Ilipoishia
Gafla nikasikia Kiboga!!hamuwa mwengine vali mama mkwe ,nilipoinua uso nikamwona yupo mbele yangu
Abee mama nikaitikia huku macho yangu yakiwa yanaangaza chini kama nimeona hela kwenye sakafu vile ๐คฃ๐คฃ๐๐
Kiboga binti yangu??nikaitika tena abee mama angu huku nimeinama chini mie naona aibu๐คฃ๐คฃ๐คฃnikizingatia niliyotoka kuropoka acha tu๐๐๐
Mama mkwe akanisogelew akaninyanyua kidevu changu ,mie nikamuangalia kwa uoga uoga asije kunitemea mate bure mie๐๐๐
Mwanangu mimi na baba ako mkwe tumekukubali jinsi ulivyo
Wewe ni mchangamfu,unaonekanmstaarabu sana na una heshima hivo sisi tumekupokea kwa mikono miwili ,haijalishi umeishia darasa la ngapi tunachoangalia sisi ni uwe mke bora kwa mwanetu na sisi pia hasa ukizingatia jacob ni mwanetu wa pekee
Kuwa huru kabisa mimi nipo pamoja nawe,basi mama mkwe alipomaliza kuongea hayo akanyanyuka akanikumbatia ๐ฅฐ๐ฅฐna mimi nikanitia mdhungu๐คฃ๐คฃnikamkumbatia kisha akaenda kukaa na mumewe
Nikaona hii ndo chance na mimi nikamfinya jacobo nywiiii nywiiii๐คฃ๐คฃ๐คฃhadi akashtuka nikafurahi mwenyewe nimelipa kisasi๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Basi baada ya hapo tukakaribishwa chakula kitu muhimu ambacho nilikuwa nasubiri kwa hamu uwiiii๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Mezani sasa๐๐๐io mivyakulaa hatareee ama kweli kuna anaekula na kujaza tumbo nikabaki najisemea tu
Karibu kula kiboga mama mkwe akanambia hivoo
Asante mama nakaribia nikajibu bila uoga uwiiii
Basi nikajinyanyua mwenyewe lengo nimsaidie jacob wangu wa mchongo
Gafla akanishika mkono ,nikamkata jicho hiloo๐๐๐huku namtingishia kichwa nikimpa ishara ya kuniacha lakini bado akanishikilia
Baba mkwe na mama mkwe wote wakawa wanatuangalia nini tunafanyaa ila hawakuelewa
Huyu nae vipi mbona ananchomesha mahindi mimi hapa aaah๐๐๐nna njaa hapa ananizingua kuku wasije kuishaa na wamebaki watatu tu๐
Usjari mpenzi wangu kiboga my future wife ntakupakulia mimi chakula sipendi mke wangu ateseke kabisaa,captain jacob akazungumza hivo kauli ilowafurahisha sana wazazi wake
Mimi moyoni nkasema loooh huyu kaka mchoyo jamani basi atanipunja hapo hadi nisishibe mfyuuuu๐๐๐
Na mie nkazugaaa oooooh asante my jacob mwaaa๐๐nkampa busu la mchongoo mfyuu๐๐
Basi jacob akainuka akachukua sahani mbili akaanza kunipakulia chakula ,nyie jamani kaniwekea nyama moja kuku hajaweka na kawali kadogo halafu yeye kajiwekea mikuku minyama hio๐๐๐kama sio uchoyo nini
Halafu linaniangalia kama jehu sijui lipoje roho iloniuma kwelii
Ikabidi nile hivohivo tu ,๐ญ๐ญ๐ญmi nilitaka nitoe ushamba hivo nna mwaka sijala kuku wala nyama zaidi ya mapupu ya jero halafu ananifanyia hivi kweli
๐ญ๐ญDaaaah sema sawaa tu
Nikawa nasikitika huku nakulaaa
Mpenzi mbona umechukua sahani yangu???mimi hiki sikimalizi tafadhali chukua hiki,๐ณ๐คฃ๐คฃjacob alivosema hivo sikuwaza marq mbili moja kwa moja nikavuta ile sahani nkampa yanguui
Nilivokuwa nakula buana๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐kama jacob asingenifinyaaa leooo wwlahi ningekula hadi mifupaa maana sio kwa utamu wa kuku walee
Basi tulivomaliza kulaa tukatoka nnje tukaenda kukaa kwenye sehemu kama kwa kupungia upepo hiviii basiii kukawa na viwine wine pale
Kiboga mwanangu unatumia kinywaji gani??mama mkwe aliniulizaa
Anhaaa mke wangu nawe nyie wakike mnajijua hamuwezi vitu vikali mpe savanna huyoo mkwe wangu ajivinjari
Nyieee๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃnilivosikia savanna weeeh akili ikarukaaa kwetu zinauzwa afu tano yaani unapata safari mbili na buku ya mafuta inabakiii sijawahi kuzionja tangu nizaliwe๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Saa ngapi zisiletwe palee nilizipiga kama sina akili nzuriii chaajabu hazileweshi bali nilikuwa nazidi kuchangamkaa nakwambiaaa
Jacob nahitaji kwenda toilet naomba unisindikizeee,
Sawa kipenzi basi jacob na mimi tukaongozana hadi chumbani kwake ambapo ndio kuna choo chenyewe maana kwa nyimba yao sikuona choo cha wageni
Mie hata sikujali wala kuogopaaa nikaingia zangu chooni nikaliachia kojo sio la nchi hiiii
Ile natoka chooni saa ngapi nisiteleze๐คฃ๐คฃ๐คฃsijui ndio pombe sijui mawenge au ushamba wa marumaru nikajistukia chini pwaah
Nini tena kiboga??? Caprain jacob akaulizaa
Sikutaka kuonekana mnyonge nikajitahidi kunyanyuka ila wapiii๐คฃ๐คฃmatako yanagoma kama yana gundiii
Caotain jacob alipoona sitoki akajaa akaninyanyua akanipeleka hadi kitandanii
Vipi upo sawa??
haujaumia??
Nimeumia mnooo kwenye paja hata siwezi kutembeq vizuri , ๐ญnikqmjibu huku navuta vuta mafua kwa kudekaa
Basi captain jacob akatoka nnje sijui akaenda kuwaambia nini wazazi wake gafla nikashangaa wote wanakuja chumbani kwa jacob
Maskini mkwe wangu umeumia??? Poleeee jamani naskia hata kutembea huwezi mama mkwe aliuliza
Ndio mama , asante kwa kujali
Itabidi mlale hapa muondoke kesho asububi baba jacob akaongea hivo kisha akamkonyeza mwanae na kuondoka na mkewe
Chumbani tukabaki mie na jacob , taratibu akafungua kama kichupa sijui kina dawa ama nini hata sielewi
Hakuniomba wala nini nikashangaa tu mtu anafunua gauni, ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณ๐ณakaanza kuingiza mikono na kunikanda kanda uwiiiii๐๐๐
Mwenzenu mimi nikawa nasikia rqhaa,๐ฅฐ๐ฅฐ๐ฅฐukizingatia nina upwiruuu sijafanya tangu mwaka jana๐๐๐๐๐
Ule mkando ukaendelea hadi nikajikuta natoa migunooo anhaaaaaaaaa haaaaaaaaaa hapoooooo hapoooooo jacooob ahaaaaaaaaaa uwiiiiiiiiimama๐๐๐
Kaka wa watu akaniangalia akanipimaaa weee sijui nini kilitokea ila yaliyojiri yalijiri๐๐๐nadhani mshanielewa mwenzenuuu na upwiru wotee shwaa maana ni kama nilikuwq nafanywa na mchi wa kinu๐๐๐๐๐
Jacob jacob we jacob wewe????!!!!!!
Offer simulizi tatu 2500
๐๐น๐๐ต๐ฟ๐ฐ๐๐ฎ ๐บ๐๐ถ๐๐ฐ๐๐บ ๐ป๐๐ฐ๐ ๐๐ฌ๐๐ฒ
๐. ๐๐๐๐
๐. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
๐. ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐. ๐๐๐๐
๐. ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
๐. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐
๐๐ ๐๐๐๐
๐. ๐๐ ๐๐๐๐
๐. ๐
๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐ ๐๐ ๐
๐๐๐๐
๐๐. ๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐
๐ ๐๐๐๐๐๐๐ (๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐)
๐๐. ๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐
๐๐. ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐
22. SHEMEJI HAONI KITUMBUA CHA DADA KITANDANI
23. MOYO WA JENERALI JAX
24. SINGLE DADY NA MAMA WA KUKODI
25. NDOA YA MKATABA
.