Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

1 - 5 YOU ARE MY FAVORITE THING TO EAT ( utamu wanguπŸ˜‹)

27th Jul, 2025 Views 37



*__________________________________*

KIPANDE CHA 1.
Naitwa Goldie, wengi wanapenda kuniita G, ni binti yatima nakuelewa na shangazi yangu Toka nikiwa na miaka 12, Sasa hivi Nina miaka 22, mwanzo anty Alice alinipenda sana tatizo lilikuja pale nilipofaulu kwenda kidato Cha kwanza peke yangu tena shule ya vipaji maalumu, huku binti yake happy akiwa kafeli, alianza kunitenga, shule nilienda japo Kwa mbinde sana, na msaada wa majilani ndio ulionibeba mpaka nikamaliza kidato Cha nne...

Nilifaulu kwenda advance, lakini sikuweza kupelekwa ilinibidi nianze kufanya kazi Kwa watu, mpaka za kumsaidia wajenzi, ilikuwa ngumu lakini nilifanya Kwa malengo, mwanzo nilikuwa nililudi na pesa nyumbani, anty anamchukua zote, nikaamua kufungua acount naweka pesa nyumbani naludi na pesa kidogo sana...

Nilikuwa nalala masaa mawili tu Kwa siku, Kwa sababu ya kazi za nyumbani zote ni Mimi hata nguo za familia nzima ni mimi nilikuwa nikifua, Ili niende kazini lazima niache chakula Cha siku nzima, na niwahi kuja kupika Cha usiku,niliteseka Kwa miaka miliwi nikapata ada ya kusoma short coz , nilisoma Kwa Siri sana mpaka nikamaliza, nibahatika nikapata mchumba, Jeff ...

Jeff: G naona siwezi kukaa tena mbali na wewe, nimeshajipanga kuishi nawewe, naomba uongee na anty Yako, nije kunitambulisha nitoe na mahari nikuchukue mpenzi wangu...

Nilifurahi sana Jeff wangu, kutaka kunimiliki kihalali, nililudi nyumbani nikaongea na anty juu ya Jeff, " anataka kuja lini na anakazi Gani? Ata kesho yeye Yuko tayali, kuhusu kazi ni manager wa kampuni ya magari ya Lex,nilijibu shangazi,sawa mwambie aje kesho...

Nilifurahi mno nikampigia simu Jeff wangu, nikampa majibu,kweli kesho yake akaja, Kila kikaenda sawa akatoa mahali na taree ya ndoa ikapagwa ilikuwa ni miezi mitatu mbele, shangazi alianza kunipenda upya, happy alionekana kuchukia, ila nimeshamzoea yeye muda wote anamakasiriko...

Siku zilizodi kukimbia hatimae siku Moja kabla ya harusi, Nimeshanunuliwa mpaka shera, sikufanyiwa sendoff, Niko ndani naona watu wanajiandaa tena sio kidogo kama Kuna shuhuli nikajua maandalizi ya kesho, tena muda huo na mziki juu...

Nikiwa chumbani, Kuna mama jilani yetu, akaja kiwizi alionekana kuogopa kweli, ilikuwa mida ya saa Moja jioni, G pole binti yangu, sikumuelewa pole ya nini Mimi najiandaa na ndoa kesho uyu Yuko sawa kweli πŸ€”....

Alinitizama akahisi, huenda sijui nini kinaendelea, akaamua kuniambia, G shangazi Yako na binamu yako wamekuzunguka, bwana Ako kamuoa Leo happy tena Kwa ndoa ya kanisa, hivi wenzio, wanajianda kwenda ukimbini, kwenye Sherehe, mama pili, acha utani ujue Nina gauni la harusi nimenunulia na Jeff!!...

Nilishindwa kulia, kucheka, sikuwa naamini baada ya muda watu wote ndani kulitulia ni mziki tu, nikaamua kwenda na huyo mama pili, mpaka ukimbini nyie hamuwezi kuamini kweli nimesalitiwa 😭😭....

Itaendelea...πŸ’₯
YOU ARE MY FAVORITE THING TO EAT
( utamu wanguπŸ˜‹)

*__________________________________*

KIPANDE CHA 2.
Nilitoka kimya kimya, kabla watu hawajaniona, mama pili alinifata,nilihisi mwili wangu umepigwa ganzi nzito, sikuwa nahisi chochote,upande wa pili kulikuwa na kijana mmoja tajili wa Canada, alikuja vacation Tanzania, MAPENZI naye yamemvuruga hayaangalii Cha pesa Wala maskini nyie πŸ™Œ...

Afu mkaka mzuri Atari analangi tamu sio Ile yauzungu wa ukame, Yani ni ngozi imelainishwa, sura nzuri body ndo usiseme,Sasa huyu alieacha hiki kidume sijui anataka nini jamani, pesa ipo, kwani wanawake tunataka nini jamani πŸ€”, au nanilii yake inashidaπŸ™„πŸ«£, najalibu tu kuwaza mwenzenu, ukute Kuna kibamia, au hogo dhaifu, kaachwa na Demu siku ya ndoa tajili, uku mwenzie nimetoswa siku Moja kabla ya ndoa 😭...

Alikuwa akijipoza maumivu, akiwa na mlinzi wake, zhang anasura ngumu uyu jamaa nyie mmmh, hacheki, alibigiwa simu na Bibi yake SILVER, haloo madam, " hakikisha anapata mwanamke huko huko, endapo hatalidi na mwanamke ujue na wewe huna kazi tena" sawa madam,Zhang alikubali kazi ya madam boss, bila kufkiria kiumbe alichonacho kimepinda kiasi gani...

Akiwa katika kuwaza ghafra akatuona, nje ya hotel Moja kubwa, tulikuwa tunapita tu na stress zangu, hata gharama ya soda tu Kwa hio hotel siwezi toa, nitajikuta natoa mtaji wangu wote wa keki,alijikuta kavutiwa na Mimi japo nilikuwa naavaa majuba kuficha kitako changu Toka nikiwa la Saba, nilikuwa naficha Tako langu kuwaepuka watoto wa farao, Nina Tako la kunesa lenyewe, Yani nikitembea tu Tako linadunda...

Nikawa nalificha ila Leo nilitoka bila juba ivyo mambo wazi, Nina umbo zuri sana na weusi wangu wa mzuri tu, nywere tu ndo sikupewa, ila vingine dah Mungu alijua kunipendelea, Zhang aliamua kumsimamisha mama pili, akaniita na Mimi ila sikuwa nasikia, ghafra tu nikashangaa Yuko mbele yangu,aisee uyu chotara hajipendiπŸ€”, alinipa maji Kwa lazima, alafu kumbe kiswahili anakijua,aliniongelesha Kwa lugha halisi kabisa, kunywa kwanza maji,unaonekana hauko sawa, niligoma alinikaba akaninywesha Kwa lazima, nilivyokunywa tu, nikiachia kilio akanichukua akaniingiza kwenye gari, akanifungia na kunifungia humo humo, yeye akatoka kuongea na mama pili,waliongea mama pili Hana Siri, laki Moja akatoa historia yangu full, hakunibakisha njaa hizi dah!..

Zhang aliwaza, alinitamani vibaya mno, ila ananihurumia atanihalibia maisha, Kwa historia yangu yeye ana familia atakuwa ananiumiza zaidi akaamua kujikaza anilinde na sio kunihalibia,sijui nini kiliendelea nakuja kushtuka Niko kwenye chumba kimoja kikubwa, Niko na kidress kifupi sina ata pichu ndani, nilishangaa ila pembeni Kuna mkaka bonge la hb, nikiwa bado natafakali,nashangaa jamaa ananivaa juu yangu, ananitizama Kwa macho ya tamaa amelegeza macho vibaya mno, alinitizama Kwa hisia akiwa juu yangu kanibananisha na kifua Chake kipana...

Nilitaka kuongea akaniwahi, Moja Kwa Moja kwenye lips Kila nilitaka kuongea kitu inapita kwenye ulimi, ikabidi nitulie kwanza, nianze kujitafuta, imekuwaje Niko hapa, ndo nimtoe ila hapana hii ni ndoto ni jini hili, linataka kunikula, bola tu niliwe na jini kuliko so watoto wa farao...

Nilijikuta nasikia utamu, kweli, akili yangu yote iliamini ni jini, akuna mwanaume mzuli kiasi hiki Duniani,muda wote hakuwa akitoka sauti uyu kidume, ni vitendo tu alijua kunitesa jamani,alipiga deki ya maana ni kama alikuwa anasikia utamu kuimumunya,alivyoona sina Hali akaniachia nyie, alivyoingiza tu,kwanza akaachia huo muungurumo wa kiume haswaa, Yani ni kiume...

Alitembeza mashine nikawa najikunja kunja, na kuhema juu juu, kama vile nimepandisha mashetani,huku natoa miguni na maneno yasiyoeleweka, jamaa ndo akazidi kuvurugwa, alikuwa na niunganishia umo Umo, bila kupumzika, nilimwaga mpaka dhambi nyie,sauti yake ndo ilikuwa inanivuruga zaidi, akawa anaongea, vile anajisikia Raha ninavyohangaika ikiwa ndani anasikia Raha sana, ninavyojingonga nyonga nakuililia, inajito lakipekee ajawai lipata Toka azaliwe...

Alionekana kuenjoy kupita kiasi, nilichoka mno nikabaki kulia tu, nikiamini ni jini alitanisikiliza,ilifika hatua alinionea huruma akawa ananitizama Kwa u pole, huku ananitia na kunimbembeleza, alinyonya shingo,maji yalinifika shingoni ikabidi niongee tu, huenda atasikia,plz nimechoka jamani, alinitizama Kwa hisia macho Kwa macho, akaniweka mbuzi kagoma,akapiga kelele na speed ya ajabu mpaka akafika safari yake...

Ulaini ya vitakπŸ˜ƒ vyangu vilimpa mzuka na kunesanesa Kule kukamfanya amalize,alitamani kuendelea ila kwangu sikuweza, nilianza tu kulia, alionekana kama mtu alielewa kiasi hivi, sijui ilikuwaje baada ya kuoga, alitaka tena tukaanza kuvutana, Mimi sitaki yeye anataka, alinibana ukutana nikazima, nakuja kushtuka asubuhi jua limewaka naamushwa kwenye saa 7 mchana...

Naamka ivi nashangaa, ni kweli sio ndoto ananiamsha πŸ€”, nilivurugwa, afu jamaa hacheki ni Yuko serious vibaya, muda huo sina hata nguo najiziba tu na taulo nimefikaje hapa? Niliuliza yule kaka akanitizama sana Kisha akasema....

Itaendelea...πŸ’₯
YOU ARE MY FAVORITE THING TO EAT
( utamu wanguπŸ˜‹)

*__________________________________*

KIPANDE CHA 3.
Yule Hb alinijibu huku anekadilika sana, we binti usicheze na akili yangu, umejileta mwenyewe bila aibu, tena umeninywesha sijui vitu gani, unajielewa kweli wewe?ama unafikili sijajua mbinu zako, unafikili nikilala na wewe bila makubaliano nitakulipa? Mabinti wa ki. Africa ni waajabu sana mnajilahisisha sana ovyo kabisa...

Aisee ilinikela vibaya mno niliamka nikamtizama Kwa hasila, nikamuwasha kwanza Kofi akili zimludie vizuli, nisikilizie wewe limbukeni wakizungu, sio Kila mtu anajiuza, kwanza sielewi humu nimefikaje, nikuwekee dawa nazijua ama nakujua wewe? Unabwatuka tu kama hukuwa na pesa za kiwalipa, hao wenye biashara Yao hukuwa na haja ya kuniteka, hunijui vipi kama ninamaradhi mbwa wewe, nilibwatuka Kwa hasila, kwanza uko kwenye nchi yangu na unaniteka aisee uhuru umezidi, niliingia bafuni nikaoga na kuvaa nguo zangu, Kisha nikatoka nakuta vibunda vya Hela za kutosha ety malipo Yako hayo Kwa burudani uliyonipa, nilizishika hizo pesa, nikamtwanga nazo usoni, nakumsukuma Kisha nikatoka...

Nilitoka nakutana na walinzi wawili nje, nikawapita nikaenda mpaka nje apo ninanjaa sina hata mia Wala simu,nilitafuta Sehemu nikakaa nakuanza kulia Kwa uchungu mkubwa, nilipomaliza nikapanda toyo kwenda nyumbani, nafika nawakuta wanandoa, happy alikuja kuchukua mizigo yake, niliingia nikamuona Jeff kakosa amani,akaomba kuongea na Mimi, shangazi akawa anazuia Mimi sikujali niliingia ndani nichukue pesa nimlupe boda kwanza...

Naludi nakuta Boda ameshaondoka kumbe Jeff alimlipa, sikujua Ile nataka kuingia ndani nikashangaa navutwa chemba ghafla, nilitaka kupiga kelele akaniziba mdomo, kucheki vizuli ni Jeff, aliendelea kuniziba mdomo Ili aongee,
Jeff: G honey naomba unisamee sana, Mimi simpendi happy ila alinichezea mchezo mwezi ulioisha, nikajikuta nimetembea nae, Juzi shangazi Yako kaja na happy wakadai Happy anamimba yangu, hivyo ni lazima nimuoe, jambo lilikuwa kubwa mpaka Mzee akaingilia nakusema nimuoe Happy tayali Nina talajia mtoto nae, Ili isijekuleta matatizo mbele sikuwa na ujanja ikabidi nioe bila kupenda Jana, naomba usinifikilie vibaya nitamuacha, na tutatimiza ndoto yetu...

Alivyomaliza kubwabwaja akaniachia, sikutaka kunisumbua kujibu pumba, alishangaa akaniuliza G mbona unaondoka umenielewa? Alivyoona naondoka akanivuta tena nakuniambia ananipa mtaji na pesa nikapange atakuwa anakuja, aisee wewe kaka niachie nisije nikaonekana waajabu, Mimi sio mtoto, kingine huo mtaji nilishaomba sana, Sasa hivi ndo unajua umuhimu wakunipa? Asante niachie halaka kabla sijakujazia watu hapa Sasa hivi...

Alivyoona nimekaza akaniachia, niliingia ndani shangazi akaanza kusema, G sikuwa na namna mwenzio tayali nimjamzito hawezi kulea mtoto mwenyewe ilihali mwenye mimba yupo, ilibidi nifiche aibu,sikumjibu kitu nikaingia chumbani, nikamcheki simu yangu na vitu vyangu, bahati nzuli vyote vilikuwa sawa, nilikuwa nasikia maumivu makali sana moyoni, kuwa yatima kibaya sana, naonewa kwakuwa sina wazazi sina 😭, Leo mama angu angekuwepo na baba haya yote yasingenitokea, nimebakwa kizembe, sijui hata nafanyaje Mungu wangu, Kwa nini ni mimi Kila siku Kwa nini Mungu wangu, mbona najitahidi sana kukuomba, natoa sadaka Kwa wingi, ni dhambi Gani niliyotenada mpaka nalipia maumivu makali kiasi hiki, ni mimi tu nafanya kazi Kwa vidi, sijamtendea mtu unyama Kwa nini Mungu wangu Kwa nini? Nililia sana bila kupata majibu, nikiwa bado nalia happy alikuja kunikebehi,sijakaa sawa, shangazi nae kaingia ety nikawapikie wageni, na wakwe wanaokuja Kuna kuku na vitu muhimu vimeshafika, nifanye halaka, Kwa mala ya kwanza nilikataa...

Wewe mtoto wa marehemu, usinipime uvumilivu wangu, hapa ndani kwangu, hakuna maamuzi utafanya ninachokueleza kama hutofanya kwangu nisikuone, hawakujua hata kama sijalala nyumbani kumbe wote walilala hotelini wamekuja asubuhi,na humu ndani hakuna mpishi zaidi yangu,happy hajui kupika kabisa, shangazi pia sio mjuzi hivyo walikuwa wananitegemea Mimi Kwa asilimia 100%, walijua sina ujanja Wala pakwenda hivyo hawakuandaa wapishi, pesa zangu za mahali zote alipewa Happy kuandaa harusi yake Kwa Siri hapo Awana pesa na matumizi mabaya ya pesa yalifanyika kununua manguo mengi na kuninunulia zawadi za shuhuli Ili waonekana wametuzwa sana kumbe wamejitunza wenyewe...

Niliona nibola niondoke nisije nikawafanya jambo la ajabu, maumivu nilivyokuwa nayo ni makali sana, yasikie tu Kwa jilani najikaza nashindwa kabisa,niliamua kuondoka hawakuamini, walijua natania nilibeba kibegi changu na vitu vyangu vya harusi lengo nikaviuze, lakini walivichukua Kwa madai ni vya mme wahappy, hivyo sio Hali yangu tena, sikutaka kujibushana na mtu tena niliondoka na begi na simu na na card yangu ya benk, ilikuwa na kijipesa kidogo hakitoshi kabisa kujitegemea na kuendesha maisha nitalipa Kodi tu ila mtaji utakata...

Sikujali nilitoka, hawakuamini walitaka kunivuta, nilimwasha Kofi happy, aisee mmeshasema niondoke kama sitaki kupika, naondoka tena mnaniletea uduanzi, nitafanya kitu hamtoamini, ni bola mnipishe Kwa amani, anty alitaka nae kuzuia, nilimsukuma huko nikatoka nje, kulikuwa na wageni, nilikuwa Kila ninapopita, nanyoshewa vidole Kila ninapopita mada ni mimi,nilijikuta nalia tu Kwa uchungu, uku natembea, nikiwa kwenye maumivu, Zhang alitokea tena kama jini hivi, alivyotokea ndo nikakumbuka huenda huyu ndie alinipeleka Kwa yule mzungu mwenzie, nilimsubili Kwa hamu, ajisogeze nimbutue vizuri, anieleze A to Z ilikuwaje nijikute kitandani na mwanaume tena nikiwa na hisia zisizozuilika....

Itaendelea...πŸ’₯
YOU ARE MY FAVORITE THING TO EAT
( utamu wanguπŸ˜‹)

*__________________________________*

KIPANDE CHA 4.
Nilimsubili alipofika tu sikutaka kusubili chochote, nikamuwasha banzi kwanza, haikuchukia Wala badala yake akasema,usikate tamaa hata maua huchanua baada ya mvua kubwa, nilimtizama Kwa hasila ivi anajisikia lakini uyu kengeπŸ€”, kwahiyo umekuja tena kunichukua ukaniuze SI ndio? Hakutaka kujibu badala yake aliona nitamsumbua akanizimisha ghafla tu Kwa kunibinya eneo la shingo sijui ata aliwezake ilikuwa na halaka sana, akaniweka kwenye Gali lake, nakuja kuamka Niko kwenye chumba kimoja kikubwa, afu yeye Yuko dilishani kaganda kama vile mlinzi wangu...

Nilivyomuona tu nikakiamsha, alisubili niongee, nitukane mpaka nimalize ndio nayeye akaanza, "G natambua nimekosea kukupeleka Kwa boss wangu bila kibali chako, lakini sikufanya Kwa Nia mbaya, nakutengenezea Sehemu salama natambua inaweza ikawa ngumu kwako mwanzo, lakini kama utaniaminu nakunisikiliza Kila kitu kitakuwa sawa, na utakuwa mtu mwingine kabisa...

Boss wangu ni mtu wa Canada, nahitaji uwe mke wake, ndio maana nilifanya hivyo nimeshakuchunguza, mpaka nikafanya maamuzi hayo nimeshabaini ninyi mnaendana sana, tatizo lenu nyote ni jeuri na hasila za ma ex zenu ndo zitawasumbua lakini ni Kwa muda tu mtaelewana, ivi we mzungu unajielewa kweli? Yani unaongea tu kama vile unanijua, ivi unaijua heshima ya mwanamke kweli? Inamana kulala na boss wako ndo niwe mke, kama ukitaka hivyo Kwa nini hukutuunganisha ukaona kunifanyia ukatili ndo sahihi, ivi kwanza hio nguvu ya kunifanyia ukatili kwenye nchi yangu umeutoa wapi? Au unahisi kwakuwa sina pesa, siwezi kukukomesha ee...

Goldie, nakuheshimu sana, nsheshimu uyu wako, lakini pia nsheshimu nchi Yako, kukuelewesha Kwa Sasa, naona kabisa hautonielewa na haukotayali kunielewa,Niko hapa tu kukuomba nikuajili wakati nikisibili utayali wako,najua huwezi pokea pesa ya bule, nitakulipa million 5 Kwa mwezi, kazi ya upishi wa chakula Cha wasafili wa majini, Yani meli za abiria wa utarii wa visiwa , nyumba na utapewa na kampuni, kama uko tayari usaini hizo karatasi hapo za mkataba na nianze taalatibu za kukutafutia passport najua huna, Ili tuondoke ukaanze kazi...

Upande wa boss mtu Yani Silver, alijikuta anaanza kuwaza, dah kale kabinti kana utamu wa tofauti sana, Kila akiniwaza mwili unamsisimka, alijitahidi kujizuia lakini wapi, auabinti weusi ndio wako na test tamu kiasi hikiπŸ€”, akaona atoke akawende aone Radha ya mwingine,alitoka kweli hakukawia akapata lakini hata mpapaso tu haukumpa amshamsha kabla ata hajamtia akamtiamua tu...

Huku Mimi nilitafakali sana, ila nikaogopa vipi kama nitaenda kuuzwa huko nahivu sina hata ndugu wakuniulizia, itakuwaje, kama mtu tumekutana nae Jana tu, kaniuza Kwa mzungu mwenzie, vipi nikiwa hukoπŸ€”, nikaamua kukataa ofa lakini akaelewa mawazo yangu nikiwa hapo akaja makamu wa raisi, nyie sijawai kumuona live, zaidi ya kwenye tv, akanihakikishia usalama wangu, nilikuwa nasita ila badae nikasema acha nijalibu, nitapambana mpaka kieleweke, ata huko kwao nitaenda Kwa tahadhali, kama itakuwa kinyume nitapata tu njia, Mungu wangu, ninaemtegemea hawezi kuniacha kamwe, naamini atanilinda tu...

Nilikata shauli nikasain na process za passport zikaanza, mambo yalikuwa halaka sana Kwa sababu ya uzito wao na walikuwa wageni muhimu Kwa rais hivyo haikuchelewa, tukaondoka lakini hatukuondoka pamoja na huyo boss wake,tulifika Canada, Zhang akasema boss wake tayali Yuko Canada yeye aliondoka na private...

Nilipewa nyumba yangu ilikuwa na Kila kitu ndani Hadi vyakula ilikuwa ni vyumba vitatu na ni ndani ya geti Kali kinoma, nilipewa mdada mmoja wa kichini awe mwenyewe wangu, na nitapumzika Kwa wiki Moja Kisha tutaingia kazini, kumbe huyu mchina ni mdogo wake na Zhang huyu anaitwa Esme, alikuwa mtu poa sana, mcheshi Hana noma, nilimuomba aje tukae wote make alikuwa anaishi na kaka ake nyumba Moja, tulielewana hatimae tukaja kuishi wote ila yeye hakuwa mfanyakazi , siku ya kwenda kazini ilifika nilijiandaa nikamuaga Esme, Kisha nikatia timu kazini, nilifika Zhang alinipa mwongozo kuwa Kwa Sasa Kuna mtu ndio kakodi Meri anahitaji kuzunguka visiwani Kwa miezi miwili hivyo hatutoludi nchi kavu Kwa miezi miwili...

Ilibidi tuhemee na kuchukua vitu vya kutosha Kwa muda tutakaokuwa majini, na Mimi nilichukua mahitaji binafsi, Kwa pesa ya kujikimu niliyopewa, hatimae muda ulifika Meri iling' oa nikaingia kupika na tuligawana majukumu huyo alokodi meri na Zhang nilipewa Mimi kazi ya kuwapikia, uzuri nilisoma short coz ya uchef pia Niko vizuli sana mpaka vya kula vya nje nilikuwa najua kuvipika, hizo niliomba ratiba ya vyakula vya huyo boss, kutoka Kwa mbishi mkuu nikaanza kupika nilikuwa vizuli mno mpaka wapishi wenzangu wakaomba waonje chakula changu make sio Kwa kunuakia huko, nilikuwa na viungi vyangu binafsi pia nilibeba Kila chef anasiri yake ya nini kinampa sifa ya test nzuri ya chakula chake hivyo hata Mimi nilificha code yangu hata Kwa wenzangu,niliwaonjesha aisee Kila mtu alionekana kukupenda kasoro mdada mmoja alionekana kuchukua muda wote hakutaka hata kuonja, asubuhi alipeleka mpishi mkuu chakula Kwa boss, sisi wengine tulisambaza wa wafanyakazi wa boss na tearm yetu ya wanafanyakazi wote wameli, mpaka manahodha, Kisha tukala na sisi, baada ya kumaliza kula mpishi mkuu aliniita private pembeni akasema boss kasema chakula Cha mchana mpishi ndie ampelekee, mmh nikaogopa, nilikuwa Kwa umri wake ilinibidi kumuita mama, mama kwani chakula kilikuwa na tatizo? " Hapana binti kakipenda hivyo akaomba upeleke akakushukulu huenda ukapata Dili kubwa zaidi binti yangu ukawa mpishi wake binafsi...

Nilishusha pumzi kwanza, nikakubali Kisha nikaludi kuandaa Cha mchana,nilikuwa makini sana, nilivyoivisha nikaandaa Kwa ajili ya kupekeka, ndio tuje kula, nilitoka na chakula mpaka chumba nilichoelekezwa kilikuwa kimeandikwa VVIP, niliponyeza kitufe Cha kuomba idhini yakuingia, kama sekunde 5 mlango ukajifungua nikaingia, nikaweka chakula nilivyoinua uso ivi, kidogo nianguke aiseee...

Itaendelea...πŸ’₯
YOU ARE MY FAVORITE THING TO EAT
( utamu wanguπŸ˜‹)

*__________________________________*

KIPANDE CHA 5.
Aliekuwa mbele yangu ni Silver, tena alikuwa kanikazia macho atali ni vile tu anatumacho tu dogo, ingekuwa ni haya macho kibongo, ningetamani kupaa, aliuliza wewe ndie uliepika asubuhi?, inamana huyo mpishi mkuu hajasikia nimesema alete aliepika? Nikajibu tu ni mimi, " Kwa hio we binti kumbe ulikuwa na ajenda zako ee kujitia hunijui maneno mengi kumbe ulikuwa unanitambua vyema na mpaka umeamua Sasa unifate, eee wewe kaka tuheshimiane, sijajileta Niko kazini usinipande,na sijakifata wewe, " binti usinichezee, Zhang naomba uniambie ninani kampa kazi huyu Malaya, aisee nilitamani kuwasha Kofi Mimi Malaya!! ...

Zhang: ni Bibi ndie kampa na hata yeye kuja kwako ni Mimi ndie nilimzimisha, Kwa maelekezo ya Bibi, hivyo hakuna anaejua chochote kati yenu nyote...

Silver: na bibi amemjuaje huyu Malaya?

Aisee Ile kuitwa Malaya ilinikela kiasi kwamba nilishindwa kuvumilia, nikawaza nikimpiga huyu, awa watu siwajui, naweza fanyiwa ubaya wowote,ukizingatia Niko nchi za watu na tuko katikati ya bahari, acha nitoke tu, sitokuja tena kuleta hii takataka chakula, kama kazi basi nitatafuta nyingine,nilianza kutoka, kabla sijafungua mlango nikashikwa mkono na kuvutwa, kucheki alienivuta silver, aisee huyu ananitagutia kesi, nikafulukita nitoke mikononi mwake, lakini mwamba alikuwa na nguvu atali...

Nilisikia tu anamwambia Zhang, atupishe, alitoka nikiwa bado nimebananishwa kwenye mikono ya mwamba, akaanza kuniuliza akiwa bado kanibananisha, umejuana vipi na Bibi yangu? Mimi simjui uyo bibi yako, Wala yeyote katika ukoo wako, ebu niachie uko, unajiona keki sana we kichaa, unazani nakufatilia, ama nakutaka, sahau Mimi hapa nipo kikazi tu sitaki, na sitamani hata kukuona, kwahiyo Kaa mbali na Mimi, na chakula sio lazima Mimi nilete, toa oda nitapika ila kuleta sahau, niliongea Kwa panic na hasila kweli, kumbe mwenzangu Ile 0 distance, ishahalibu ubongo wake kitambo, hata hasikii nachokiongea, nashangaa tu mtu anabinya chuchu yangu, nikamfinya lakini wapi akaanza kunitomasa uku ananibananisha nisiondoke, nikikumbuka neno Malaya, hata hisia zinagoma kuitika...

Alipambana Kwa nguvu na hisia mpaka akaniingiza chumba flani hivi Kuna kitanda yake chumba matata kizuli, hakujali maneno yangu, nilivyokuwa napayuka, na kupiga kelele, yeye alikomaa na jambo lake mpaka nikaiva, alizingatia engo tata tu, alivyoona nimeiva akanitoa nguo, na kuanza kuinyonya, alinyonya kama ananyonya ziwa vile, mala alambe kama koni, Yani taflan tu,mpaka hapo mwenzenu sikuwa na jeuli hata ya kuikataa, alinipa vitu so mchezo, ukafika hatua nikaona asinitanie, acha niwakilishe nchi yangu, nilimpa viuno balance, sikusahau kuifinyia mwanaume alichanganyikiwa, akawa anatoa sauti kama vile yeye ndo anashughulikiwa....

Mala aungurume kama vile, anatakiwa kufika afu naikataa kiaina anaanza tena Moja, uku nampapasa Sehemu muhimu tu, nilijua kumnyooosha na kuiwakilisha nchi yangu vyema, atasimulia milele, mpaka tunamalizia Kila mtu Yuko hoi, ata nguvu tu za kuoga hatukuwa nazo, tuliishia kulala, nikija kuamka baada ya masaa 3, nikiwaza uko wenzangu sijui watanichukuliaje, nikucheki jamaa alikuwa kalala bado niliingia kuoga nikavaa, ila hofu Kwa wenzangu ilikuwa juu, nikatoka na kumkuta Zhang mlangoni, niliona aibu hata kumtizama, lakini yeye alionekana kufulahi, alivyoona namuonea aibu, akaniita shem, naomba nikusaidie kwenda na wewe Ili kuondoka sintofaham Kwa wenzako madam...

Nilimkata jicho, shemeji hio kwio, naomba usiludie kuniita huo ujinga, shemeji Yako hawezi itwa Malaya, tena wewe ndio umeniletea haya matatizo, " haaa inamaana hamjamaliza tu tofauti zenu? Ivi uyu Zhang mnamuelewa kweli jamaniπŸ€”, ebu usinitibue zaidi, " Aya madam nimekuelewa, usije kunipa makofi, huchelewi, kama hijachoka jioni utapika hiki, ila kama umechoka usijali nitampa mwingine, wewe unaweza tu kupumzika, aisee niliona aibu, nikajikaza tu, ilammmh Lete nitapika, usiwaze ujinga...

