Kijana Japhet alijikuta anaogopa sana baada ya kumuona kaka yake Lukasi yupo kwenye hali hiyo ya kukasirika.
Baada ya Flora kumfikia Mume wake huyo akaweza kumkumbatia kwa furaha na kumpokea baadhi ya mizigo aliyokuja nayo. "Vipi Mume wangu mbona kama unaonekana haupo sawa, shida nini?" Flora alimuuliza Mume wake.
"Hamna kitu Mke wangu mimi nipo sawa, ni uchovu tu wa safari nilionao" alisema Lukasi. Kijana Japhet naye akaweza kumsogelea kaka yake na kusalimiana naye halafu akampokea begi la mgongoni alilolibeba. Baada ya hapo wakaanza kuifuata ile gari ndogo aina ya Taxi sehemu ilipokuwa imepaki na baada ya kuifikia Taxi hiyo dereva wake akafungua ule mlango wa nyuma kabisa (Buti) na mizigo yote ikaingizwa na kufungiwa humo. Halafu wote wakaingia ndani ya gari kwa ajili sasa ya safari ya kurudi nyumbani. Wakati gari ikiwa ndio inaanza kuondoka kituoni hapo Lukasi akasema: "Japhet tukifika nyumbani nitakuwa na maongezi kati yako wewe na Shemeji yako Flora" alisema Lukasi huku akiwa yupo bize na kuipekua pekua simu yake kubwa. Kwa mshtuko Mkubwa Japhet na Flora wakajikuta wanaangaliana usoni!.
**************
"Japhet tukifika nyumbani nitakuwa na maongezi kati yako wewe na Shemeji yako Flora" alisema Lukasi huku akiwa yupo bize na kuipekua pekua simu yake kubwa. Kwa mshtuko Mkubwa Japhet na Flora wakajikuta wanaangaliana usoni.
"Ni mazungumzo gani tena hayo Mume wangu?" Flora uvumilivu ulimshinda akajikuta anamuuliza Mumewe.
"Nimesema mpaka tukifika nyumbani sasa haraka ya kutaka kujua inatokea wapi?" Lukasi aliuliza kwa ukali kidogo.
Hapo tena Flora ikabidi awe mpole na kutulia kimya akabakia na mawazo tele kichwani mwake. "Ina maana Yale yote niliyoyafanya na Shemeji Japhet kule nyumbani, Mume wangu ameyajua?" Flora alijiuliza moyoni mwake. Kwa upande wa kijana Japhet ndio kabisa alizidi kuchanganyikiwa au kama sio kupagawa kabisa kwani akujua hayo mazungumzo anayotaka kuyazungumza huyu kaka yake huko nyumbani yatakuwa yanahusu nini "Vipi tena kaka amejua nini Yale tuliyoyafanya na Shemeji?" Japhet naye alibakia anajiuliza maswali. Safari ya kurudi nyumbani iliendelea huku ikiwa imetawaliwa na ukimya usiokuwa wa kawaida humo ndani ya hiyo gari.
Japhet alikuwa ameketi siti ya mbele kabisa na yule dereva Taxi akiwa yupo pembeni yake. Huku Lukasi na mkewe Flora wao wakiwa wameketi siti ya nyuma kabisa. Kama ni kuwachanganya basi Lukasi alijua kuwachanganya Flora na Japhet kwani walibakia kimya huku kila mmoja akionekana kuchanganyikiwa.
Hatimaye waliweza kufika mpaka huko nyumbani wakitokea kituo kikuu cha Mabasi yaendayo na yatokayo mikoani (Ubungo) gari hiyo ndogo ya kukodi (Taxi) ikaweza kusimama mbele ya nyumba ya Lukasi na wote kwa pamoja wakapata kuteremka ndani ya gari. Baada ya kuwa wameteremsha na mizigo yote dereva naye akapewa Pesa yake na kuondoka zake huku akiwashukuru hao abiria wake aliowaleta hapa nyumbani. Sasa wote wakaweza kuingia mpaka ndani ambapo Rozi naye alikuja kuwapokea mizigo.
"Ooho Rozi huyo vipi wewe aujambo?" Lukasi alimsalimia Rozi kwa furaha.
"Mimi sijambo Shemeji shikamoo" Rozi alimuamkia Lukasi. "Marahaba vipi lakini hapa mlikuwa mnaendeleaje?" Lukasi aliuliza. "Hapa nyumbani sisi tulikuwa tunaendelea vizuri, pole na Safari" Rozi alisema huku akitabasamu. "Ahsante sana nashukuru haya ndio nimerudi" alisema Lukasi na baada ya hapo yeye pamoja na mkewe Flora wakaingia zao chumbani. Japhet alibakia sebuleni akiwa bado amepagawa mawazo yake yote yalikuwa ni juu ya hicho anachotaka kuzungumza kaka yake (Lukasi) kama vile alivyowaambia kule kwenye gari.
