Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

NILIPOFUNGA NDOA NA MAITI UKU NALIA. Sehemu ya tatu.

27th Jul, 2025 Views 24



jamani nikashangaa maiti moja ya kiume inatikisika nikasema mmm hii ndio maiti inangoja kaka aondoke anikabe nikaangalia nje namuona kaka anaagana na madokta anataka apande kwenye pikipiki aondoke.

Nikafungua mlango nikamwita kaka kaka.

" bahati mzuri kaka akasikia akanifata araka araka yeye anawaza labla nimeokota cheni.

alipofika ndani nikamwambia unaona ile maiti inacheza cheza.

Kweli tunamuona kama anaomba msaada.

Cha ajabu jamani sijaamini macho yangu kaka yangu amechukua lungu akampiga nalo yule maiti la kichwa.

Puuu mara 3.

Nikamwambia kaka kwanini umemuua uyu jamaa.

" akaniambia mdogo wangu akibainika uyu ni mzima nitakuwa nimemkaanga dokta Sisi kazini tunastiliana kwani unadhani madokta awajui kama Sisi tunapiga pesa uku monchwali.

" niliumia moyoni kuona kaka anaua mtu kisa anamstiri mtu yani dokta ni mtu na uyu maiti ni mtu kwa mungu wote awa ni binadamu na wana haki ya kuishi.

" nikanyamaza kimya kaka akampigia simu dokta akamwambia Leo ndugu yangu ulikuwa vyombo sana yani umetia saini ya kifo kwa mgonjwa ila nimelimaliza maana bado kidogo picha iungue sikumwambia daudi kuwa ukiona tatizo ili ulimalize vipi kimya kimya.

" dokta akasema dah Leo kweli nilikuwa nimelewa sana si unajuwa nilikuwa namfanyia opelesheni mama mkwe basi ilibidi niongeze dozi kwenye kilevi changu ila poa kama umesevu ila mwambie daudi na umuonyeshe ilo rungu linapokaa.

Na kazi yake alijuwe sasa kuna mganga mmoja amenipigia simu hapa anataka mavi ya maiti ya kike na ya kiume ila uweke tofauti tofauti ayo mavi na nywele za siri za wote hao jinsia mbili izo.

" kaka akasema poa nitumie pesa iyo ndugu yangu kata yako mapema usiende kulewea ndugu yangu ngoja mimi nifanye yangu najuwa uyo atakuwa mganga kutoka congo ndio wateja wakubwa wa mavi na nywele za siri.

Ila watanzania wao maji ya maiti na nguo ya maiti kamba za waliojinyongea watu chupi iliyolala na maiti siku 3 hao watanzania ndio wakija wanatoa hoda izo.

" basi dokta akamwambia kaka inabidi yote umwambie daudi na bei yake asije akauza mavi kama uchafu mavi ni pesa hahahahahaha.

" mimi nilikuwa nasikia vitu ata sivijui.

" namwona kaka ananiambia wewe mkamue maiti hii mavi ya kike upate mavi kidogo.

" dah kaka ameniambia nikamue maiti ya yule binti niliyemvua nguo muda ule.

" sasa mimi ata sijui wanakamuaje mavi naogopa ananiambia kamua na umnyoe izo nywele.

" yeye kashamvua maiti ya kiume anaikamua mavi jamani dunia hii.

Nyie iyangalieni tu ila ina mambo mengi sana ya ajabu jamani nilichoka akili kuona kaka anamnyoa maiti nywele za siri.

" mimi nishamvua nguo yule dada lakini kumminya tumbo naogopa yeye kaka alipomaliza kumminya maiti ya kiume akaja akaniambia maiti ukiminya tumbo tu anatoa mavi wewe unashangaa nini.

" akamshika yule dada akasema uyu alivaa cheni wewe umechukua cheni ya uyu dada uwoni michilizi ya cheni hii kwenye kiuno cha uyu dada.

" moyoni nikasema hii kazi lazima uwe mchawi uyu kaka atakuwa mchawi kajuaje mimi nimechukua cheni.

Ikabidi nimwambie ukweli ndio ninayo mimi nilisaau kukwambia tu kaka.

" akaniambia poa mvalishe uyu dada ni msafi ana nywele za siri sasa afai kukamuliwa mavi inatakiwa mavi na nywele zitoke kwa maiti moja.

" basi kweli nilimvalisha yule maiti.

Kaka akamkamua maiti nyengine ya kike kweli pesa ilitumwa kwenye simu ya kaka.

" mimi nikasema moyoni ivi hii kazi ndio maana wanakuwa kama machizi watu wa monchwali.

Mambo kama haya kweli dah si mchezo.

Kaka akuondoka tena akaniambia mimi niende nyumbani nikalale usiku niludi.

Basi nilienda nyumbani jamani kila nikilala naota yale matukio ya monchwali mpaka naogopa yani usingizi sipati jamani naogopa kweli.

" usiku nikaenda tena kazini nafika sehemu naona ajari moyoni nasema ndio siku ya pesa Leo yani Leo kaka atafulai sana.

" nikaenda kumwadisia kaka nimeona ajari sijui wale watu wamekufa wengi wataleta uku.

" akaniuliza maeneo gani na gari gani??

" nikamwambia maeneo niliyoiyona ajari na gali daradara.

" kaka akacheka sana akaniambia mdogo wangu izo azina pesa daradara ukiona basi la mkoa ndio pesa watu wanavaa nguo mzuri kiatu kizuri saa cheni na pesa.

Ilo daradara watakuja maiti kama za hapa hapa tu hospital.

" dah niliona mambo ya ajabu sana.

" sasa nikamuuliza kaka kwanini wewe auna mke??

" akaniambia wewe si unaona wanawake wana uruma mpaka shoga anakuwa na mpenzi sasa nenda kamtongoze ness tu uone kama ajakukatalia Sisi hii kazi yetu ina mtihani mkubwa sana.

" akaniambia daudi kunywa konyagi upate kutoa uoga ulale kidogo naona upo na usingizi arafu unaogopa kulala.

Sisi saizi usiku atuna kazi tena akuna watu wanaokuja kuchukua maiti na uko wodini mtu akifa taalifa tutapewa pale Sisi atuendi kusaka maiti wodini.

" basi nilikubari kunywa konyagi ile jamani ndio siku yangu ya kwanza kunywa konyagi nililewa.

Nikalala chini sasa sijui kaka ndio kaniletea ile maiti ya yule msichana juu ya kifua changu au mimi na mipombe yangu ndio nimemuweka juu yangu.

naamka naona nipo chini maiti ya yule msichana IPO juu pombe ilikata naangalia uku na uku simuoni kaka.

Jamani naanza kuangaika kuisukuma ile maiti ya yule msichana kwenye kifua changu nasikia jamani wewe mkaka kwani anatuona nani nipe utamu uko.

" jamani jamani dah nilichanganyikiwa yani...

NINI KITAENDELEA USIKOSE EPISODE IJAYO

KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NILIPOFUNGA NDOA NA MAITI UKU NALIA. Sehemu ya tatu.  >>> https://gonga94.com/semajambo/nilipofunga-ndoa-na-maiti-uku-nalia-sehemu-ya-tatu
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

majario rewards 100 Comments 0
 

A.J.A.D SE03 EP02

majario rewards 100 Comments 0
 

Simulizi: MAPEPE **

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest