Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

NDOA YA MIE : 7 MTNZ : ZAMRATA

27th Jul, 2025 Views 27

MBWANA (ZM)
NO: 0698095257

Tulipo ishia ni Pale Mzee Kazumari anaongea na mfanyakazi wake Juma..

Songa nayo ....

"Khe!!! Kumbe na je Mahili atakubali kumuoa Binti wa Kijijini Zenafa ilihali ana Mwanamke wake Mwana chuo ambae ni Sara na Wanapendana sana? Huoni kama utakuwa unakosea sana Mzee "

"Mimi Siangalii ilo Amtake Asimtake lazima Mahili Amuoe Zenafa Uyo Sara sio Mwanamke Sahihi kwa Mwanangu Mahili na Atampoteza Kijana wangu uyo Binti "

Alisema Mzee Kazumari kwa Hasila mno huku Juma Alitoa Macho Ishara ya Kuvulugwa kwani Alijikuta anatokea Kumpenda Sana Zenafa .

Mahili Aliendelea Kuponda Raha Mjini na Mpenzi wake Sara

"Aaaah! Baby Basi inatosha Bhna"

"Yaani Sara Mpenzi wangu Nakupenda sana. Nipo Tayari kufanya Chochote kwaajili yako "

Mda Huo Mahili Alikuwa na Sara Chumbani katika Hotel ya Nyota
Tano iliyopo apo Dar es Salaam Na Mahili Alikuwa akimbusu Sara

"Ooh! Vizuri Baby Wangu Mahili. Unajua nini Mahili Mimi Sitaki kusoma sana na Wakati wewe Mpenzi wangu upo na Unapesa hadi Familia yako inayo Pesa Mimi Nataka Unioe tu nije kula Raha tu kwako "

"Jamani ! Jamani Sara ivi Suala la Ndoa Mimi na Wewe ni lakuuliza kweli ilo ndo Swala lililokuwepo
Mama angu "

Alifuarahi Sana Sara na kumkumbatia Mahili kwa Nguvu na Kuanza Kubusiana .

Siku Iyo ilikuwa Mbaya kwa Zenafa kwani Baba yake Alipata Ajali ya Boda boda na Kuvunjika Mguu mmoja . Familia ilichanganyikiwa mno na Hasa Zenafa kwani ndo Mzazi wake Pekee Aliye Baki .

Baba Yake Zenafa Alilazwa Hospital na Iliitajika Laki 3 kwaajili ya Operesheni ya Kukatwa Mguu na Alilazwa katika Hospital Kuu ya Mkoa .

Mama yake hakuwa na Ela wala Baba yake hakuwa na Akiba Mawazo Yalimtawala Zenafa hakujua Ashike Wapi na hali ya Baba yake haikuwa Mzuri hata kidogo Akiwa Anatembea kutoka Hospitali Alikutana na Rafiki Ake Juma .

"Mambo Zenafa "

"Poa Juma nambie "

"Mh. Zenafa mbona unafuraha Leo kuna nini ?"

"Da, Juma Wewe acha tu mwenzio mna mtihani mzito . Hapa unapo niona "

"Mtihani? Mtihani gani tena huwo Zenafa ?"

"Baba yangu Amepata Ajali ya Boda boda Wakati akiwa analudi kutoka Kwenye mizinguko yake alikuwa amekodi boda sasa ndo Amepata Ajali ndo yule Dereva karuka Baba yangu ndo Kavunjika mguu . Amelazwa kwenye Hospital ya Mkoa na Inahitajika Laki 3 kwaajili ya kumkata Mguu yani Juma apa atuna hata mia na nimevulugwa iyo ela nitaitolea eapi "

"Du, Pole sana Zenafa kwa hueo mtihani uliokupata cha Umuhimu ngoja nitajua jinsi gani ya Kuku Saidia "

"Sawa Juma nitashukulu sana kama utafanya ivo kama utanisaidia "

"Sawa"

Baada ya Mda Kidogo Juma baada ya Kuachana na Zenafa moja kwa Moja Alienda kwa Mzee Kazumari na Kumuelezea Mtihani Alionao Zenafa na Mzee Kazumari Aliamua kwenda Hospital Kuongea na Madaktari na Aliuliza kama Itawezekana Mguu Usikatwe

"Mzee Ajali za Boda boda Mala nyingi ni kukatwa Mguu tu . Hili kuwapa Onyo hawo Waliokuwepo mtaani Wawe Waangalifu "

