(Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo.)
Sehemu ya 1
Naitwa Rebeka, nina miaka 28. Nimeolewa, na nina watoto wawili. Kwa nje watu waliniona kama mwanamke mwenye maisha mazuri: mume mcha Mungu, familia yenye mshikamano, na tabasamu lisiloisha kwenye sura yangu.
Lakini nyuma ya pazia hilo, kuna siri nzito niliyobeba kwa miaka mitatu. Siri ya aibu, ya hatia, lakini pia ya maisha yaliyolazimisha maamuzi ambayo kamwe sikuwahi kufikiria kuwa ningeweza kuyafanya.
Nilikuwa nalala na wanaume wa lika zote si watoto wadogo ilimradi tu awe na pesa lazima apate huduma yangu na nilipendwa sana nawanaume walinipenda kupita maelezo walipenda kuniita " FAGIO YA CHUMA"
Ndiyo, nilikuwa malaya. Na Hapo nipo kwenye ndoa na hata mume wangu hakujua unajua ilikuwaje .......Sogea karibu
ANZA NAYO SASA ......
Siku zote nilikuwa mke wa nyumbani, lakini baada ya mume wangu kupoteza kazi, maisha yalibadilika ghafla. Kodi ya nyumba ilikuwa mzigo. Ada za watoto zilikuwa zimelundikana. Chakula kilikuwa ni neema ya siku moja moja.
Tulianza kugombana mara kwa mara. Na siku moja, baada ya mzozo mkali, mume wangu aliondoka nyumbani kwa siku kadhaa bila kuacha hata shilingi. Nilibaki na njaa na watoto wawili sio kwamba ni wakubwa sana.........
Nikiwa nimekaa kwenye kiti, nimepoteza matumaini, nilipokea meseji ya shoga yangu aitwaye Caren. Huyu ni mwanamke wa madeal mengi na sijuwi leo alikuwa na dili gani kwa sababu ni ghafla na sio muda nimetoka kumwambia sina hela ya chakula cha watoto na mume nimegombana naye na hajaacha kitu
“Rebeka, kuna kazi za haraka hapa mjini. Unataka nipate mtu akuunganishe?”
Nilimuuliza ni kazi gani.
“Ni ya kujiuza... ila ni wewe tu utaamua kama uko tayari. Mimi niliingia last year, na angalau watoto wangu hawateseki ndio mume wangu ana kazi na sio wa kumtegemea sana ndio maana nimejiongeza
" Mmmmh shoga yangu naogopa sijawahi kufanya hivyo mume wangu ndio nimegombana naye lakini kumsaliti hapana siwezi ugomvi kwetu ni kawaida ila sio kumfanyia huo ukatili" nilimwambia .....
Akanijibu kwa kilugha" kalagha bao na ujinga wako wilya makaganga ( lugha ni ya kibena akiwa na maana kaa na ujinga wako kama utakula mawe) kisha akakata simu ....Ukiangalia kweli sina chohote na mume wangu hata hapatikani kwa hasira kaamua kuzima simu kabisa ...na leo ni sku ya pili toka aondoke chakula cha jana kimeisha na sina chochote .....
Niliwaza sana nilizunguka nyumba kama mchnguzi nilichora chini kama msomi kumbe ndo kwanza hata la saba sikumaliza.baadaye nilipata wazo na nikasema wacha iwe natafuta hela ya leo tu halafu sitajiuza tena nikaapa na kuapa....
Nilimpigia simu caren lakini haikupokelewa tayari kakasirika maana nilimwambia anaitafutie kazi baada ya kuona nalinga kakaa kimya na hataki kupokea simu yangu. Nilimtumia meseji "nipo tayari shoga "
Haikupita hata sekunde akanipigia simu na alionyesha na furaha mimi kukubali lile dili lake la kujiuza .Basi alinipa location kuwa kuna mkongo anataka mtu wa kulala naye leo na malipo ni laki 2 tu
Nilishtuka na kumwambia yote hiyo? Akasema ndio hivyo " basi kusikia pesa yote hiyo nikamwambia ngoja nijiandae nakuja.........
NITAENDELEA ...,....
By kelvin mlowe
.