"Vipi baby mbona kama vile unaonekana una mawazo unawaza nini, au haujapenda kaka yako alivyorudi hapa nyumbani?" Rozi alimuuliza Japhet kwa kumtania baada ya kumuona yupo kimya huku mkono wake ukiwa upo
"Hapana kwanini nisipende kaka yangu kurudi nyumbani? basi tu kuna mambo flani kichwani yananichanganya" Japhet alisema. Rozi akatabasamu na kusema: "Basi mimi ninavyokuona hivyo najua labda umechukia kuona kaka yako amerudi nyumbani, labda atawanyima nafasi ya kujivinjari na Shemeji yako" Rozi bado aliendelea kumchombeza Japhet.
"Hebu achana na mawazo hayo Rozi" Japhet alisema kuonyesha amekereka.
"Mmh haya basi yaishe, ni kitu gani sasa hicho kinachokuchanganya mpenzi?" Rozi aliuliza. Japhet akanyanyuka kwenye Kochi na halafu akaondoka sebuleni hapo na kuelekea chumbani kwake huku akimwambia hivi Rozi: "Usihofu mpenzi wangu nitakuambia baadae chumbani" alisema Japhet na kuondoka. Rozi akabakia sebuleni hapo huku moyoni mwake akiwa amejawa na furaha baada ya Lukasi kaka yake na Japhet kurejea hapa nyumbani kwani alijua sasa hayo Mapenzi ya Japhet na Shemeji yake Flora ndio yatakuwa yamefikia mwisho.
Kwenye majira ya usiku wote wanne yaani Lukasi na mkewe Flora na huku Japhet na Rozi sasa wakakutana Mezani kwenye kupata chakula cha usiku. Mpaka muda huo bado Lukasi alikuwa ajaanzisha hayo mazungumzo aliyodai kuwa nayo anataka kuongea pindi watakapofika nyumbani.
Kitendo cha Lukasi kuendelea kunyamaza kimya kilizidi kuwanyima raha sana Flora na Shemeji yake Japhet.
"Sasa Mume wangu mbona unazidi kutuweka roho juu mwanzo ulituambia kuwa utakua na mazungumzo kati yangu na Shemeji Japhet baada ya kufika hapa nyumbani mbona aungei sasa?" Flora alimuuliza Lukasi. Kwanza Lukasi akatabasamu halafu akasema: "Inaonyesha mke wangu una wasiwasi sana na hicho ninachotaka kukiongea?" Lukasi alimuuliza Flora. Muda huo wote Japhet alikuwa yupo kimya roho yake ikimdunda kwa hofu. "Hapana sio kama nina hofu Mume wangu, lakini kumbuka ni wewe ndio ulituambia kuwa una hayo mazungumzo na sisi" alisema Flora huku akimuangalia Japhet. Lukasi akajiweka sawa na kusema: "Ok ni kweli kabisa Mke wangu niliwaambia muda ule kuwa nitakuwa na mazungumzo na wewe hapo pamoja na Shemeji yako Japhet, lakini kwanza nawaomba muwe na Amani kwani mazungumzo yenyewe ni ya kawaida tu" alisema Lukasi. Japhet akashusha pumzi kusikia hivyo. Lukasi akaendelea tena kuongea: "Nilichokuwa nataka kusema ni hivi, kwanza nafurahi kurudi nyumbani salama na kuikuta familia yangu yote ikiwa na furaha kama nilivyoiacha" alisema Lukasi huku akitabasamu. Japhet na Flora hapo wakajikuta wanaangaliana tena usoni na kuona kama vile Lukasi anawazunguka kwa kuwaambia hivyo. "Mmh Mume wangu hebu acha kutufanya sisi watoto wadogo, yaani hicho ndio kitu chenyewe kweli ulichotaka kutuambia?" Flora aliuliza kwa waaiwasi. Lukasi akacheka kidogo na halafu akasema: "Mke wangu kama auamini basi lakini hicho ndio kitu chenyewe nilichotaka kuwaambia" Japhet alisema huku akiwaangalia kwa zamu Japhet na Flora. Rozi yeye alikuwa yupo kimya akiendelea kula chakula taratibu.
"Mmh kama ni hivyo basi sawa, halafu na yule mtu uliyekuwa naye pale Ubungo kwenye kile kibanda cha Soda ni nani na kwanini aliondoka baada ya kutuona sisi tukija pale?" Flora aliuliza kwa kukumbushia. "Yule ni mfanyabiashara mwenzangu tulikuwa wote safarini" alisema Lukasi. Basi ukimya kidogo ulitawala na hatimaye Lukasi akaweza kuuvunja ukimya huo na kusema: "Halafu kuna kitu nakiona kipo kwa mdogo wangu Japhet, kwanini unakwepa sana kuniangalia usoni?" Lukasi aliuliza huku akimkazia macho mdogo wake Japhet.
"Hapana kaka mbona mimi nipo kawaida tu" Japhet alijibu kwa kuua soo.
"Hiyo sio kawaida yako mdogo wangu Japhet, leo nakuona una mabadiliko makubwa sana kwanza unanionea aibu na Pili kama vile nakuona unaniogopa" alisema Lukasi huku akimuangalia Japhet kwa mtindo wa kama anamtega. Japhet akajikuta anababaika akujua hata aseme nini hapa mbele ya kaka yake. Ikabidi Flora aingilie kati na kusema: "Mume wangu hebu acha kumsumbua na kumnyima raha Shemeji yangu Japhet" alisema Flora huku akionyesha kama amechukizwa na Lukasi kumsema Japhet. "Mmh haya basi na yaishe" alisema Lukasi na wote wakanyamaza kimya wakaendelea kula chakula. Baada ya kumaliza kula chakula Rozi akaondoa vyombo Mezani na kuvipeleka Jikoni. Huku sebuleni Japhet na kaka yake Lukasi pamoja na Shemeji yake Flora waliendelea kupiga story mbalimbali na kufurahi huku wakiangalia pia na TV.
Muda wa kwenda kulala ulipowadia kama kawaida Japhet akaingia chumbani kwake kulala na Rozi naye akaenda chumbani kwake. Huku wanandoa Flora na Mume wake Lukasi nao pia wakiingia chumbani kwao kwa ajili ya kulala.
Japhet akiwa amejilaza kitandani humo chumbani kwake mawazo yaliendelea kukizonga kichwa chake. "Huyu kaka naye mbona simuelewi kanishtukia nini kama nimefanya Mapenzi na Shemeji?" Japhet alijiuliza peke yake moyoni.
"Hapa tena sio kwa kuishi apanifai tena, kesho usiku itabidi nianze kwa kuaga mimi halafu Rozi atakuja kunifuatia" Japhet aliendelea kujisemea mwenyewe.
Wakati Japhet akiwaza hayo hapo kitandani Mara ghafla akasikia mlango wa chumbani kwake ukigongwa kwa sauti ndogo sana. "Nani tena huyo anagonga mlango? atakuwa ni Rozi tu huyo" Japhet alijisemea huku akinyanyuka kitandani na kwenda kufungua mlango ambapo mlangoni hapo aliweza kumkuta Rozi.
"Leo zamu yangu baby kuja kukufaidi" alisema Rozi huku akimkumbatia Japhet.
"Wee naye hata kuvumilia usiku huu upite!?" Japhet alimuuliza Rozi kwa utani.
"Nivumilie vipi na hamu hizi nilizonazo?" Rozi naye aliuliza kwa utani huku akichekacheka. Japhet akafunga mlango na wakaenda wote mpaka kitandani.
"Umeona kaka yako alivyokuwa pale anawatega?" Rozi alimuuliza Japhet Mara baada ya kufika kitandani.
"Ndio nimeona nahisi kaka atakuwa ameshtukia kama nilifanya mapenzi na Shemeji, au itakuwa kuna mtu amempa taharifa" alisema Japhet kwa utulivu.
"Hapo sasa ndio kwa kuondoka huyu Shemeji yako atakugombanisha na kaka yako, tufanye haraka tuhame humu ndani" alisema Rozi kwa sauti ya msisitizo.
"Yaani hapa ndio nipo kwenye mchakato maana nahisi hatari humu ndani ipo karibuni kutokea, halafu nahisi Shemeji Flora alinidanganganya alivyoniambia kaka yangu hana uwezo kabisa wa kufanya mapenzi na mwanamke yeyote" Japhet alisema kwa sauti ya unyonge.
"Enhe hebu tuachane na hayo, niambie vizuri kuhusu chumba chetu kwanza" Rozi alisema huku akijilaza kifuani kwa Japhet. "Chumba tayari kimeshapatikana na mimesahakilipia kodi ya miezi sita na pesa nyingine ya kuanzia maisha pia imebaki kwenye zile laki mbili nimelipa elfu tisini tu" alisema Japhet huku akichezea nywele za Rozi. "Kwahiyo lini sasa tunaondoka hapa, kwenda huko kwenye chumba chetu?" Rozi aliuliza tena. "Sikiliza Rozi mpenzi wangu, mimi kesho usiku ndio nitaaga kwa kaka na Shemeji kuwa naondoka halafu wewe utanifuata huko nitakapohamia baada ya siku mbili au tatu" Japhet alisema.
"Kwanini tusiondoke wote baby?" Rozi aliuliza. "Hapana tusiondoke wote kwa pamoja mpenzi, nataka kaka Lukasi na Shemeji Flora wasijue kama tunaenda kuishi Pamoja" alisema Japhet huku akianza kutomasa chuchu za matiti ya mtoto mzuri Rozi. "Bwana nini hukoo ushaanza kunitia Nyege mwenzio .." Rozi alisema kwa sauti ya kulalamika.
"Usijali mpenzi nipo hapa kwa ajili ya kukuliwaza mpenzi" alisema Japhet huku akimsogeza Rozi karibu yake zaidi na kuanza kumla denda. Rozi na Japhet wakajikuta wanaogelea kwenye dimbwi zito la Mahaba humo ndani chumbani.
Flora naye akiwa yupo chumbani kwake na Mume wake Lukasi nao wakiwa wapo kitandani. Flora alijikuta anaanza kumchukia Mumewe na kumpenda Japhet ambaye ni Shemeji yake. "Sasa huyu Kibamia naye sijui karudi hapa nyumbani kufanya nini, si angebakia tu hukohuko?" Flora alijiuliza hivyo.
Kwa wakati huu Lukasi alikuwa ndio anaanza kuutafuta usingizi kitandani hapo. "Sasa Mume wangu yaani leo ndio umerudi halafu unalala tena? mwenzio nna hamu na wewe" Flora alisema huku akianza kumshikashika mumewe huyo.
"Mke wangu leo utanisamehe sana, nina uchovu mwingi wa safari vumilia kesho tutafanya" alisema Lukasi huku akijifunika shuka na kujikunyata kitandani hapo.
Flora alichukia sana kwani ndio kwanza yeye mwili wake ulikuwa unanyevua kwa Nyege alizokuwa nazo kwa wakati huu.
"Ngoja huyu fala apitiwe na usingizi niende nikamfuate Japhet chumbani kwake" alijisemea Rozi huku akilala.
Baada ya muda wa nusu saa kupita Lukasi akasikika anakoroma kuashiria usingizi umeshampitia. Flora taratibu akajiinua kitandani na kuchukua kanga yake akaivaa mwilini na kuondoka humo chumbani kwa mwendo wa kunyata hadi mlangoni akaufungua polepole na halafu akatoka mpaka ukumbini. "Shemeji Japhet anajua kuninogesha, sio huyu kaka yake na Kibamia cheke ngoja nimuache peke yake chumbani najua ana uchovu wa safari basi atalala sana usingizi" alijisemea Flora huku akianza kunyata ukumbini kuelekea mlango wa chumbani kwa Japhet. Kule chumbani napo Lukasi alishtuka ghafla kutoka usingizini na kushangaa kutomuona mkewe (Flora) hapo kitandani. "Khaa! huyu mwanamke ameenda wapi tena?" Lukasi alijiuliza peke yake huku akijiinua kitandani na kuketi kitako. Wakati Lukasi akijiuliza hivyo huku ukumbini napo Flora naye alikuwa ameshafika hadi mlangoni kwa Japhet lakini kabla ajabisha hodi Flora akashangaa kusikia sauti za Mahaba zikisikika kutokea chumbani humo huku sauti ya Rozi akiisikia vyema ikilalamika wakati anasuguliwa na kijana Japhet kwa wakati huo chumbani.
"Mmh ina maana Rozi ndio yupo humu chumbani kwa Japhet anaufaidi Utamu?" Flora alijiuliza moyoni huku hisia za wivu zikianza kumsumbua mlangoni hapo na kujikuta akitaka kujaribu kuwachungulia!.
"Mmh ina maana Rozi ndio yupo humu chumbani kwa Japhet anaufaidi Utamu?" Flora alijiuliza moyoni huku hisia za wivu zikianza kumsumbua mlangoni hapo na kujikuta akitaka kujaribu kuwachungulia.
Flora akabakia kuhangaika hapo kwenye mlango kwa nje ukumbini huku sauti zile za Mahaba zikiendelea kumtesa na kumpa wakati mgumu. "Jamani lakini mbona hivyo Japhet na Rozi mnanitesa mwenzenu ..?" Flora alijikuta anajisemea huku miguu yake ikianza kumtetemeka.
Huko chumbani napo Japhet naye alizidi kumchambua kama karanga mtoto wa watu Rozi akim'badilisha kila aina ya style bila kujua kama kuna mtu wanamtesa huko ukumbini na hayo wanayoyafanya.
"Aaaisiiiiiiii Japhet wangu jomoniii nakupendaa sikuachiiiii" Rozi alizidi kupiga makelele ya Utamu huku Japhet akiendelea kumsurubu kwa kumkamatia Kiuno chake na kumsugua na 'Gobole' lake Nje na Ndani. "Japhet jomoniiii mpenzii wanguu nioeee kabisa usiniacheee .." Rozi alipagawa na raha alizokuwa anamiminiwa na Japhet. Flora akiwa yupo ukumbini alijaribu kutaka kuwachungulia humo chumbani lakini aligonga mwamba kwa kutowaona kabisa kwani Taa ya ndani ilikuwa imezimwa na kuwa Giza pia hata kwenye tundu la kupitishia ufunguo napo kulikuwa na funguo kwa ndani kwenye kitasa cha mlango hivyo akajikuta anashindwa kuona ndani hicho kilichokuwa kinaendelea kwa wakati huo.
Flora alijihisi kama vile mwili wake kuna wadudu wale sisimizi wanamtambaa na kumnyevua. Taratibu kanga yake aliyoivaa ikaachia mwilini na kudondoka chini akabakia mtupu kama alivyozaliwa. Kazi aliyobakia nayo Flora ilikuwa ni kujitomasa mwilini kwa kuyabinyabinya matiti yake makubwa ya wastani na kujiingiza vidole kwenye 'K' yake ambayo tayari ilikuwa imeshalowana kwa majimaji Yale mazito yaliyokuwa yakimchuruzika kwenye mapaja yake manene. Flora naye alianza kulia kwa hisia Kali aikujulikana kama na yeye alikuwa anajisikia raha au ni uchungu.
Lukasi kule chumbani baada ya kuamka ghafla na kumkosa Mkewe Flora hapo kitandani sasa akaamua kujiinua na kutaka kutoka humo chumbani kwenda kumfuatilia Mke wake ili ajue kama atakuwa ameenda chooni au wapi. "Huyu mwanamke hebu ngoja kwanza nianze kumfuatilia, kama ameenda chooni mbona sasa anachelewa kurudi!?" Lukasi alijiuliza wakati akiufungua mlango wa kutokea chumbani kwao na kutoka hadi ukumbini kabisa ambapo aliiwasha Taa.
Lukasi alipigwa na butwaa baada ya kuwasha Taa ya hapo ukumbini na kumuona mkewe akiwa amesimama nje ya mlango wa chumbani kwa Japhet yupo mtupu (Uchi) kabisa huku akijitomasa chuchu za matiti yake pamoja na kujitia vidole ndani ya 'K' yake kwa Mahaba.
Lukasi alishangaa sana!! "Khaaa, Flora mke wangu nini unafanya hapo mlangoni kwa Shemeji yako Japhet?" Lukasi alijikuta anamuuliza mkewe kwa mshangao. Flora alishtuka sana baada ya kuisikia sauti ya Mume wake ikimuuliza hivyo haraka sana akaacha kufanya hicho kitendo alichokuwa anajifanyia na kuikota chini kanga yake halafu akajisitiri mwilini.
"Yaani mke wangu hata siamini, hivi kwanini lakini unafanya ujinga huo hapo mlangoni kwa Shemeji yako kwani kuna nini?" Lukasi aliuliza huku akisogea jirani na hapo mlangoni aliposimama mkewe.
Flora hakuweza kujibu kitu chochote alibakia akijiumauma midomo yake na kujiinamia chini uso wake kwa aibu kwani akutegemea kabisa kama angekuja kufumwa na Mume wake huyo. Lukasi baada ya kusogea hapo mlangoni na yeye pia akaweza kuzisikia sauti hizo za Mahaba zikitokea chumbani humo kwa Japhet hapo sasa Lukasi ndio akazidi kupigwa na butwaa. Kwa haraka Lukasi akamshika mkono mkewe (Flora) na kumtoa mlangoni hapo na kuelekea naye chumbani kwao wanapolala pia akazima na Taa ya ukumbini halafu ndio wakaingia chumbani na kujifungia kabisa mlango.
Soma mpaka mwishoooo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005
** ππ₯°π¦.