni vyema ayamalizie kwa kuendelea kulala.. wakati anautafuta usingizi wa asubuhi ghafla Alberto alipatwa na ugonjwa wa ajabu sana..

Joto kali lilianza kumvuja nguo zote akaona zinambana mwili ulikuwa unatetemeka huku kiu kikalii kikiwa kinamtesa

Alidumu kwenye hali hiyo kwa muda, hata kujisogeza kitandani alishindwa sauti haikuwa inatoka alipambana kuomba msaada sauti ikawa inaishia tumboni akawa mtu aliekata tamaa kabisaa

Gafla Kengele ya chumbani kwake iligongwa , Taratibu akajiinua kusogea mlangoni kwa tabu tabu hivyo hivyo ..

Aliekuwa mlangoni ni mwanadada vicky pamoja na vifaa vyake vya usafi..

Alberto aliufungua mlango hivyo hivyo kwa tabuu akakutana na Vicky mlangoni..

"Hello mi ni mfa...."

"Help me please, Help me.." kabla hata vicky hajamaliza kujitambulisha kazi gani imemuweka hapo

Alberto alimvuta kwa nguvu chumbni huku akimuomba msaada kwa lugha ya kingelezea
Vicky akabaki anashangaa na Alberto akaufunga mlango kwa nguvuu

"Una shi..." Vicky alitaka kumuuliz Alberto shida yake nini mana alionekana ni mtu anaepitia maumivu fulani makubwa sana

Wakati Vicky anashangaa ghafla Alberto alianza kumtoa ngu😳..Vicky akaanza kujitetea lakini wapiii Alberto alimzidi nguvu akamkabili Vicky na kuvunja uschana wake ambao yeye aliulinda tangu anajitambua mpaka sasa yupo chuo hakuwahi kuwa na mahusiano

Bila hata kujua kwanini anafanyiwaa hivyo ,Alberto alifanya mpaka alipo maliza Shida yake ndio akamuachia vicky, baada tu ya kumaliza Jambo lake Alberto ule ugonjwa wa ajabu ulipotea nguvu zikarudi kama kawaida na akili yake ikakaa sawa , ...

Aliinuka haraka kutoka kitndni muda umeenda sana bado dakika chache tu ndege ya Ticket aliyokata iondoke ...

Wakati huo Vicky alikuwa amejibana pembeni kabisa ya kitnd analia uso wake alikuwa amegeuzia upande mwingine

Alberto aliwasha Taa ili amtazame , taratibu alisogea ili kumgeuza walau autazame uso wa mrembo huyo alietembea nae kwa dakika hizi chake ,

wakati ndio ameshika bega simu yake iliita kijana wake akamwambia kuwa wanachelewa ndege ilibdi aachane na vicky haraka akaanza kufanya taratibu za kuondoka pale hotelin..

Wakati Alberto anatoka aligeuka akamwangaliaa Vicky aliekuwa ameificha sura yake alivua saa yake ya thamani akasogea na kumuwekea kwenye mfuko wa Koti alilokuwa amevaa Vicky

Baada ya hapo Alberto aliondoka zake akamuacha Vicky pale chmbn akiwa katika maumivu makali sana baada ya Alberto kuondoka

Vicky taratibu nae alijikokota kwa maumivu huku analia akainuka kitndni aondoke zake
Kilichoomuuma kwanini watu wenye pesa wanadharau sana kwanini amfanyie hivyoo??

Alberto alipotoka mule chumbani alikutana na walinzi wake parking akamwambia msaidizi wake mmoja anae muamini sana kuwa

(kuna binti amenisaidia naomba mpe kila anachotaka mpe kila kitu mpe pesa, mpe maishaa , Yupo katika chumba nilichokuwa ana koti la maroon naomba msaidie tafadhali)........

Dada yake Vicky yeye alipo Maliza kujiandaa kwa ajili ya kwenda chuo aligundua koti lake halipo na kulikuwa na baridi sana siku hiyo , aliuliza aliechukua koti lake mama yake akamwambia Amechukua Vicky !

"Aah sipendi kuvaliana nguo ,aisee sipendiii ngoja nimkute huko huko"

yeye anafanya kazi anashindwa kununua nguo zake na nina mkuta huko huko mfyuuu ...

"We masha nae ni mkorofi mbona we unavaa nguo zake sanaa "

Mama masha aliongea huku akimwangalia masha.. masha na vicky ni marafiki tu hawana undugu wowote..

walikutana chuo kwakua Vicky alikuwa ametokea kijijini akaja kusoma chuo mjini
masha alimuomba aje kwao waishi wote, ili kukwepa Gharama za Hostel

Vicky alianza kuishi kwa kina Masha akaona ili kupunguza Gharama za maisha bora atafute kibarua na ndio akapata hapo hotel kama mfanya usafi tu ..

Kazi yake sasa imemtokea puani sijui hata ni nini kitampata binti huyu..

Masha alitoka haraka haraka na kipikipiki chake kidogo alichonunua ili kurahisisha usafiri ,
Akaenda mpaka pale hotelini akauliza mapokezi kama Vicky amefika hapo akaelekezwa chumba alicho kuwa anakifanyia usafi

Muda huo Vicky nae alikuwa amejikokota kutoka kitndni akachukua koti lake taratibu bila hata kujua humo ndani imewekwa saa tena saa ya gharama kubwa sanaa..

Wakati anafungua mlango kwa ajili ya kutoka na Masha ndio alikuwa kafika wakakutana mlangoni
Masha akamwambia Vicky tena kwa kufoka
"Sipendi bwanaa na kila siku nakwambia sitaki nguo zangu bwana aaah"

Masha alisonya huku analivuta koti lake mana Vicky alikuwa amelishika mkononi.. vicky aliliachia koti la watu bila kujua kule ndani aliwekewa kitu cha thamani kubwa sana..

Je nini kitafuata??

Itaendeleaaaaaa
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’— SEHEMU YA 01  >>> https://gonga94.com/semajambo/billionea-ndani-ya-hoteli-sehemu-ya-01
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest