leo nawaletea kisa hiki Chanye kusisimua kisa ambacho naimani kitakwenda kukufunza kukufurahisha
Kisa kinacho muhusu Binti Sara ambae ni mtoto wa pili kati ya watoto watatu wa Mzee Daniel
Alizaliwa miaka kadhaa iliyopita katika mkoa wa singida na kukulia mkoa wa Arusha.
Huku baba yake akiwa mfanya biashara na mama yake alikuwa mama wanyumbani tu, wakati akiwa darasa la Saba, baba yake alifariki ghafla na wkubaki wakilelewa na mama Yao ambae alikuja kuwaacha miaka miwili baada ya kifo Cha mumewe na kwenda kuishi na mwanaume mwingine huko marekani na kuwaacha watoto wake kwa mama yake mzazi ambae ni bibi yake Sarah
Bibi yule hakuwa na maisha mazuri kihivyo ila alijitahidi kupambana kwa Kila namna ili wajukuu zake wale na waende shule nk
Kaka yake Sarah (Benjamin) alimaliza shule akajiajili mwenyewe na kuwa mfanya biashara mkubwa ambapo akachukua jukumu la kuwasomesha wadogo zake pamoja kutoa nahitaji mengine
Sarah alifanikiwa kusoma na kuhitimu elimu ya juu na kuajiliwa katika kampuni moja ambayo ilikuwa ikimilikiwa na mzazi wa rafiki yake Nelson ,kijana ambae amefahamiana nae toka wakiwa kudato Cha sita hadi hivi sasa
Story yetu inaanzia siku ya jumamoss siku ambayo ilikuwa ni harusi ya rafiki yake Sarah Hilda.
Hilda na Sarah ni marafiki wa toka utotoni wamekuwa pamoja na kusoma pamoja ninaweza kusema walikuwa ni zaidi ya marafiki,mara nyingi walipenda kuitana Best friend forever (BFF)
SONGA NAYO
"Unajua Sara hadi sasa sijaamini kama kweli naenda kuwa mke halali wa peter "
"Sibora wewe huamini mimi niko nakuangalia nakumbuka vile tulikuwa tunajipikilisha eti leo umekuwa mdada na unaenda kuwa mke ya mwenyewe,khaaa kweli siku zinaenda "
"Hahahahaha usinikumbushe kipindi hicho tulikuwa vyeusii tii tunachanja mbuga peku π€£ vimiguu vimekomaa hatariπ€£"
" Alafu nywele zimekaa kama mkutano wa nziπ€£, dah Ila tumetoka mbali jamani "
"Sana kikubwa ni kumshukuru Mungu "
"Hilda "
"Abee "
"Nakuombea Mungu akawe na wewe Katia kila hatua ya ndoa yako akakurinde na Kila baya akubariki mjini na shambani, ukawe mke mwema na mama bora kwa watoto wako, pia nashukuru kwa kunipa nafasi ya kiwa best friend wako wa miaka yote nafurahi sana na nathamini asante "
Nilivyoongea hivyo Hilda alinikumbatia kwa Mda Kisha akasema
"Amen,and I promise kuwa nitakuwa best wife and best mother na pia nitaendalea kukeep urafiki wetu kuwa Bora in every way "
"Okay ushaanza kulia hii Siku sio ya kulia leo unatakiwa kuwa the happiest bride sawa "
"Sawa ,but nikuulize kitu"
"Uliza "
"Kwann usimkubari Nelson I mean ni mwanaume mzuri na anakila Sifa ambayo unaitaka na kikumbwa zaidi ni mtu ambae mnafahamiana kwa mda mrefu huoni kama mkiwa pamoja itakuwa nzuri zaidi and mtaishi kwa furaha kwasababu hakuna kitu kizuri kama ukiolewa na rafiki yako"
"Hilda hatuwi kwenye mapenzi na mtu kwasababu anasifa zile tunazozihitaji bali tunakuwa nao kwasababu tunawapenda ,Sifa huja baada ya ila upendo huanza and nikweli Nelson anakila Sifa ambayo natamani au napenda mwanaume wangu awe nayo but simpendi na Sina hisia nae hata kidogo so kwasababu hiyo siwez kuwa nae"
"Sawa my life coach "
"Nisawa coz naamin soon nitaenda kumpata my mr right "
"Amen"
Waliendelea kupiga story mda wa kwenda salon ukafika wakaenda wakapambwa vilivyo na katoka ππ
baada ya kupambwa Sarah alikaa na Hilda wakaomba pale na mama yake Hilda akaja wakaungana yalifanyika maombi ya nguvu π baada ya kumaliza wakasubiri mda usogee kidogo ili waende kanisani.
Mida ya saa nane safari ya kwenda kanisani ilianza huku njiani Sarah alikaa pembeni ya bibi arusi akimpigisha story za hapa na pale hadi wakafika
Alishuka nakamfungulia mlango akamuwekea nguo vizuri Kisha baba yake akaja na kumshika mkono tayar kwenda kumkabidhi kwa kijana mbele ya madhabahu
Baada ya makabidhiano Ibada maarumu ikaanza na Mungu ni mwema ndoa ilifungwa salama hatimae wakawa mwili mmojaπ€΅π°
Baada ya ndoa kufungwa walienda kupiga picha na baadae wakaingia ukumbuni
Huko sasa ndio ilikuwa π₯ siunajua lile vibe ambalo unakuwa nalo pale inapokuwa harusi ya bff wako ee basi siku hiyo naisi kaka yake alikuwa anasema huyu sio mdogo wangu kabisaπ€£ maana alicheza πkama hatocheza tena π
Kizuri alikuwa na mwili flani hivi amazing π₯° yaani Kila kiungo kimeka mahara pake π na alivaa gauni Kali balaa π
Basi bhn mda wa utambulisho ulifika bibi arusi akapewa nafasi ya kutambulisha watu wake
Akaanza na wazazi ,wajomba dada na makaka na marafiki alafu bestie akawa wa mwisho
"Aaaa hahaha samahani MC naomba hapa nipe Mda kidogo maana huyu ninaenda kumsimamisha sasa itanichukua Mda kumzungumzia.
Rafiki yang, kivuruge wangu, mshauri wangu, Dada yangu,and My Best friend Sarah Daniel popote ulipo naomba usogee hapa mbele taratibu DJ naomba uniletee huyu mtuπ₯°"
Sarah alisimama na kwenda mbele kwa kucheza π
"Asante DJ, aaaa huyu Alie simama mbele yetu/yenu anaitwa Sarah Daniel,huyu ni mtu muhimu sana kwangu kuliko hata neno lenyewe,
Na nimechagua kumtambulisha mwishoni sio kwasababu ni wamwisho no ila kwasababu ninamengi ya kwaambia kuhusu yeye, kabla ya yote
Sarah"
"Abee"
"Asante na Nina kupenda saaana π rafiki yangu"
Aliongea na kumkumbatia Kisha akaendelea kusema
"Jamani Sara ni zaidi ya rafiki na dada katika maisha yangu, sio kwasababu nimekuwa nae toka utotoni no ila nikwasababu amekuwa na mm katika nyakati zote kwa upendo usio wa kawaida tena bila kuchoka "
Alikaa kimya huku akifuta machozi na kusema
"I'm sorry najua uliniambia leo nisilie ila nashindwa kujizuia,
Siku zote amenifanya kuwa special alikuwa tayari hata kukosa kula ila mimi nile, π nakumbuka kipindi tuko chuo mwaka wa pili niliwahi kupoteza Hela ambayo ilikuwa ni yamatumizi alafu nyumbani baba alikuwa mgonjwa kwaiyo nikawa Sina hata Hela yakutumia na yeye alikuwa na pesa kidogo sana maana Hela yake ya mkopo ilikuwa haijaingia kutokana na changamoto flani ila alitoa ile aliyokuwa nayo akanipa akidai yeye ataangalia Cha kufanya wakati huo nilikuwa na sumbuliwa sana na miguu kwaiyo hata kutembea ilikuwa shida kwangu, ikabidi yeye atembee kufika chuo mwenyewe mm nikawa napanda gari, ile hali iliniumiza sana nikaona kwann nisiuze hata kitu ili nipate walau kidogo tu ya nauli, kama unavyojua siku za shida hata uwe na kitu kizuri aje kinaweza kisiuzike nikakosa mteja bhn, mwisho nikaona siwez kupanda gari alafu mwenzangu anatembea nikasema na mm Nita tembea basi wakati wa kurudi aliwahi kutoka mimi nikabaki nikasema sasa na mm natembea weeeeπ€£ nilifika nyumbani nikiwa hoi Kila kiungo kinauma Acha anigombeze yaani alinigombeza kama katoto na kunikanda juuπ€£π₯°.
Mambo ni mengi natamani niongee yote ila tutakesha hapa kiufupi huyu ni zawadi ambayo Mungu amenipatia na Kila siku naomba Mungu aendelee kukupa furaha na uzidi sana ,
Aaaam kitu kingine π hiki siwez kuondoka bila kukisema
Sarah ndio aliyekuwa mtu wa kwanza kunitabiria kuwa peter ndie atakae kuwa mume wangu, dada naomba ukae maana leo natamani niambie Dunia kuwa wewe ni nani kwangu, sorry naombeni mmpe kiti "
π Chamaneno wangu tena basi nikaletwa kiti na kukaa
"Nakumbuka siku ambayo namuona peter tulikuwa msimbazi center kwenye mkongamano , tukiwa tumekaa huku peter akiwa amekaa mbele yetu kama viti vitano kutoka pale tulipo kaa,
Sarah aliniita na kuniambia
Hilda unamuona yule kaka alievaa shati la dark blue nikajibu ndio akasema yule ndio atakae kuwa mume wako,
Unajua πnilimuangalia na kumuuliza uko sawa kweli akajibu yeah niko sawa
Nikajibu no hauko sawa unawezaje kusema kuwa atakuwa mume wangu wakati sijui hsta anatokea wapi Wala jina lake nani
Akajibu hayo mimi siyajui ila ninachojua ni kuwa yule ndio atakae kuwa mume wako basi
π Nilimuangalia na kumwambia
Umeanza kuvuta Cha Arusha sio?
Akajibu
Kivyovyote vile ila ndio hivyo
Ukweli sikumuelewa kabisa hivi mtu Simjui anatokea wapi jina lake nani tena usikute hata katoka mikoani huko kaja kupata huduma alafu mtu anasema atakuwa mume wangu imagine kiufupi sikumuelewa kabisa
Nakumbuka mwaka ulipita basi Kila nilipokuwa nakumbuka nilikuwa namkumbusha anajibu subiri wakati ukifika mtaoanana na kweli nilikuja kuonana nae kwenye graduation na hata sielewi ilikuwaje maana Nilijikuta tu kuwa naongea nae kama mtu ambae tunafahamiana mda
Na leo hii imetokea kweli so nataka kushukuru kwa kusimama na mimi kwa kipindi chote napia kwa kuhakikisha jambo hili linafanikiwa.
Kwanza kabisa naomba nikupe zawadi "alichukua box na kunikabidhi
"Humo kwenye box Kuna Iphone 13 pro najua ilikuwa mpango wako kuwa unatamani kuinunua so nimeona niku zawazidie kama best friend wangu natamani ningekuwa na uwezo nineku zawadia gari la ndoto yako but nimejaliwa hicho"
Nyie nilifurahi Sana eee kununuliwa iPhone kwa kipindi hicho ilikuwa watu wanatoa marinda π€£ ilimradi tu kuipata
"Wait sijakuruhusu uamke'" alichukua lile ua lake alafu akasema
"Kwa kawaida hili ua huwa tunalirusha alafu anaedaka tunasema kuwa ndie aneenda kuolewa baada yako ila mm leo nimetaka iwe tofauti sitarusha ila nitamkabidhi Sarah ikiwa ni ishara ya kumtabilia kwamba baada yangu atafuata yeye sijui itakuwa ni lini au na nani ila naomba Mungu soon tukutane kama hivi leo tushehereke nawe kwa pamoja "
Sarah aliinuka na kumkumbatia Hilda huku akitokwa na machozi
"Asante sana " aliongea na kupokea lile ua
Kisha akasema
Jamani jimbo liko wazi she is still single vijana changamkieni fursa ila mapenzi ya Mungu yatimizwe , asanteni na samahani sana kwa kuwachosha
"Wait na mm nina zawadi yangu"
Aliongea mume wa Hilda
"Aaaa jamani mm sitaongea sana ila nataka kumshukuru tu kwakuwa amekuwa msaada sana katika mahusiano haya na amekuwa mtu pekee kwenye maisha yetu ya mahusiano hata nje ya mahusiano, tumepita katika changamoto nyingi kiasi Cha kuamua kutengana kabisa ila Sarah alisimama kati kati akasema no hamuwezi kuishia hapa kaeni chini ongeeni pataneni alafu safari iendelee ,
Aaam Sarah nakushukuru sana kwa upendo wako kwetu na mda wako uliokuwa ukitumia kutusikiliza na kesi zetu asante kwa maneno ya busara uliyokuwa unatupa Asante pia kwa maombi uliyokuwa ukitombea ili tufike hapa hakika tuna mtukuza Mungu kwaajili yako and nimekuandaliaa kazawadi kidogo sana na zawadi hiyo ni π
Fungua sm yako Kuna ujumbe ulioingia na hiyo ndio zawadi yangu utafanyia chochote upendacho, asante "..
Nilifungua sm yangu na kuangalia wooooaπ± million 2.5 imesoma kwenye akaunti nilifurahi asikwambie mtu
Basi Baada ya hapo ratiba zingine zikafuata na mwisho sherehe ikaisha
Bibi arusi na mumewe waliondoka Sarah akabaki akihakikisha zawadi na vitu vingine vinafika nyumbani salama
Baada ya kumaliza waliingia kwenye gari akiwa na Nelson
"Nelson uko sawa"
Sarah alimuuliza baada ya kuona nelson amekaa kimya mda wote haongei
"Kwann ulinidanganya"
"Nilikudanganya?"
"Yeah,kwann uliniambia kuwa unamtu wakati uko single"
Sarah alijikuta nakaa kimya maana alimtongoza kweli akakataa kwa kumdanganya kuwa ana mtu
"Why , mmm! Kwamba hunipanendi au Sina Sifa ya kuwa mwanaume wako"
"Nelson sio hivyo ila siko tayar kuingia kwenye mahusiano na wewe "
"Kwann"
"Kwasababu sijisikii kama wewe unavyojisikia"
"Sarah please we unajua kuwa upendo nilionao kwako ni wakiasi gani tafadhali naomba unikubalie nakuahidi kuwa nitakufanya uwe na furaha kuliko wanawake wote duniani"
"Nelson tafadhali naomba tusirudie hiki kitu tena, naomba uendeshe tuondoke maana watu wote wameshaenda tumebaki sisi tu"
"Siendeshi hadi utakapo niambia kuwa uko tayar kuwa na mimi"
" What "
"Yeah hatuondoki hapa hadi ukubari kuwa wangu , Sarah kwann huelewe hisia zangu kwako eee "
"Nelson Acha ujinga embu endesha basi mda umeshaenda"
" Sijali nina chotaka ni wewe kuwa wangu basi"'
"Nelson nitakuwaje wako wakati nimeshakwambia haiwezekani "
"Kwann isiwezekane kwamba sikuvutii au Kuna mtu mwingine unampango wa kumkubari"
"MUNGU wangu ,fine kama hutaki kuendesha nashuka"
Baada ya kuona mambo yanakuwa mengi aliamua kuchukua pochi nakutaka kufungua ila Nelson alimnyanganya na kulock gari
"Nelson mbona sikuelewi""
"Utanielewa tu, unanipenda?"
"Sasa swali gani hilo unauliza jamani"
"Na hitaji jibu yesa or no"
"No"
Sarah alijibu huku akiwa amekasirika sana
"Fine tutakesha hapa"
"Nelson Acha utani bhn, endesha gari nimechoka mwezio"
Aliongea ila Nelson alikaa kimya mwisho akaona fine liwalo na liwe
"Haya nimekubari"
"Kweli" aliinuka na kumuangalia huku akitabasamu
"Ndio "..
Hakujibu badala yake aliwasha gari na kwenda kwa mwedo mkali kiasi
Cha kushangaza alienda njia tofauti kabisa ambayo inaenda nyumbani kwa kina Sarah,
Sarah aliuliza ila akamwambia ondoa wasi wasi
Kutokana na uchomvu alijikuta akipitiwa na usingizi nakuja kushtuka nasikia mtu akimnyonya shingoni heeee
"Wee vp" aliongea na kumsukumia pembeni
"Ni upuuzi gani huu unafanya sasa"..
"Upuuzi ?mimi na wewe si wapenzi au?"
"Kwaiyo me ndio ufanye hivi"
"Yeah coz wew ni mwanamke wangu Nina Kila haki ya kusex na wewe"
Sarah alikasirika na kufungua mlango Toba alishtuka kuona wako kati kati ya pori yaani hakukuwa na nyumba Wala kibanda ni miti bara bara na wao
Sarah alimgeukia Nelson nakukuta anatabasamu Kisha akasema.
"We siumesema kuwa unanipenda so na hitaji uniaminishe kama kweli una nipenda na kama hutaki nakuacha hapa so unachagua kipi"
"Nelson haya sio matani bhn na mbona unafanya hivi
lakin"..
"Na fanya hivi kwasababu nakupenda na nakuhutaji so kama kweli unanipenda nahitaji tusex now, hutaki sema nikuache hapa"
aliongea akiwa ameweka uso wa kumaanisha
"Nelson please hii sio sawa"
"Kwann isiwe sawa wakati mm na wewe ni wapenzi, come on mda unaenda sema moja yes tuanze au no nikushushe"
"MUNGU wangu π'"
Itaendelea....full 1000
Whatsp 0784468229.