"Mbwa huyu kwanini anifanyie hivi!...kwanini aondoke bila kujadiliana na Mimi" Chris alilalamika
Simu yake iliita, alitaka kuvunga kupokea lakini baada ya kuona ni namba ya ofisi alipokea
"Njoo haraka kazini...."
Kauli hii ilimfanya asahau kama kavurugika sababu ya Jamila.
Alipanda gari lake kisha akaondoka gari kwa kasi ya 4G.
Kulikuwa na operation kama tatu hivi, zote zilikuwa ni za moto balaa.
"Huenda leo hospitali yetu ikawa maarufu...hawa watu wamepita katika hospital kubwa lakini zote wameshindwa kuwasaidia naomba ufanye kitu kitakacho ushangaza ulimwengu...pindi mambo yatakapoenda vizuri kuna kitu nitakuambia" Babu yake Dorin (Mmiliki wa hospital hii) aliongea
Siku zote huwa ana mkubali sana Chris
"Nitajitahidi kadri ya uwezo wangu..." Chris aliongea kisha akaanza kujiandaa kwa ajili ya kuingia kwenye chumba cha upasuaji. Alihitaji kuanza na Kijana mdogo kuliko wote aliyeonekana kuwa kwenye maumivu makubwa kuliko wote.
Dorin akiwa na Babu yake ofisini walikaa kwenye meza kwa ajili ya mazungumzo
"Umekuwa mtu mzima sasa....baada ya Chris kumaliza Operation zote tatu tutahitaji kuzungumza, naamini unampenda pia hivyo sitatumia nguvu nyingi katika hili"
Dorin aliachia tabasamu hakuwa na kitu cha kusema kwa sababu anampenda pia.
Operation zote zilienda vizuri, Chris alikuwa amechoka kupita kiasi alihitaji kupumzika na si kuzungumza na mtu yoyote yule.
Aliingia kwenye gari lake akaelekea nyumbani kwake. Anashangaa baada ya kukuta nguo nyingi zimeanikwa kwenye kamba. Bustani yake ilikuwa imemwagiliwa vizuri....
Sebule na nyumba kwa ujumla ilikuwa inanukia vizuri.
Anashtuka zaidi pale alipomkuta Jamila jikoni akipika.
mikwaruzo iliyokuwa kwenye mikono yake aligundua mtu huyu aliruka ukuta
"Mlango wa sebuleni haukuwa umefungwa... ilikuwa rahisi kwangu kuin..." Kabla Jamila hajamalizia sentensi yake Chris, alimkumbatia hakuamini kama anaweza kuongea tena. Na kitu kilicho mfurahisha ni kuona yupo nyumbani kwake
Walijikuta wakipelekana chumbani, kila mmoja alionekana kuwa na hamu na mwenzie kupita kiasi.
Kabla hawajaanza kupelekeana moto simu ya Chris ilianza kuita kwa fujo kana kwamba kuna mgonjwa hospitalini ana chungulia tundu la kifo. Alisitisha alichokuwa anafanya akapokea simu
"Njoo utufungulie mlango tupo hapa getini kwako....," Sauti ya Babu yake Dorin (Mmiliki wa hospital ya St. Peter) aliongea
Chris aliishiwa pozi kwa ugeni huu, uume wake ulipoa hatimaye ukarudi katika hali yake.
Itaendelea π₯
*SEHEMU YA KUMI NA TANO*
"Nisamehe kwa kuwa kalisha getini kwa muda mrefu..." Chris aliongea huku akijitahidi kuachia tabasamu
"Inaonekana ulichoka sana, na hata hivyo zile operation zilikuwa ni ngumu sana...." Babu aliongea huku akiongoza njia kuingia ndani.
Dorin alimfuata kwa nyuma akiwa kashaziona dalili zote za kuepo kwa Mwanamke ndani
"Operation za leo zilikuwa ngumu sana, lakini kila nilipofikiria hilo jambo ulilotaka kuniambia nilipata nguvu ya kupambana. Huwezi kuamini hadi damu zilinitoka puani" Chris aliongea
"Pole sana, ila nilimuambia Dorin wewe ni shetani la Madaktari hakuna kitu kinacho shindikana kwako" Babu aliongea huku akijichekesha
Dorin alionesha kufurahi pia lakini pua zake zilinusa k ambayo ilikuwa inaandaliwa kwa ajili ya kuzagamuliwa.
