Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

Waambieni mwanamke mwenye haya (anayejisitiri) kuwa kumuona kwake huleta msimamo na heshima nyoyoni mwa waliomzunguka na wanao mtazama

16th Jul, 2025 Views 25

,

na kwamba ndimi zetu, baada ya kumuona yeye, huendelea kumuombea dua yeye na aliyemlea(mama na baba yake).

Yaani wao wanapojistiri ni kama vile wao ni mahuurul Ayn wa duniani walioumbwa ili waweze kuwarekebisha na kuwafunza watu ubinaadamu ni nini.

Kila mwanamke anapojisitiri na kujiheshimu, huongezeka uzuri na nuru (mwanga wa ndani) na hukua thamani yake na kuheshimika yeye na walio mpa malezi.

Ee Mola, waongoze wanawake na mabinti wa waumini,
wavalie vazi la haya, heshima na sitara (staha),
uwatie nguvu katika utiifu wako na ibada njema kwako pale wajapokutana na maneno ya kuwabeza na kuwakatisha tamaa mfano kuambiwa unajizeesha,
Ewe Mola wa walimwengu wote kubali, aamiin.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

Waambieni mwanamke mwenye haya (anayejisitiri) kuwa kumuona kwake huleta msimamo na heshima nyoyoni mwa waliomzunguka na wanao mtazama  >>> https://gonga94.com/semajambo/waambieni-mwanamke-mwenye-haya-anayejisitiri-kuwa-kumuona-kwake-huleta-msimamo-na-heshima-nyoyoni-mw
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

TREVOR CHALOBAH 🫡

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 28💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

🌹I MISS YOU 🌹

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 22💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest