*************
@Kila Mtu
π§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έπ§Έ
ILIPOISHIA..
Haukupita muda tu mwenyewe nilikojoa.Muda huo naye Hanifa alikuwa ameshafika mlimani na Ummy pia basi nikaingia uwanjani nikachapwa mpaka nikachapika kisha umm y naye akamalizia.Siku zote hizo tatu tulizitumia kucheza mechi na yule roboti mpaka ikafika wakati tukawa tunachukiana kwa kuoneana wivu yani huyu hataki mwingine awe nan aye na huyu hivyo hivyo.
Baada ya siku tatu kupita mjomba alirudi na siku ya alhamisi aliyokuja ofisini.Ilipofika majira ya saa saba nilishangaa sana baada ya mjomba kutuita wafanyakazi wote watatu.Sura ya mjomba tu ilionesha kuna kitu kisichokuwa cha kawaida alikuwa nacho moyoni na alitaka kutujuza.
Machale yalianza kunicheza kuwa huenda mjomba amegundua mchezo wetu lakini nikajipa moyo kuwa hakuwa na namna yoyote ambayo angeweza kufahamu
ENDELEA..
βLeo nimetumiwa email kutoka kwenye ile kampuni ya kichina wakidai katika ile mizigo waliyonitumia walikosea na kunifungashia roboti aliyekuwa na uwezo mkubwa sana.Wanasema huyo roboti alitengenezwa maalumu kwa ajili ya mapenzi yani sex roboti na alikuwa akiuzwa kwa kiasi kikubwa sana.
Sasa niwaulize wenzangu na mimi katika kuwachuunguza hao midoli mmemuona huyo wa mapenzi, maana haya mambo yanashangaza.Wanadai anauwezo hadi wa kuongea.β
Alisema bosi hapo kidogo tukavuta pumzi ndefu kila mmoja hali iliyomfanya bosi ahoji kunani.
β Mbona mmepumua kama vile kuna jambo mnafahamu haya nawasikiliza.β
Hatukumjibu chochote mjomba Zaidi ya kumuangalia na kujitadai hatufahamu kitu.Basi kama hamjamuona ngoja nikaangalie kwenye rekodi ya CCTV nione kama kuna mtu aliwahi kuchukua mdoli hapa maana hii ni mali ya watu na inauzwa mamilioni.
βbosi aliongea maneno yaliyomshtua kila mmoja, tuliogopa sana tukijua kama kuna CCTV basi matendo yote tuiyokuwa tunafanya basi lazima yataonekana kwenye video.Nilitaka kuongea kitu niyabadili mawazo ya mjomba lakini alikuwa ameshatoka na alikuwa akiufungua mlango wa chumba cha ofisi yake na kuingia.
Baada bosi kuingia ukimya ulipita kati yetu na ndipo nilipowaambia Hanifa na Ummy kuwa kila kitu kikijulikana b asi tuseme ni huyo rpoboti alitushawishi kwa nguvu za ajabu.Ingawa lilikuwa wzola kitoto wenzangu walilikubali na baada kama ya dakika arobaini hivi mjomba alirudi akiwa amebeba laptop yake.
Hapo mapigo ya moyo yalianza kutudunda, woga ukatutawala.Hatukuweza kumuangalia mjomba usoni tuliona aibu sana.Tulijua moja kwa moja bosi ameona kila kitu tulichokuwa tunafanya na Roboti Mathew.
Bosi alifika akaweka laptop juu ya meza na kutuangalia.
DUH KIMENUKA HUKU....π€π€ Nyieeeee....Mambo ni ya motooo.π Kwani wewe auogopi Usipite bila kulike na kukomeniti fanya ku share kabisa ili sehemu inayofuata isikukose maana ndiyo sehemu balaaaπ₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯.
Jamani comment zenu zikiwa nyingi naleta mwendelezo fasta.