Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

KISASI KILICHOZAAA MAPENZI🥰🥰 EP 03)

27th Jul, 2025 Views 41


Story na Nash

Tsap 0773792227

"Kuhusu jana nisamehe😒😒, badala ya kukata simu niliizima kabisa☹☹....pengine ni kwa sababu nilikuwa nimechoka😥" Mariah alijitetea kabla hata hajaulizwa😆

"Inaonekana unachoka sana🤌, nilivyokuwa Chuo nilipenda kuimba🤔🤔...huwezi amini nilitumia muda mwingi kufikiria namna ya kuwafurahisha mashabiki zangu☹☹, hivyo matokeo ya mwaka wa pili yalikuwa mabaya sana🙌🏾" Max alijikuta akitunga uongo😅😅😅

Mariah aliachia tabasamu kwa namna Max anavyoongea😅, alijikuta akimkodolea macho badala ya kusikiliza vitu anavyoambiwa🙌🏾.

"Kampuni langu litaajiri Wafanyakazi wapya hivi karibuni😌😌.....ningefurahia kama utakuwa mmoja wa Wafanyakazi wapya🥰. Sijui tu kwanini lakini natamani niwe na kuona muda wote.😊😊 Sehemu pekee ya kukuona ni hapa ofisini kwangu🤗" Max aliongea

Mariah hakuwa akimsikiliza hata🙌🏾, akili ilikuwa inawaza kama Max angekuwa anaishi maisha ya kimasikini angeonekanaje☹☹☹!

Max aligundua Mariah hasikilizi maneno yake😒, aligeuka nyuma aone kama kuna mtu amemteka akili lakini hakuepo🤔🤔.

"Unawaza kitu gani🤔...." Max alimuongelesha kwa sauti ya juu kidogo🙄

"Kama ungezaliwa Mwanamke nina uhakika Wanaume wa Kigali wangeshikiana visu kwa sababu yako🤥🤥" Mariah aliongea

"Kwanini unasema hivyo🙌🏾...." Max aliuliza

"Una uzuri wa kipekee😒😒...." Mariah aliongea

"Njoo kesho ofisini kwangu ni kufanyie interview😌....nitakufanya kuwa Secretary wangu wa pili🤥🤥..."

Mariah anapaliwa mate baada ya kusikia kapewa nafasi ya upendeleo😅😅

"Umemaanisha?🙄...kwahiyo nisiende kazini leo!🙄 namaanisha niandike barua ya kuacha kazi🤥🤥?" Mariah aliuliza maswali mfulilizo😅😅😅

"Huna haja ya kufanya hivyo tena🙌🏾.....na kwanini unapenda kuvaa viatu vya mtumba🤔🤔" Max aliongea huku akiliangalia duka alilotaka kuingia😥

"Pesa yangu ina ruhusu kuingia hapo😫, usiniambie utanifanyia shopping ya viatu🤥🤥" Mariah aliongea

Max alitabasamu kwa namna Mariah anavyo changamkia fursa😅😅😅.

Kwa pamoja waliingia katika maduka ya viatu vya kike
Max alimpa ruhusa ya chagua kiatu chochote anachotaka🤗🤗

"Pesa alizonazo mfukoni ni za Baba yangu🤔!" Mariah alijisemea kisha akaanza kuchagua viatu kwa fujo
Wauzaji walihisi anachukua viatu kwa ajili ya kufanya biashara😅😅. Ilimlazimu wamuuzie kwa bei ya jumla🤣🤣🤣.

Max hakusumbuliwa na hiki kitu🙄, alilipia pesa kisha wakaondoka🙌🏾

"Hakikisha kesho unakuja ofisini asubuhi na mapema😉....nitakufanyia interview sitakuwa na huruma na wewe😄. Kuanzia sasa anza kufikiria kwanini unataka kuwa Secretary wa Kampuni la Green Tea majibu utakayopata ndio yatatumika siku ya kesho🙌🏾" Max aliongea kisha akalipia gari ya abiria

Mariah anarudi nyumbani akiwa na furushi la viatu😅😅.

