Nikamvutia bafuni kwa nguvu ambazo sikujua zilitoka wapi, lakini bado sikujua kwa nini moyo wangu ulikuwa unadunda kwa kasi isiyo ya kawaida. Muda huo nimetulia kifua kwake mtoto wa kike ...
Tukiwa pale bafuni, mvua ya bomba ikianza kupiga sakafu kwa utulivu, macho yetu yaligongana tena, na kimya kilitawala.
Nikiwa nimesimama mbele yake huku maji yakinitiririka mwilini, ghafla alikumbuka jambo.Nikajua leo lazima nipate navyotaka basi niliupeleka mkono sehemu ambayo huwa haitajwi hovyo hovyo....
“Subiri...” alisema kwa sauti ya chini, kisha akainama na kuokota taulo lililokuwa kando ya sinki.
Alinisogelea polepole, kwa uangalifu wa mtu anayegusa kioo kisichotakiwa kupasuka. Bila kusema chochote, alinisitiri sehemu ya mwili wangu kwa taulo hilo huku akitazama pembeni, kana kwamba kuheshimu utu wangu lilikuwa jambo la lazima kuliko matamanio.
“Nisamehe,” aliongea kwa sauti ya chini, ya aibu. “Sikutegemea mambo yaende haraka hivi yaaani wewe ni shemeji yangu na nakuona hivyo naomba niheshimu..”
Nilishindwa kujizuia. Hisia zilikuwa zimenizingira kama moshi. Nilimshika mkono wake na kusema, “Kelvin, siyo kosa lako. Siwezi hata kuelezea kilichonifanya nikuvute huku. Labda ni hofu ya kukupoteza... au labda ni mapenzi.” huku nayarembua mambo si unajua unapotega mtego lazima uwe unamvuta panya au ndege .....
Aliinua uso wake, macho yake yakibeba huzuni ya mtu aliyekosea lakini pia upendo wa mtu anayejali. “Hata kama ni mapenzi, hatuwezi kuyaharibu kwa tamaa. Nakuahidi... nitakulinda, nitakuheshimu... Kwa sababu wewe ni mali ya kaka yangu mnyampara hivyo inatosha kwangu”
Akanisogelea na kuniambia muda sasa umeenda nenda chumbani kwako ukalale acha jambo unalotaka kulifanya hapa sawa eee?
" Sawa niliitikia lakini bado ndo kwanza kumeanza kukucha huyu kkaa ataelewa show....
Nilipiga hatua mpaka chumbani kwangu yeye alikuwa bado kasimamam bafuni na ubaya zaidi bomba la mvua linamumwagia wala hajali ananisindikiza kwacho......Niliingia chumbani nikiwa nawaza sana nimfanyaje nilimwita chumbani alikuja hana shida .....
Muda huo nimejifunga taulo vizuri ila saa sita zinachungulia kwa mbali sana. Saa sita kama madodo ni nyeupe na sasa zimeanza kuiva maana mara ya kwanza nafika jeshini zilikuwa ngumu sana lakini sasa zimeanza kulainika kama nyanya za masalo
Aliangalia pembeni na kuniambia " enhe unasemaje"
" Naomba nifute mgongoni " kichwani mwangu nilijisemea mapambano yanaendelea ....
Alichukua kanga yangu akanifuta usoni na mgongoni lakini macho yangu yalilenga kule ambako inakaa silaha ya raha. Niliiona mtandao ni 5G nikajua mkaka wa watu ananipa heshima ambayo mimi siitaki nachotaka anajua ila ni makusudi
“haya upumzike ” alisema. “Leo umepitia mengi. Naamini kesho tutaamka na moyo mpya.”
Nilimkazia macho. “Na ukiamka na moyo mpya, usinisahau, Kelvin.”
Alitabasamu kidogo. “Huwezi kufutika, lucy i. Wewe ni sehemu ya familia yangu sasa.”
Alikuwa anatoka chumbani kwangu akiwa anajikakamua lakini niliona askari wa raha anavyotaka kuchomoka kwa ajili ya vita niliyotaka kuianzisha ......
Muda huo natamani kusafirishwa hadi ulimwengu wa raha yaani akili zangu zinawaza kwenda uko uko mbali..na wakunipeleka ni yeye tu ....
Kabla hajatoka nilimvuta kwa kushtukiza tukajikuta tunaangukiana yeye juu mimi chini macho yanatizamana ..........
powered by KELVIN MLOWE
0699286085.