,Na walikuwa ni waogeleaji mahiri sana.Na hii ni kabla ya uwepo wa vifaa vya kisasa vya majini na ma Submarines, Ila hawa tayari walikuwa wana uwezo wa kufanya kazi za kiufundi ndani ya maji Kwa muda mrefu .Hawa kwa upande mwingine tunaweza kuwaita waogeleaji waliosahaulika.
Na walikuwa na uwezo wa kwenda chini ya maji hadi meta 30 kama futi 100 ,Na watu kama hawa ndo walitumika hata kurekebisha Meli "Ship"zilizotupa Nanga .Na walijenga hadi Bandari "Port" kubwa za dunia ya kale "Ancient World" kama Bandari "Port" Caesarea ,Hio ni moja ya Bandari "Port" bora za kale.
Na namna ujenzi huo ulivyofanyika bado una wa staajabisha wataalamu wa leo,Na hao watu wa kale walifanya haya kwa uzoefu tuu .Bila kutumia vifaa vyovyote hii ni zaidi ya historia ya kale ,Na hii inatufundisha kwamba kukua kwa akili hakutegemei muda.Bali ni pale udadisi wa hali ya juu unapokutaka na ujasiri binadamu huweza kufanya vitu vya kustaajabisha Naaam.