Wewe kaka Samahani mimi umri umeenda purukushani za nje ndani za vijana wadogo siziwezi shika elf 20 hii mtafute msichana ukamalize kiu yako tuendelee kuselebuka.
" Sawa hii 20 itanisaidia Kesho acha nikaliwashe goma.
( Mwenye Goma uyo kaenda kuliamsha tena anayo 20 mfukoni agawani na wenzie alipiga mipigo yote nyimbo kama zote hapo watu wanaserebuka...uku mama sauda anayamwaga mauno...vijana wa ovyo wanamdunga dunga na raha ya ngoma mwanamke mbele mwanaume nyuma...upande wa sauda uku yupo ndani na shoga yake wameongea wamechoka wanachungulia dirishani wanaona watu wanavyoselebuka...na wao wanacheza ndani uku mpaka kungwi alipofika anampa bi harusi maneno ya mwisho asubui awezi kuwa na nafasi tena akamwambia)
" Kaa hapa nikwambie ya mwisho aya.
" Sawa.
"JICHO LA MUME
jamani sitaki na kesi za kuachika wewe hujui jinsi ya kumuangalia mumeoππΏ
kwann ukamzoee mumeo hasa katika kumwangalia? Kwan huyo kaka ako auππΏ
mume anaangaliwa kwa kuibia na macho maregeeevu kama mie kungwi wakoππΏ
mume sio unamtumbulia macho kama unakunya kimba gumu kwanini asikuchokeππΏ
muangalie mumeo kwa macho maregevu muda woote tena huku ukiona kaaibu aibu kama katoto hali hiyo humsisimua sana mwanaume yaani anakuona upo romantic na katu hakuchokiππΏ
yaani ni vitu vidogo sana ambavyo mwanaume humchoka mkewe au mpenzi wake baada ya muda mfupi sana kwa sababu unageuka kua kama rafiki wa kijiweni ambae anakutana nae kila siku
pozi za kikekike ni nzuri sana kwa mwanaume yaani anaenjoy sana kua na mwanamke ambae anatabia za kikikekike ndio maana mashoga wanawaibia waume zenu maana uwa hawakosei katika tabia hiziii ni ndio haswaaaa wanaume huzipenda mnooooππΏ
shauri yako unazani kudumu katika ndoa mchezoπ€£.
Yashike aya niliokwambia.
" Sawa.
" Chengine mashoga wasiwe karibu na mumeo si unajua tena uku kunaitwaje?
" Ndio si kunaitwa kwa mpalange.
" aya uwe makini mashoga wengine wanaweza kumpa mumeo uko walipotuhalibia jina la mji wetu.
" Sawa nimekuelewa.
( Kungwi akamaliza...asubuhi ikafika sauda akaenda kwa mama yake kubadilisha nguo akavaa sale sasa ya harusi...uswahirini kuna mambo...upande wa mume wa sauda...dada zake walifika kwake awamuoni wifi yao wakamuuliza kaka yao)
" Wifi yupo wapi?
" Amekuja kuchukuliwa na mama yake hapa usiku kuna ngoma sijui nini uko kwao kwa mpalange.
" Na wewe umemruhusu aende kwenye ngoma.
" Dada zangu nilikataa ila sasa mama mkwe ndio kaja kumchukua mwanawe.
" Kaka uyo mama mkwe asikupande kichwani yeye kaozesha mwanawe ajue yupo chini ya mtu izo pigo anakuletea ndoa bado mbichi atakupanda sana kichwani kaka uwe mkari kwa mkeo.
" Sasa nifanyaje.
" Tupe ruxsa Sisi tukamchukue uyo mkeo hapo kwenye ngoma.
" Sasa mtapajua.
" Ngoma kama msiba tu apotei mtu wewe tupe ruxsa tukamchukue na aje hapa tumwambie kabisa.
" Mumwambie nini.
" Yeye na ngoma marufuku kama alikuwa anaenda zamani uko kabla ajakuwa mke.
" Sawa nendeni.
( Mawifi tena hao wanaenda wakapanda gali za buza wakashuka kwa mama kibonge wakachukua bajaj mpaka kwa mpalange...kweli wakaona harusi maana mchana kulikuwa na mziki sasa ngoma imeisha usiku wakajichanganya na wao kama waalikwa wanamtafuta mke wa kaka yao...wakati mke wa kaka yao kavaa sale wote wanafanana uku yupo na mama yake mzazi...mama mzazi kampa zawadi mwanawe akatunze kashike mkononi sahani za udongo...na jina ndio likawa limeitwa na mc)
" Sauda zamu yako kumtunza shoga yako sauda atapanda na mama yake dj mlete sauda sasa.
( Sauda anaanza kwenda uku kashika zake Sahani anakutwa anavutwa nguo yake kwa nyuma kugeuka anakutana na wifi zake mmoja kakunja sura anamwambia)
" Weka Sahani chini twende kwenye ndoa yako sasa ivi.
" Subilini nikatunze kwanza.
" Muda wa kusubili atuna weka Sahani chini twende.
( Mtihani huu kwa sauda..mama yake anageuka ndio anakuta mwanawe anaambiwa aweke Sahani chini)
Dah yani..
ITAENDELEA
NINI KITATOKEA HAPO
USIKOSE EPISODE IJAYO.ππ ILA KWA MPARANGE π’
Sehemu ya nne.
π Mtihani huu kwa sauda...mama yake anageuka ndio anakuta mwanawe anaambiwa aweke Sahani chini..π
Alikuja kama moto wa kifuu akawauliza bila kuwasalimia)
" Nyinyi nani kawapa ruxsa ya kumzuia mwanangu?
" Uyu wifi yetu kaka yetu kamuoa tunataka aludi kwa kaka yetu.
" Wajinga nyie msitake kuharibu harusi ya watu muacheni nimesema mama mimi sio shoga ujue.
" Wewe chukua ukatunze sisi tunaondoka na wifi yetu.
" Nyinyi mnajua mimi ndimu naongea kistaharabu naona amunielewi.
" Tunakuelewaje kwa mfano.
( Mama yake sauda akapaza sauti sasa mashoga wa sauda wote wakaja kama nyuki)
" Wachawi wa mchana hawa jamani wanawangia shughuri.
( Walifika wakauliza wakaambiwa wamemfata wifi yao hapo sasa ndimu mmoja akasema)
" Nyinyi kama kaka yenu anao upwiru kampeni kwa siku moja sio mbaya mnawashwa mumfate wifi yenu kwao yupo na mama yake mumchukue kama mzigo tena sauda umezidi unyonge ningekuwa mimi ningewaweka makofi hawa misungo aijachezwa hii aijui maana harusi.
( Wale mawifi kuona watu ni wengi wakaona watapigika wakamuacha sauda wakaondoka uku wanasema kimoyoni atakoma akirudi kwenye ndoa yake...sauda akaenda kuntuza harusi ikaendelea mambo yakawa mazuri kabisa kutokana na uchovu sauda akurudi kwa mumewe siku iyo sasa uku kwa mumewe mawifi wanamwambia kaka yao)
" Kaka yule mkeo katoka uswahirini na wewe umetokea uswahirini ila sio sana kama yeye Kwaiyo yule atakupanda kichwani tunaomba utuachie siku nne tumnyoshe siku nyengine ataheshimu ndoa.
" Yani mnataka kumpiga?
" Wala atumpigi tunamfanyia visa tu.
" Kivipi yani?
" Kaka Sisi wanawake tunajua kisa kipi kinakera na kina mafunzo kwake.
" Niambieni kwanza.
" Leo si aludi mimi nachafua vyombo vyote vya ndani atakuta vichafu na uyu mwenzangu atachafua nguo zako atakuta chafu Kesho akiludi akutane na kazi ya kufa mtu hapa siku nyengine uyu atoenda ngomani.
" Ivyo Sawa nilizani mnataka kumpiga.
" Kama atakuwa jeuli tutamlamba kidogo vimakofi viwili vitatu.
( Kaka yao akuongeza neno wao wakawa na kazi ya kutengeneza kazi nyingi kwa wifi yao ambapo mwenyewe ajui kitu yupo kwao kwa mpalange uko...asubuhi uyo sauda anatoka anaenda kwenye ndoa yake uku mama yake akampa maneno)
" Inaonekana wifi zako wanataka kukufanya wewe kama ujazaliwa Kwaiyo usije ukawa mjinga kisa ndoa muheshimu mumeo ila wifi zako wasipo kuheshimu usiwape heshima wakikuona wanini wewe waone wakazi gani hawa.
" Sawa mama.
" Nipo hewani masaa 24 mwanangu ndoa sio jela sawa.
" Sawa mama.
" Aya nenda mwanangu.
( Sauda akapanda gali la mbagara akakaa kwenye kiti na kijana wa ovyo akaanza kumtongoza sauda akamwambia)
" Kaka Samahani mimi ni mke wa mtu.
" Samahani dada ila mumeo kapata mke una umbo zuri sana.
" Asante.
" Ila dada basi naomba tuwe marafiki tu ukiachana na ayo nilikutamkia mwanzo.
" Sawa.
( Sauda akawa anaitika ila ayupo makini na anachokiitika jamaa anatumia akili ya kiume urafiki ambao utazaa mapenzi baadae akamuomba namba)
" Naomba namba yako siku moja moja tunasalimiana.
" Nipe zako siku nitakusalimia.
( Jamaa akampa namba alafu akajiongeza kiutu uzima akampa na elf 30 anamwambia)
" Ukishuka utanunua matunda rafiki yangu.
" Asante.
( Ile elf 30 ni chambo ya kuseviwa namba yake na siku sauda akikwama ajue msaada upo apige simu wanaume wanaangalia mbele zaidi...kweli sauda akashuka kwenye daradara akaenda kwake anafika kwake anakutana na wifi zake wanaangalia sinema zetu alafu nje kuna furushi la nguo na mijombo michafu anawasalimia)
" Za saizi.
" Atujaziandika.
( Sauda akutaka kuongeza neno akaingia chumbani kwake akumkuta mumewe akampigia simu)
" Haloo mume wangu nimefika nyumbani.
" Sawa nipo kazini.
" Sawa.
( Wifi mmoja akaenda kumgongea sauda na sauda akafungua mlango yeye wifi mtu akaanza)
" Wewe uoni vyombo vichafu uoni nguo chafu unaingia ndani kujifungia aya toka usafishe vyombo na nguo zote.
" Vyombo vyengine sivioni pale navyo vichafu kaviwekeni nivioshe vyote.
" Unamaanisha nini?
" Kama auna D2 uwezi kujua.
( Sauda ni mtoto wa uswahirini alijua vile Visa sasa anawatukana yule wifi mtu anajitia uchizi)
" Wewe tumesema kaoshe vyombo.
" Nitaenda kuosha kama na ivyo vyombo vyengine vitakuwa pale kama avipo aliyevichafua ataviosha.
Hapa sio kwenu wewe usitujibu kunya tutakutandika.
" Mimi uyo au sauda mwengine mwenye uwezo wa kunipiga ni kaka yenu tena ananipigia pale unapaona nataka nikatandike shuka ila wifi anipige subutu kutachimbika.
" Utaosha vyombo uoshi?
" Vile sioshi mpaka viwe na vyengine vyenye shombo nitaviosha vyote ila vile vile ataosha aliyechafua yani uchafue vyombo makusudi mimi nioshe amjaweza kunipata kiivyo.
( Sasa wakaangaliana uyu anajiamini nini...sauda akarudi ndani akafunga mlango akavaa suruali na mkanda wake mtoto wa uswahirini uyo sasa wale mawifi wakapata jibu la fumbo la sauda)
" Dada ujue ametutukana anasema tuweke vyombo vyengine vyenye shombo anamaanisha sehemu zetu za siri.
" Kha kumbe ngoja tumpige kwanza tumshikishe adabu.
( Wanagonga mlango kwa nguvu nia atoke wampige kwanza washajua fumbo...sauda anafungua mlango)
Dah yani..
ITAENDELEAππ ILA KWA MPARANGE π’
Sehemu ya tano.
π Wanagonga mlango kwa nguvu nia atoke wampige kwanza washajua fumbo...sauda anafungua mlango...π
Alipomaliza kufungua wakamvuta nje atoke ndani)
" Mnataka shari.
( Kabla awajaanza kumpiga na yeye aludishe mashambulizi kaka yao anaingia)
" Dada zangu vipi mbona ivyo.
" Kaka tuache tumshikishe adabu uyu mwanaharamu.
" Mwanaharamu mwenyewe silali na tusi.
" Kaka unamsikia.
" Dada Tulia kwanza kisa nini?
" Tuache tumshone mdomo uyu anajifanya anajua kutukana.
( Kaka mtu akatumia nguvu ya ziada akamwambia mkewe aingie chumbani ndio hapo dada zake wakasema)
" Kaka sikia Sisi tumemwambia aoshe vyombo yeye anasema mpaka tuweke vyombo vyengine pale ndio ataosha bila ivyo aoshe aliyevichafua.
" Sasa hapo ametukana wapi?
" Kaka vyombo vyengine ni sehemu zetu za siri mkeo anajifanya anajua mafumbo.
" Ayo mmesema nyinyi acheni kufanya mambo kuwa makubwa nyinyi nendeni kwenu ivi vyombo vitaoshwa na nguo zitafuliwa sitaki ugomvi kwangu.
" Kaka utakuwa umerogwa uyu mwanamke atakusumbua inatakiwa apigwe kidogo.
" Iyo ni ngumu siwezi kufanya huo ujinga sijakuwa na ujinga huo nendeni.
( Waliondoka uku wana duku duku Moyoni wanasema watamkomesha...kaka mtu akamwita dobi akafua akamwita dada mwengine mtaani akaosha vyombo alafu akutaka mambo mengi akamuaga mkewe)
" Nilikuja mala moja tu acha niwai kazini my wife.
" Sawa mume wangu usiku tupike chakula gani?
" Ukipendacho ndio nikipendacho wife wangu pesa hii ya kula Sawa.
" Sawa mume wangu.
( Mume akaondoka uku sasa mkewe akampigia simu shoga yake aliyeolewa)
" Halima mtoto wa kitumba niambie.
" Mmm majanga tu sauda.
" Majanga yapi tena halima?
" Sauda wanaosema kwenye ndoa sio mbali unaweza kwenda Leo kurudi Kesho wapo sahihi.
" Niambie nini ?
" Mume wangu nilimwambia kapange ataki aya nyumba yao juu IPO wazi yani kijiko kikidondoka chumba cha pili unasikia sasa usiku najizuia kutoka miguno asubuhi Leo namsikia kwa masikio yangu mama mkwe anamwambia baba mkwe mwanetu kaoa kapu au? Mbona atusikii milio.
" Makubwa ayo Kwaiyo baba mkwe akasemaje?
" Akasema tusikilizie labla Leo tutasikia.
" Ayo maneno umemwambia Mumeo?
" Sijamwambia ndio nawaza hapa nina wakwe au nina vichaa.
" Pole sana mimi mwenyewe nimekuja nimekutana na kisanga ichi.......
( Akamwadisia yote na halima akasema)
" Umewakomesha wanatuchukuliaje watoto wa kwa mpalange tunakula dagaa na kichwa chake atuchambui mawifi machizi kuwa chizi zaidi yao.
" Sasa halima nikwambie.
" Niambie.
" Hao wakwe si wanataka milio sasa jichetue Mumeo akigusa shavu tu wewe lio lianze mpaka wajue wanayotaka yanakera.
" Yani sauda kama ulikuwepo kichwani mwangu nilipanga ilo Leo.
" Poa halima.
( Walikata simu..sauda ametulia kwenye ndoa yake...sasa uku halima amepanga lake usiku...kumbe mama mkwe na baba yake mkwe na wao wanalao usiku mama mkwe anamwambia mumewe)
" Wai kupanda juu umchungulie mwanao inawezekana asimamishi aiwezekani alale na mwanamke ata kitanda kisilie kwichikwichi.
" labla kaweka godolo chini.
" Basi mwanamke aulilie.
" Ngoja nipande mke wangu juu nitulie saizi si ameenda kuoga.
" Aya panda fasta.
Mzee akapanda juu akatulia anaona chumba cha mwanawe chote...halima katoka kuoga ajui juu kuna nini anatoa nguo mwenyewe mwilini anapaka mafuta wala mlango ajafunga na funguo yupo chumbani kwake...sasa kainama anapaka mafuta miguuni mzee mzuka juu ukampanda akateleza...puuu kadondokea chumbani alipo halima alafu halima yupo bila nguo...na mumewe yani mtoto wa mzee anafungua mlango anaingia chumbani kwake uku halima anastuka ya mzee na mlango unafunguliwa)
" Mke wangu π³π³..
ITAENDELEA
KWETU morogoro.