"Sawa , Daktari Najua pia huyu Mzee hakuwa Dareva Alikuwa kapakizwa tu naomba ujitahidi Kadri ya Uwezo wako Mguu wake usikatwe nipo Tayari kutoa kiasi Chochote cha Pesa ili Huyu Mzee Asikatwe huwo mguu "

Mzee Kazumari aliendelea kuongea na Dokta mkuu kwa Umakini mno . Dokta Alikaa kimya kwa Muda na Kumuangalia Mzee Kazumari

"Sawa, Utatoa Laki 8 keshi na Nitajitahidikutomkata Mguu tataunganisha tu Mifupa "

"Sawa Dokta nitafurahi ukifanya "

Mzee Kazumari Aliungia mfukoni nakutoa kibunda na Kuasabu lak 8 na Kumpa Dokta Ambae hakuamini macho yake . Na Mzee kazumari Alitoka nje ya Chumba cha Dokta Akamkuta Juma Ambae alikuwa akimsubili Na Mda huo huo Aliingia Zenafa Akiwa na Ndugu zake . livyomuona Juma Alishangaa Kumuona Pale Na Alimfata na Kumsalimia

"Shikamoo Mzee "

"Malhaba Binti yangu Vipi Hali yako "

"Sijambo "

Zenafa Alimsalimia Mzee Kazumari Ambae Aliitikia Kwa Tabasamu pana .

"Zenafa Kutana na Baba yangu Mlezi Anaitwa Mzee Kazumari "

"Anha Sawa Nashukuru Kukufahamu "

"Zenafa kila kitu kiko Sawa Sasa usiwe na Wasi wasi . Tutaongea Vizuri Zaidi Tukikutana tena "

"Sawa Juma "

Juma Slisema hayomaneno na Kuondoka Zao yeye na Mzee Kazumari . Zenafa Alibaki na Mawazo sana

"Mh kila kitu kipo Sawa Anamaana gani ? Juma mbona Sijamuelewa , na yule Mzee ni nani ? Mzee Kazumari Mh "

Aliwaza Zenafa na Moja kwa Moja Aliingia Hodini Alikolazwa Baba yake Ambae Alikuwa bado anaendelea kupata Maumivu kalibia wiki sasa na Kutulizwa na Sindano za Maumivu

Zenafa Alimtizama Baba yake kwa Huzuni huku Akijalibu kuzuia Machozi yanayotiririka Kwenye Mashavu yake . Aliwaza ni Wapi angepata Pesa ya kumsaidia Pesa ya Kumtibu Baba yake ambae Anaendelea kupata Maumivu Pale Wodini hakuwa na Ndugu wa Kuweza kumsaidia wala Hakuwa na Mtu wa Kumkopa. Mama Yake Wa Kambo Zenafa Alikuwa kimya hakuwa na neno la kusema na yeye hakuwa nasehemu ya kupata izo pesa za kumtibu mumewe .

Wakiwa Wapo Wodini Alikuja Daktari Patrick

"Habari za Muda huu "

"Salama tu Dokta "

Waliitikia Kwa Huzuni

"Anha, Samahanini Kidogo . Naomba Mumuuandae Mgonjwa baada ya Masaa kama Mawili atatakiwa Kufanyiwa Operesheni "

Aliongea Dokta Patrick nakuanza kuondoka

Zenafa : "Anha , Samahani Dokta Mbona Sisi Hatujaja na iyo Pesa ya Opereshen "

Alisema Zenafa huku Akimuangalia Dokta Patrick kwa Mshangao

"Ooh! Samahani Binti . Kwani Amuna Habari kama Mzee Kazumari Amelipa Gharama Zote za Matibabu "

Wote : "Eti nini ? Gharama yote imelipwa "

Waliuliza kwa Mshangao

Dokta : "Ndiyo Na Naomba mfanye kama Nilivyo Waagiza Sina mda wa kupoteza Zaidi "

Hatimae Zenafa Alimfata Baba yake na Kumkumbatia kwa Furaha

"Hatimae Mungu kasikia kilio changu Baba angu . Hatimae utapona utakaa Sawa , Nakupenda Baba "

ITAENDELEA ...8.....

Hakikisha unalike nakukomenti bila kusahau kushare na kama ujafollow Page ya STORY ZA Zamrata Hakikisha unafollow ili upate mwendelezo mapema pindi unapotoka.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NDOA YA MIE : 7 MTNZ : ZAMRATA  >>> https://gonga94.com/semajambo/ndoa-ya-mie-7-mtnz-zamrata
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest