โPreviously on .... "Faaaajin gani! ๐คฃ.... Aaaah you are are
โso funny 'Kimani' .... ๐คฃ By tha now I know your full names Mike Kimani...๐คฃ Mzee amekuanika peupe.. ๐คฃ"
โ
โMrembo was vybing wello wello...
โ
โ"Now that you know my full names, I would would love to know your full names too... " I requested
โ
โ" Haha... I'm Trexi Muthoni Mburu so many call me Sonie..." She said
โ
โ" Wow I love your first name too... 'Mwari wa Mburu' " I said in a twenging language
โ
โ" Woow I love the way you tweng it.. " She said.
โ
โ
โWalai ungetuona hapo ungethani we were friends for years. But it was so unusual. We really vibed. Yaani hata Sonie wasn't feeling like leaving...๐
โ
โMzee naye had no patience... Kidogo kidogo nikasikia...
โ
โ"..Kimani, umemalisa hapo ukuje nikutume? " Mzee said.
โ
โ" Sonie, I'll have to go. Ukisikia mzee anaitana na sauti ivo kuna kitu anatjala nikashughulikie.. " I said.
โ
โ"Wewe go hear what he's telling you and be back.. I'm giving you my number after you are back..." Sonie said.
โ
โ" Ok lemme rush I hear him out..." I said nikielekea toward kale kaofisi ka mzee.
โ
โKufika tu hivi nikasikia... "Msichana ameenda?" I asked while trying to look outside.
โ
โ
โSasa hii ni mtego.. Lakini si unajua tu I am creative enough, nikajua huyu atajua hajui, nitakupiga kiswahili hadi ushangae wewe...๐คญ
โ"Hapana, hatujamalizana kabisa... She's waiting for a phone call, kuna rafiki yake anataka niongee naye kuhusu gari yake anataka nisikie shinda yake ndio atakuja garage akiwa amejipanga..." I lied to fix mzee asilete kasheshe mingi about her staying..๐
โ
โ"Ooooh! Naona unatafuta customers kabisa..." Mzee said.
โ
โNikajua huyu ameingia fix ndani na akajifunikia..๐คฃ
โ
โ
โ"Lazima tutafute customers kwote kwote.." I assured mzee.
โ
โ
โ" Ni sawa... Lakini usirudi hapo kukaa sana, nataka ukimbie uangalilie Kinyua gari yake... We need to act fast.. Anasema imezimia pale Kamachele ukielekea tao, anajaribu kuwasha na haiwaki... " Mzee said.
โ
โ
โ" Sawa acha niambie madam achukue namba watanipigia baadae ndio nikimbie niokote izo.. " I assured mzee.
โ
โ
โ" Sawa na ukumbuke kubeba computer reader yako, hio gari inakuanga na computer errors mingi sana na mwenyewe nikama haipendi kutoa pesa iangaliwe vizuri.. " Mzee added.
โ
โ
โ" Ni sawa acha nikimbie basi.. " Nikaambia mzee huku nikitaka kutoka.
โ
โ
โ"Na usikawie, hio gari inaendea private.. " Mzee also added.
โ
โ" Nรฎguo Mรฎthee" I said rushing to collect my tool box and my computer reader kit..
โ
โWith everything in hand, nikapitia kwa Sonie. "Sonie take my number and beep me, I have to rush somewhere on an emergency call... " I told her.
โ
โ
โ" Okay na kwani ni hadi wapi? " She asked while taking out her phone..
โ
โ
โ"Nasikia hio gari imakwamia 'Kamachele' ukielekea tao.. nataka nichukue nduthi pale inje inikimbize.. " I responded.
โ
โ
โ" Ahaaa.. Ingia, hapo naeza kudrop pia.. napanda hivo. Naishi nahuko juu gwa Kanyotu area, huko ndio home so nitakudrop... " She said as she ushered me to round and get in on the passagers seat...
โ
โ
โ"Basi fungua boot niweke hizi tools na apron... " I asked her.
โ
โNikaweka kila kitu kwa boot, nikazinguka hadi passagers seat na nikafungua mlango nikae..
โ
โ"Remember to strap on your seat belt... " She reminded me as she turned on the car, and we started driving off...
โ
โNakwambia gari lilikua linanukia perfume sweet... Hadi nikaamua sasa hapo ndio nitaanza pick up line zangu... huyu mrembo lazima ajue leo ni leo.. Nampiga kizungu achanganyikiwe, hio gwa Kanyotu anaita kwao atakua anaisikia ikimbore kama maji plain... Vile nimeplan kumchangamsha atakua akinitafuta kama shilingi walai... ๐
โ
โSee you in part 5 tutafute mpenzie sasa... Mistari bin mistari.. ๐๐ฅฐ
โ
โNa sitawakumbusha tena! kama unasoma hii story na huja-follow our sponsors Acacia concrete works LTD unakosea sana! please follow them ndio waendelee kusponsor our stories.
โ.