Nilifunga geti nikarudi ndani nimeshika ile juice, nikawa nawaza hivii ,zakia mbona amekasirika kama kwahiyo alitaka ofisini tuwe tunaitana tunapiga story mpaka basii auu??
Mtoto mpuuzi sana huyu yaan ni mpuuzi mpaka mwisho afu kashenzi kweli , niliiweka ile juice ndani ya friji mi napenda sana juice ya tende mnoo ila iwe ya baridi ye alinipa haina ubaridii
Mpenzi wangu akanipigia simu upo home nikamwambia nitakwenda wapi mimiii!! Akasema sawa nakuletea wageni sawa nikasema sawa
Zilipita kama dakika hamsini , Nikasikia kuna gari inaingia , sikuamini nilimuona Alex mama yake na baba yake afu na inno wanakuja kwangu moyo ulinishtuka sana sanaaa huu ugeni sijawahi kuutegemea nyumbani kwangu
Niliwapokea vizuri kwa kunyenyekea kwa utiii yaan weee nilisema mungu asante umenionaa jamani miee
Tena walikuwa na furaha kwelii
Mtoto wa kike nilipika ilikuwa jioni nilijipinda chezea wakwe wewe hee , ule muda wa kula tupo mezani mama yake na alex yaan mama mkwe wanguπ akawa ananimbia salma mtoto wangu naomba tusameheane kwa yale ya nyuma , nimepata habari kamili kumbe yule mwanamke ni muongo sana nasikitika niliigiza vibaya mbele yako
Nilimwambia mama hata usijali mi nimefurahi sana yaan nimefurahi mnoo wewe tu kuja kwangi na hili kunisamehe ndio kabisa , tulipiga sana story na hii familia yangu , Nilijiona eeeh nimefauru sana sana sanaaa
Mama alisema Alex mtoe pale juddy kampangie sehemu ingine akizaa nitamlea mimi huyo mtotoo , na wewe urudi kwako
Sikuamini hawa leo wanamkana juddy hee makubwa mama akasema nimeshaongea na juddy na kubwa ambalo sijalipenda kwake ni uongo wake angesema kweli akatafuta njia ingine ya kujitetea lakini sio njia ile ,nilimshukuru sana mama aisee akanambia inatakiwa mfunge ndoa sasa mtoto azaliwe ndani ya ndoa hee nikasema haya si ndio mambooo yaan kirainiiii naenda kuwa mke wa Alex na kila kitu kinaisha inabaki mtoto sasa wa juddy
Ila sikuwa na shida na mtoto wa juddy hata kama atazaliwa atalelewa tu , basi mama akanambia naomba kesho uje kwangu ushinde nikuhudumie mwenyewe naona aibu kwa zile kauli zangu nikamwambia mama nakuja mama yangu
Alex alisema kabla ya yote mama yake anatakiwa kwenda kukutana na mama yangu, ili uchumba wetu uwe halali wakakubali , tukawa tumekubaliana kuwa kesho asubuhi mimi niende na alex kwa mama mkwe wangu afu ndio twende kule kwa mama sasa
Inno akasema mi mtanikuta kule kule ,nilimtazama inno nikacheka akaniuliza unacheka niniii?? Nikasema mh mh hataa nimefurahi tu
Muda wa kuondoka waliondoka wote ,nilibaki na alex wangu, akanambia unatamani nini mama k ??
Unikumbatie akacheka afu akanikumbatia hapo tukaenda kuoga baada ya kutoka kuoga akanambia salmaa Kesho naondoka usiku si unajua nikasema ndio akasema nitakumiss kweli naomba leo tufanya tumjaze mtoto kila kitu
Yaan maskio na pua macho na kila kitu mpaka ubongooo mechi ya leo nataka iwe kali kama vile hatutafanya tenaaa
Nikasema hayaa lefa akae chonjoo
Tulianza mahaba , yalikuwa motooo hatari Alex alikiwa puta kama kweli kesho hafanyi tena ila mimi nilikuwa naskia raha ya ajabu basi tulifanya mpaka namwambia Alex mtoto anataka kupumua kidogo mikito imezidi hata hanisikiii
Tulienda mwendo mrefu sana hii siku naikumbuka vizuri sanaa , hii siku ilikuwa ni kama ndio.mara
ya mwisho mimi na Alex kutumiana
Alfajir ndio tunamaliza yaan ile Final alex ananiambia yaan hapa mke wangu hata ukisema tusifanye mpaka siku ya ndoa yetu freshiii kabisa nikamwambia mi siwezi kuvumilia kabisaa ukirudi tu natama tamu yangu akasema haya nitakupa cha mwisho huko huko ukwenii hahah nilicheka nikasema hata sinta enjoy bwana , ila tutaibana hata chooni usijali nae akacheka nikainuka kwenda chooni baada ya kutoka chooni nilihisi kiu
Nikatoka Kwenda kwenye Friji ninywe maji , nikaona ile Juice aliyonipa Zakia imekuwa ya baridiii niliitamani nikachukua nikanywa hapo kama funda tatu
Nikasogea kwenye kochi nikainywa mpaka ikaisha ...
Kama dakika 3 nilianza kuhisi kichwa kinauma sanaa yaan kinauma mpaka naishiwa nguvu mmh nilishangaa hii tena niniii???
Nikataka niinuke niende chumbani Mungu wangu nilishangaa narudi chini kuanguka kwenye kochi kama mzigo
Hee !! Nini hii
Nilijiinua tena sasa safari hii ndo kabisa hata mguu tu kuuvuta nikahisi siwezi ,nilikaza ukagoma nikakaza tena ukagoma mmmh nikasema Nimwite alex mbona siwezi kuinuka kwenye kochi afu mi ni mzima kabisaa yaan mie ni mzima kabisaa tena wa afyaa lakini siwezi kuinuka
Naita Mume wanguuuu!! Nashangaa sauti haitokiii , Alex siwezi kuinua mdomo ila moyo unaongea jamani mimi nimefanya niniiiiii nilianza kuhangaika niinuke lakini mwili wangu woteee ulikuwa umepoooza wotee siwezi hata kuchezesha ulimi.wangu eeh mungu nini hichiii mie tenaa
Nilihangaika mwenyewe hapo sebleni lakini wapii ilipita dakika akaja alex akanikuta nimeanguka pale kiuno na miguu vyote vipo chini kichwa ndio juu yakochi akaniuliza we unashida ganii??
Mi nataka kucheka afu nasema nami najishangaa hee nashangaa et kucheka nacheka lakini sio mdomo unacheza naongea lakini Sio mdomo unainuka
Nikaona mbona kama hii issue ni Serious??
Alex akaja haraka ananiinua mwili wote upo teketeke zaidi ya macho hakuna kingine nachoweza kufanya kazii
Moyoni nasema nini hii alex ananiuliza salma.umefanyajee ??
Ndo moyo wangu ukashtuka hapo nikasema ni zakia mungu wangu huyu ni Zakia sio munguuu!! Hilii mungu hajalipanga limepangwa na zakia sasa kwanini amenifanyia hivii et kwanini??
Alex alikuwa amechanganyikiwa mi machozi tu yanatoka nawaza sasa hii mimba jamani , mbona huyu zakia amefanya upuuzi na anajua mimi ni mjamzito jamaniii!!!
Aliniweka kwenye gari tayari kulikuwa kumepambazuka jua limetoka haraka akanipeleka hospital, nilifanyiwa vipimo aliambiwa kuwa nimepata Stroke ,
Alex alilia sana akanikumbatia muda mrefu huku analia mimi namwambia alex wangu mbona mi nipo sawa alex yaan mi nipo sawa
Nilianza kuona ndugu zangu na wake wengi sana wamekuja mama yangu alikuwa analia anauniuliza nani amekufanyia hivii mwanangu naniiii mi nasema mama zakia jamani zakiaaa zakia sijui kwanini amenifanyia hivii nina uhakika ni yeye huyuuu
Subira mdogo wangu aliliaaa jamani ilikuwa kama msibaa
Wakatulizwa hawatuliii wote wakatolewa nje ,hapo sikumuona alex muda mrefu
Natamani kuwa uliza vipi kuhusu mwanangu??
Lakini siwezi kuuliza ,nikiwa nimekata tamaa kabisa ndo nikamsikia mama mkee anauliza vipi kuhusu ujauzito wake
Wakasema apige Ultrasound baada ya muda majibu yalitoka kuwa nina mapacha na wako vizuri nilisikia huzuni jamani yaan miee daaah basi bwana mungu ndo anajua
Nilikaa hospital wiki mbili hata nafuu tu sina , wafanyakazi wanakuja kuniona zakia nae alikuwa anakuja nilikuwa namtazama sana akili afu nalia yaan nalia huku namuangalia akawa anajishtukia namwambie we bint mie ninemkukosea nini we mdada nimekosa nini miee mbona unaniadhibu hiviiii
Lakini mdomo wangu ndio hivyo hainuki hata , nilikuwa natamani kuwambia jamani mi hata sio wa hospital embu nitoweni mana alex alikuwa anaulizwa na kila mtu ilikuwaje akasema kuwa nilitoka kwenda kunywa maji na sikurudi baada ya yeye kutoka ndoa anakikuta nipo vile hajui shida niniii
Siku yenyewe nakumbuka ilikuwa j1 siku hiyo alikuja Zakia na subira wao wawili tu sikujua kwaninin wafanya kazi wengine hawakuja, alikuwepo mama mkwe pamoja na alex na inno baada tu ya zakia kuingia mie nilianza kulia huku namtazama nililia mnooo mpaka presha ikanipanda, Haraka akaitwa Doctor akawaambia kuna maneno labda mmemwambia wakasema hapa , doctor akasema kuna basi kuna kitu kinasababisha presha yake kupanda ,Alex akamtazama Zakia afu akasema zakia ulimfanya nini mke wanguu??
Yaan baada ya kumuuliza mimi nilizidi kulia niliona kama alex amenielewa hivi
Inno akasema nahisi kitu pia ,leo ni siku ya tatu huyu kaja hapa hali ya salma inakuwa hivyo hivyo
Muendelezo saa 10 kamili jion
KWETU morogoro.