huo baada ya kuondoka, nikamleta Mchepuko wangu nyumbani.
Alipokuwa jikoni akipika, ghafla mke wangu alirudi bila taarifa wakaanza kugombana na akamwambia atoke jikoni kwake.
Mimi nilitoka chumbani mbio nikiwa nimevaa taulo tu baada ya kusikia zogo kubwa sana .
Nilipoingia jikoni, nilimkuta mchepuko wangu akitaka kummwagia mke wangu maji, lakini mke wangu akakwepa na maji yakanimwagikia mimi.
Yalikuwa ni maji ya moto, yakanimwagika mwili mzima hadi kwenye maeneo yangu ya kiume
Majirani walinikimbiza hospitali, mchepuko wangu akatoroka, na mke wangu amekataa kuniona wala kunijulia hali hadi leo.
Mke wangu ni mkali sana, na sasa anapiga simu za vitisho akisema anataka talaka yake
Nifanye nini?
Tafadhali, naombenj msaada wenu wa mawazo
Mke wangu bado ninampenda sana
NB: (Picha haihusiani na post).