"Max mtoto wa yule mchepuko aliyesababisha siye tuteseke ndio kakununulia hivi viatu,🙄🙄?...kwahiyo tayari mmeanza kuongea😒,?....kama ndiyo anza kumuambia aandikishe majina yako yote kwenye mali zilizoachwa na Baba yako🙄🙄" Paulina aliongea huku machozi yakimlenga, ni wazi hakuamini kama Mtoto wake anaanza kupiga hatua kubwa namna hiyo😔

Mariah alimkumbatia Mama yake😔😔,
"Kila kitu kitarudi kwetu🙌🏾, kila kitarudi katika mkono wako😫....ni swala la muda tu, naomba usichanganyikiwe Mama😪😪"

"Naamini hautaniangusha katika hili.🥺🥺.." Paulina aliongea kisha akaanza kuvikagua viatu vyote
Aliachia tabasamu baada ya kuona Mariah kaanza kutumia pesa za Baba yake😊😊.

Upande wa Sandra( Mama yake Max) akiwa chumbani kwake alijikuta akimkumbuka Paulina😌.
Ni muda mrefu umepita bila wawili hawa kuonana☹☹....hakuwa akielewa kama mtu huyu yu hai au amekufa🙌🏾

"Siyo kosa langu😔, mlaumu marehemu Mume wako kwa kuona Kijana wangu anafaa kuwa mrithi wa mali zake😌😌." Sandra alijisemea huku akishushia mvinyo🍷

Kulivyo pambazuka asubuhi Max akiwa bado amelala alijikuta akiota yupo ana mshughulikia Mariah.🤣🤣🤣🤣

Akiwa ana karibia kufika kilele cha Mlima Evarist alishindwa kujizuia kugugumia.🤣🤣🤣🤣

Sabrina akiwa kasimama kwenye mlango wa Kijana wake alijikuta akipanic baada ya kuhisi Kijana wake kaleta Mwanamke chumbani🤨🤨🤨.

Aliziba masikio yake😒😒, hakuwa tayari kusikiliza umalaya wa Kijana wake🙌🏾.

Baada ya sekunde 20 hivi mlango ulifunguliwa🤥, hakutaka kujua Kijana wake atakuwa kavaa au hajaa vaa aliingia kwa pupa🤨🤨.

Alianza kumtafuta kahaba aliyeingizwa na Max bila yeye kupatiwa taarifa🤌. Alitafuta huku na kule lakini hakuambulia kitu☹, hakutaka kukubali kushindwa🤔🤔.....alipiga mruzi mbwa wake mwanaminifu akaja.😟
Alimpa kazi ya kutafuta kahaba wa Max lakini hakuambulia kitu😳😳

"Max!... usiniambie ulikuwa unajichua!😳😳....ni muda wa wewe kumiliki Mwanamke.🙌🏾 Acha kujichua mbwa wewe😳😳😳" Sandra aliongea kisha akaondoka huku akilalamika🙌🏾

Max aliuangalia uume wake😌, alijinasua vibao kwa kuchafua mashuka akiwa pekee yake😌😌😒.

Mariah akiwa barabarani alitembea kwa haraka akiwa kavaa mavazi ya heshima😒. Alikuwa na shauku sana ya kusikia maswali ya interview yatakavyo kuwa🤥🤥.

Secretary Jose baada ya kumuona Mariah alimuangalia Max😅😅🤌

"Niruhusu nimfanyie interview mwenyewe🙌🏾, natamani Kampuni lako liwe na Wafanyakazi warembo na wenye uelewa kuhusu kazi yao😒"

"Upo sahihi hakikisha una zingatia kanuni na sheria zote za interview🤨, nitakuwa mtazamaji wa namna interview inavyoenda🙌🏾" Max aliongea

Mariah aliingia katika chumba cha Interview, Secretary Jose alirekebisha miwani kwa mkwara uliomshtua Mariah🤣🤣🤣.

Kitendo cha Max kukaa pembeni kilimfanya Mariah ajione yeye ndio alistahili kukaa sehemu hiyo.🤨🤨
Hivyo badala ya kumsikiliza Secretary Jose alianza kufikiria kama angekuwa CEO wa Kampuni hili kitu gani angefanya😒😒

Itaendelea
Nash stories
Tsap 0773792227.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

KISASI KILICHOZAAA MAPENZI🥰🥰 EP 03)  >>> https://gonga94.com/semajambo/kisasi-kilichozaaa-mapenzi-ep-03
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 32💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest