Nilipokea chocolate zangu nikaonyesha tabasamu fulani hivi kama mnavoniona hapo kwenye picha🥰nilimshukuru mubaba nikamwambia asante kwa chocolate
Akajibu karibu mimi napenda mvinyo sikumoja moja au unautumia nawewe
Nilicheka tuu kwani nilijua ananitania
Akaniambia wewe bado mdogo sana usinywe sawa Lisa
Nilimjibu sawa kisha aliwasha gari na kuondoka tulifika maeneo ya nyumbani akapaki getini kwake na mimi nilishuka
Akaniambia Lisa marafiki
Nilimjibu marafiki kisha nilienda getini kwetu na kugonga mlinzi akanifungulia
Nikaingia lakini moyo wangu haujakubali kumuacha aende natamani niende nae ila sizani kama anajua hilo niliingia ndani
Nakisha nilienda chumbani kwangu nikaingia kuoga kisha nilipotoka nikavaa dera langu nikawa nimejikalia tuu chumbani kwangu
Mala niliona msg iliingia nikaichukua sim na kuitizama ilitoka kwa Lewis nikaifungua
Alikuwa ananiambia Lisa kipenzi sikuelewi siku mbili yaani mpaka siku inakatika hata hi tuu kwani nimekuuzi
Niliisoma ile msg ila nikashindwa hata nimjibu nini
Wakati nafikili kuhusu Lewis nikaona msg nyingine tena
Nikajua huyo huyo Lewis ile naitizama ilikuwa haitoki kwa Lewis
Ilitoka kwa dady Henry mubaba anayeutesa moyo wangu alikuwa ananiambia karibu chakula cha jioni kipenzi
Nilimjibu kwa furaha kabisa asante
Akaniuliza ukimaliza kula utakuwa na kazi unafanya
Nilimjibu hapana nipotuu sina kazi yeyote leo
Akaniambia basi sawa ukisha maliza kula utapenda tuchat tuu ila sio lazima kama utapenda tuu
Hakiya mungu alinipa nguvu nikaenda kula chakula haraka kwa furaha sana
Nilisahau hata msg ya Lewis kabisaa nikaenda kula chakula
Mama aliniandalia akaniuliza leo unanjaa sana sio
Nilimjibu wewe niwekee tu mama ndio nataka kula tuu
Mama alicheka na kusema najua jana usiku hujala vizuri asubuhi pia ulikunywa juice tuu hukushiba kabisa
Hivyo mama aliniandalia chakula nilikula na kisha niliaga na kwenda chumbani kwangu
Nilipoingia chumbani kwangu nilikuta sim yangu ina misd call nyingi
Kutizama alikuwa Lewis amepiga sana na mwisho alituma msg kuwa anakuja kwetu
Nilichukia sana na kumtumia msg kuwa naomba usije hunahaja ya kuja kwani nilikuwa nakula chakula ndio maana sikuweza kupokea sim zako
Alijibu kuwa yupo nje anahitaji kuniona mala moja
Niliona nitoke tuu ilikuepusha shari nikaenda nje na kumkuta alikuja na gari yake
Nikamkuta kisha nilisimama kwa nje na kumuuliza usikuhuu unakuja kutafuta nini mbona unataka kuniletea matatizo unazani kaka akikuona itakuwaje?? Na unamjua kaka alivyo mkali lakini
Lewis alijibu kwani nikosa kuja kumuona nimpendae hatakama mkari nayeye anamtu wake ambaye akimuona ujanja hana
Hivyo simuogopi kabisaa huyo kakaako mwenye kaka hakosi shemeji nitampa ukweli
Lewis alikuwa akiongea kwa utani na pia ananipenda sana ananijari pia hivyo alipata wasi wasi kwavile sikuwa nimepokea sim
Wakati huwo tunaongea dady Henry alikuwa anatoka kidogo si akatumurika na taa za gari yake mama weeee nilichanganyikiwa sitaki kabisa kumkosa sijui nitajiteteaje akiuliza kuhusu Lewis
Nilikuwa nimesimama pembeni ya gari ya Lewis akasogea mpaka pale tulipo na kuuliza kunatatizo Lisa
Nilitetemeka na kumjibu hapana huyu ni rafikiangu nasoma nae chuo hivyo alikuja kuchukuwa mapepa ya notice hivyo tuu narudi ndani sio muda
Alijibu ok sawa haya naenda famas kidogo muhudumu wangu anahoma kidogo
Kisha aliondoka na gari yake nikaanza kumfokea Lewis naomba mara nyingine usije mida hii tafadhari Lewis naomba ondoka
Lewis alinishangaa kwanini nimemjibu vile yule jirani na kwanini na reacti vile kwake sio kawaida kabisa
Niliona kama Lewis ananipotezea tu muda pale nje niliamua kumuacha akishangaa nikaingia ndani..
Endelea kufuatilia........
Full 1000
WhatsApp 0742133100.