Alinipa tumefika Kwa wenzangu akajifanya, kuongea Kwa sauti, zingatia huo utalatibu na semina niliyokupa Kwa ajili ya kazi, nimepoteza masaa kukufundisha na kukuelekeza, sitegemei makosa ya aina yoyote,niliitikia,akaondoka zake, ukweli nilikuwa nimechoka mno, ila nilijikaza tu, nikaingia kuandaa Cha usiku, Ili nikalale mapema, niliandaa wenzangu, hawakujua chochote, ila yule mama msimamizi alionekana kuhisi kitu, aliomba anisaidie, nikamwambia asijali, Niko sawa nitamaliza tu...

Nilimaliza muda ya saa 12 jioni, nikamuaga yule mkuu wa kitengo changu, naenda kulala atanisaidia kupekeka chakula,alikubali, nikaingia kulala, upande wa silver, aliamka saa 12 jioni, akajikuta peke yake, aliingia kuoga huku ananifikria,Kila akifunga macho anajikuta anafeel kitu juu yangu mala kisauti changu Cha kuililia,alitoka akavaa na kumuita Zhang, alivyoingia wakaanza kuongea, Cha kwanza naomba unipe data zote kuhusu huyu binti, najua unajua Kila kitu...

Zhang alimpa mkanda wangu wote, hakunibakisha hata punje,Silver alishusha pumzi kwanza, " vipi bro umemuelewa ee? Ha ha ha, nahisi Ivo, ila sina uhakika sana, Kuna namna, naanza kumfikilia kupita kiasi, anakiti Cha kitofauti sana, Silver alijikuta ameongea, tena Kwa hisia kabisa, kwanza Yuko wapi? " Mmh aliingia kukupikia, lakini bado anahasila na wewe, Kwa sababu umemuita Malaya, wee bro usinambie inamaana ananichukia?, " inavyoonekana, inabidi uongee nae myamalize, ni binti smart sana, ni vile nimeona, isingekuwa hivyo aisee Silver, huyu demu nilikuwa sikupi...

Zhang tuheshimiane, ujue huyo ni shemeji Yako, " ha ha ha ha usisahau, bado hajakuelewa na unakesi, unaweza kumkosa Kwa kisa Hilo tu la Malaya, shauli Yako, Silver alipata hofu ndani Kwa ndani, ila akajitia mgumu, muda huo Hali ya hewa ilibadilika, mvua ilianza kunyesha, kukawa na bonge la baridi, Silver alitamani sana Leo nikalale nae, aliwaza wakati wa chakula atanikatalia nibaki, na ata ongea na Mimi tumalize tofauti zetu...

Muda wa chakula ulivyofika, chakula kilipelekwa, ajabu mama wa watu akaludishwa na chakula, ety mpaka Mimi nipeleke, hakuwa na jinsi alikuja kuniamsha,niliamka nikaewa maelekezo aisee nilichukia, sikuwa na ujanja, ilibidi nipeleke, Kwa sababu yule mama alinipa wosia sio kidogo, nilipeleka, nikaweka kimya kimya, natoka kama kawaida roba, nilikuwa na hasila nikamtia jino, ata haikusaidia, aliumia mpaka damu, lakini alinipeleka Moja Kwa Moja, kwenye kile chumba chake, alinitupia kitandani, akanitizama jinsi nilivyofula Kwa hasila, akatabasamu, Kisha akatoka, nikafungiwa Kwa nje...

Zhang naomba unisaidie kumchukulia chakula chake, nahitaji kuongea nae, na huenda ikachukua masaa kuelewana nae, sio mwepesi kuelewa, Zhang yeye alifulahia tu, nakuonya juhudi zake zimezaa matunda, alifata chakula, alileta wakaagana Kila mtu akaingia na vyakula vyake chumbani mwake,aliingia akalock mlango, Kisha akaanza kunifanyia huduma ya kwanza mwenyewe, alivyomaliza, akanigeukia, kabla hajaanza kuongea simu yake ikawa inaita, alivyonicheki jina, alionekana kukasilika sana....

Itaendelea....πŸ’₯
KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

1 - 5 YOU ARE MY FAVORITE THING TO EAT ( utamu wanguπŸ˜‹)  >>> https://gonga94.com/semajambo/1-5-you-are-my-favorite-thing-to-eat-utamu-wangu
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest