SIRI YA HUBA ( Official song 1, Audio by Doyy )
π§π₯ππ‘π¦πππ₯ π‘ππͺπ¦, Uongozi wa Simba umemfuata Pacome Zouzoua nchini Ivory Coast kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili (2) wenye maslahi mazuri, inaelezwa kuwa Simba imeandaa mshahara mkubwa sana kwaajili ya kumnasa Pacome Zouzoua
27th Jul, 2025 Views 18
.
.
Kwa sasa Pacome Zouzoua yupo nchini kwao Ivory Coast kwaajili ya mapumziko pamoja na uzinduzi wa nyumba yake mpya aliyokua anaipambania kuijenga wakati wote akiwa yupo nchini Tanzania.
.
Endapo Simba watamshawishi vizuri Pacome Zouzoua, basi atajiunga nao msimu wa 2025-2026..
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA
π§π₯ππ‘π¦πππ₯ π‘ππͺπ¦, Uongozi wa Simba umemfuata Pacome Zouzoua nchini Ivory Coast kwaajili ya kumpa mkataba wa miaka miwili (2) wenye maslahi mazuri, inaelezwa kuwa Simba imeandaa mshahara mkubwa sana kwaajili ya kumnasa Pacome Zouzoua  >>> https://gonga94.com/semajambo/transfer-news-uongozi-wa-simba-umemfuata-pacome-zouzoua-nchini-ivory-coast-kwaajili-ya-kumpa-mkataba #Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war