Naitwa Veronika, nina umri wa miaka 24, mzaliwa wa Mwanza lakini kwa sasa naishi Dar es Salaam. Hadithi hii si ya kubuni ni sehemu ya maisha yangu halisi ambayo kwa muda mrefu nimekuwa nikificha kwa aibu na hofu ya hukumu za watu.
Lakini sasa, nimeamua kuisimulia, si kwa kutafuta huruma, bali ili iwe funzo kwa wengine, hasa wanawake wanaopenda maisha ya starehe bila kujua gharama yake.
Ilianza mwaka mmoja uliopita, nilipokwenda likizo Zanzibar na rafiki yangu wa karibu sana jina lake ni Sandra.
Tulikuwa tumepanga likizo ya mwezi mmoja , tukiamini tunakwenda kupumzika, kufurahia bahari, na kula raha. Lakini ndoto ikabadilika kuwa jinamizi...
Tulikutana na wavulana wawili wa pwani beach boys kama wanavyojulikana. Walikuwa na tabia za kuvutia, walijua kuongea, kuchekesha, na walionekana kama wanajua kila mahali pa starehe kisiwani.
Lakini nyuma ya tabasamu zao, kulikuwa na kitu ambacho hatukukiona kwa macho ya kawaida.
Tulikuwa kwenye ufukwe. jioni moja, tukiangalia jua likizama huku Sandra akicheka na mmoja wa wale vijana.
nilikuwa kimya, nikifurahia upepo wa bahari na maji ya nazi niliyokuwa nikinywa. Lakini mara ghafla, alitokea kijana mmoja, mrefu, mwili wa ki-massai, macho makali lakini yenye mvuto wa ajabu. Alinichangamkia kwa ujasiri:
“Mrembo, sikuwahi kuona mtu mwenye utulivu unaovutia hivi. Unaitwa nani?”
Nikacheka kimya kimya, nikajibu:
“Veronika.”
“Mimi ni Juma, lakini marafiki huniita Captain J… kama unahitaji adventure ya kweli ya visiwa, niko hapa kwa ajili yako.”
" mmmh ina maana we ni mwenyeji wa huku?
" eeeh kwani nyie ni wageni?
" ndyo tupo mwezi mzima hapa "
" oooh wow mpo na nani?
" tupo wawili tu mimi na huyu rafiki yangu"
" anha mnajua kuogelea ?
" hapana hatujuwi"
" anha msijali tutawafundisha mi na captani T "
" captain T ndo nani?
" si huyo aliyekaa na sandra "
" anha sawa "
Jamaa akaingia kwenye maji nakuogelea mpaka mbali ili atuonyeshe kuwa anajua na kweli alionekana ni mtaalamu . Nilitamani anifundishe na mimi hata Sandra naye alimuomba Captain T amfundishe ....
Basi tuliingia nao kwenye maji wakaanza kutufundisha taratibu taratibu wakaanza kutusogeza kwenye kina kirefu huko sasa nilikuwa naogopa sana ... Mara ghafla nikashangaa yule kaka kaupitisha mkono kwenye kufuri moja kwa moja mpaka kwenye kitumbua
Nilipiga kelele.........
USIKOSE SEHEMU YA PILI.......
.