Luca alitembea taratibu hadi jikoni, macho yake bado mazito kwa usingizi wa raha, lakini moyo wake ukipiga tarumbeta za mshangao.
Catheline alikuwa amesimama mbele ya jiko, amevaa kanga moja iliyojifunga kwa ustadi, mgongo wake ukimulikwa na mwanga wa asubuhi uliopenya dirishani. Harufu ya chai ya tangawizi ilichanganyika na harufu ya asubuhi yake ya jana usiku — ladha ya upendo uliomchanganya Luca.
“Weeeh… nilijua umeondoka,” Luca alitamka kwa sauti ya mshangao, na kidogo huzuni.
Catheline aligeuka polepole, akamtazama kwa tabasamu la kupumbaza akili ya mwanaume. Akasema kwa sauti tamu kama asali: "Nimuachaje mume wangu? Huku ndiyo nyumbani sasa."
Maneno yale yaligonga moyo wa Luca kama mlango unaofunguliwa ghafla na upepo wa upendo. Hakujibu mara moja, alimsogelea kwa hatua mbili, akamtazama usoni.
"Kwa hiyo mimi ni mume tayari?" aliuliza huku akijaribu kuficha kicheko chake cha furaha.
Catheline akamsogezea kikombe cha chai. “Kama jana usiku ulikuwa ndoto, basi leo ni muendelezo wa ndoto hiyo. Na wewe ndio mhusika mkuu.”
" Mbona sikuelewi si ulisema unaomba ulale kwa jana tu ila kwanini usiende tu jamani"
" Niende wapi luca"
" Si uende kwenu sasa hapa unataka nini?
" Nakutaka wewe"
" Unanitaka mimi unanijua kama jambazi je?
" Huwezi kuwa jambazi?
" Kama jini je?
" Huwezi kuwa jini"
" Sasa naweza kuwa nani ?
" Unaweza kuwa mme wangu kabisa"
" Lakini cathe..."
Kabla hajasema Cathe alimziba mdomo na kidole kisha akaanza kumpa made... Kama dakika hivi Luca alikuwa akijalibu kumtoa lakini wapi ni kudendeka mpaka naye akajikuta anaonyesha ushirikiano ...
Waluanza yao mali ya kanga ni sakafu .mtu akabebwa mpaka uwanja wa raha na Luca alichokifanya baada ya kumfikisha uwanja wa raha nikumta... Migu ... Kisha akazama kwenye kisima cha chumvi na kuanza kupima ubora wake kwa kutumia ulimi
Cathe alipiga kelele.