"Sitaki kukaa hapa kwako muda mrefu, nitaenda katika lengo" Babu aliongea
Moyo wa Chris ulishtuka hasa baada ya kujua Mzee huyu ana jambo la kumuambia.
"Wewe na Dorin wote mmeshakuwa watu wazima, mmekuwa mkifanya vizuri katika hospitali yangu. Ni wakati wa nyie kufanya vizuri katika ndoa yenu" Babu aliongea
"Una maanisha nini kusema hivi katika ndoa yetu!" Chris aliongea
"Naielewa hofu yako lakini Mimi si mtu wa kuomba mahari kubwa. Hivyo usiogope kumuoa Dorin kwa sababu kila kitu nitasimamia Mimi" Babu aliongea
Chris alihisi baridi ndani ya moyo wake kwa ujumbe alioambiwa.
"Nina haraka kidogo, mnaweza kuendelea na mazungumzo" Babu aliongea kisha akaondoka huku akicheka, alifahamu kila kitu kitaenda poa
"Nimejikuta ni kikosa kitu cha kumuambia Babu...." Chris aliongea
"Huyo Mwanamke aliyeko chumbani mlete hapa anisalimie" Dorin aliongea
"Umejuaje kama chumbani kwangu kuna mtu...." Chris aliuliza
"Pua zangu nahisi zimeharibikiwa kwa sababu naisikia harufu ya k ni kama mlikuwa mna andaana kwa ajili ya kuzagamuana, hata wewe tu akili yako inaonekana kukosa akili, usiniambie yule muuza karanga ndio yuko chumbani kwako" Dorin aliongea huku akitengeneza uso wa tabasamu kama mtego wa kupewa majibu mazuri
"Kwanini hukumuambia Babu kuwa Mimi na wewe ni marafiki tu sidhani kama angetamani kuja hapa...." Chris aliongea kirafiki zaidi
"Babu yangu atahakikisha hili jambo linakuwa atakavyo, itapendeza kama utaacha kumpotezea muda huyo muuza karanga anaweza kuwa mzuri wa sura lakini akawa mzigo kwako na hiki ndicho kitu Babu yangu hawezi kuruhusu. Ana kuchukulia kama kitu cha thamani sana" Dorin aliongea
"Nafurahi kusikia hivyo lakini nampenda huyo muuza karanga, nitakapo tuliza akili yangu nitaweza kumkabili Babu yako, nitamueleza ukweli kuhusu uhusiano wetu" Chris aliongea
"Babu yangu kazeeka na bado anaendelea kuzeeka,...nina uhakika Mimi na wewe ndio tutakuwa wasimamizi wa hii hospitali, naumia kuona malengo yake yatatakiwa kubadilika" Dorin aliongea
Chris alikosa kitu cha kuzungumza
"Unahitaji Mwanamke mwenye uwezo wa kulea watoto wako pindi utakapo kuwa kwenye wakati mgumu, unahitaji Mwanamke atakaye kuwa msaada kwa ndugu zako na kwa watu wengine kwa ujumla, huyo ndio aina ya Mwanamke unayetakiwa kummiliki na si muuza karanga" Dorin aliongea kisha akaondoka, hakuwa na sababu ya kuendelea kukaa hapa.
Chris akiwa katika kutafakari, allshangaa baada ya kumuona Jamila, hakuelewa ametoka chumbani saa ngapi.
"Wasikilize wanachosema naamini pia wapo sahihi lakini kabla hujawasikiliza wao naomba ujue nakupenda, nakupenda sana...." Jamila alijieleza
Mapigo ya moyo wa Chris yalianza kudunda zigzag, hakutarajia kama ametangaziwa upendo
Itaendelea
Full 1000
Whatsp 0784468229.