Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

SEHEMU YA 30💘💘

16th Jul, 2025 Views 95



Ilibidi tu nijitoe ili niondoke mi peke yangu , lakini alex akagoma kabisaa hataki kubaki hapo , Judy analia tu hapo anafuta mafua ,

Mama mkwe wake anambembeleza mhu kuna watu wanajua kuigiza huyu dada aliniwahi vizuri sanaaa

"Mama unavuka mipakaaa!!! Kwasababu umeambiwa na juddy basi usimkashfu salma vyovyote unavyo jiskia ,Ngoja tu niwaambie salma nampenda Vyovyote alivyo mimi ninampenda ,hilo sio jukumu lenu ni langu mimiii!!"

"Sijamkashfu alex nielewe lakini naumia ye ni mwanamke anawezaje kumzunguka mwenzie tena yupo kwenye hali hiyo ,alex embu angalia mtoto wako kwanza"

"Huyo sio mtoto wangu mama sio mwanangu na huyo maraya hajawahi kuwa na urafiki na salma yes ni yeye ndio alisababisha nikakutana na salma kwa uma....."

"Nyamaza we mpuuzi nyamaza mjinga wewe, unatukana mbele yangu , Kaa hapo chini huna udole bado wa kunisimamia mimi"

"Sintakaa mama sikaiii, naondoka na salma hapaa na ukitaka nisije sawa sintakuja tenaaa baki na huyo mwanamke ye ni bora kwakoo!!!"

"Kwahiyo unamchagua huyo mwanamke badala ya familia yako ,yupo kuchuma mali alex"

"Salma ndie mke wanguu, kama anachuma mali basi anachuma za mume wake Enough "

"Jamani alex wewe, umekubwa na nini, kwanza huyo sio dini yako,embu mwangalie huyu mama wa mwanao Alex"

"Nitabadili dini mimi hilo nilishaliongea nae kwakua hamjataka kunisikiliza basi"

"Hapana alex ,sasa unavuka zaidiii yaan ubadili diniii??"

"Ndio baba ,mbona we ulimbadili mama amekufaa???"

"Shiit kwahiyo unanitusiii???"

Yakawa mabishano hapo,sio mama wala baba wote wanamshambulia alex , mi namtoa mkono alex aniache niende amalizane na ndugu zake kwanza lakini nae hakutaka kuniachia , swala la alex kusema anabadili dini kwa sababu yangu ilileta shida mpya kabisaaa ,mama ake ndo akawa kama amechanganyikiwa anasema judy alikuwa sawa alex umerogwa wewe alex amka jamani wewee,
Ilikuwa ni kisanga aisee ,natetemeka miee tena nyege na kihele hele cha kwenda ukweni kiliniisha ,alex alininunulia gauni jipya mwenyewe niende nimependeza mwisho nimepakwa topeee yamenishuka yote...

Sasa kati kati ya mabishano hapo ,Inno aliingia tena alikuwa kasi sana , alipo ingia tu kilipita kimyaa , hakusalimia wala kuuliza kitu hata sijui ilikuwaje alimuweka ngumi ya uso kaka yake
Kila mtu alishtukaa,alex wala hakutikisika hapo ndo nikaelewa kuwa inno ni kichaa leo ni ya pili namuona anapo jisikia kupiga huwa anapiga tu sijui anashida gani

Mi mwenyewe nilishtuka nikashika mdomo kwa mshangao ,
"We inno umechanganyikiwa tena??" Mama yake alimuuliza lakini inno hakuwajibu wala kuwatazama , alinishika mie mkono akaniachanisha na Alex

"Nilikwambia malizana kwanza na huyo maraya wako ,kabla hujafanya maamuzi ya kuwa na Salmaaa!!! Leo umemuumiza mschana ambae hajui chochote kuhusu shida zako na mwanamke wako wala wazazi wakoo, siku ingine nitakuuwa kabisa!!"
Heee!! Nikasema kweli inno maskini ananipenda hivi ushawahi ona upo kwenye ile hali ya kufa moyo , unahisi kama umetelekezwa jangwani ,kiu ndio pekee kilicho amua kukumbatia mpaka pale roho yako ikiacha mwili

Unawaza kama nikipata maji hapa mungu wangu, naapa sintakusaliti tenaa ,unatamani mate yako ayageuze yawe ndio njia ya kukuondolea hicho kiu chakoo??

Gafla ikatokea chemu chemu tena yenye maji safi kabisa yasiyo nashaka !!! Vile utakavyo mpa mungu utukufu wake ndio mimi hapaa leo, nilihisi kama bwana yesu amekuja kuninyakua kutoka kwenye shimo ya watoa nafs mashetani ..

Inno akamgeukia juddy ,hapo juddy aliacha kulia nikamuona na sura imemkazaa kabisaa

"We mwanamke wewe, siku ingine mtumie bwana wako huyu mpuuzi mwenzio na sio salma tena yaan leo iwe mwisho kabisaa ,nitakapo kuja tena kuliona hilii nakuapia nitakutoa hiyo mimba yako

Chezea hawa wazee uliowaweza akili yao na sio huyu mwanamke.... mama na baba mawaheshimu sana nimeskia kashfa zenu juu ya huyu mwanamke naomba nisije kusikia tenaaa

Kwenye huu mchezo chezeni nyie hapo wanne bila kuumiza mtu mwingine, huyu salma hakuna shutuma ya kweli hata moja aliyonayo .."

"Lakini huyu tayari anamimba ya kaka yako ,hatuwezi kumtelekezaa, lakini pia swala la kubadili dini hilo nalo haliwezekani hapa bado tu kuna vitu vingi alex hawezi kuwa na huyo!!"
Ndo walizidi kabisa kuniuwa jamani

"Hiyo mie hainihusu namchukua salma tunaondoka wala hatorudi tena hapa, malizana na hao ,halafu endelea kumkumbatia huyo maraya mpaka siku atakapo kuja kutembea na mumeo ndio utaelewa!!!"
Kila mtu alishtuka mungu wangu yaan inno anamwambia mama ak et juddy atakuja kutembea na mume wake yaan baba yao hahaha kweli huyu kaka sio mwehu tu ni kichaa

Mama ake anamwambia we inno wewe huna adabuu, inno wala hakujibu tukaondoka amenishika mkono , yaan nilikuwa namuangalia alivyo Serious sasa hee

Tukaenda mpaka kwenye gari yake akanifungulia mlango nikaingia namuonea aibuuu basi tu akaniuliza kuna kitu chako chochote umeacha nyuma

Niligeuka kutazama ile nyumba ,machozi yananitoka moyoni nikasema ndio kuna kitu changu nimekiacha yaan roho inaniuma sana nimemuacha alex wangu, sijui watayamaliza vipi hayooo

Nilimjibu inno hapana hakuna nilicho acha ,akasema sawa alichukua maji akanambia kunywa ,nilikunywa mengi kwa hasiraaaa , walau nikaanza kuona hata moyo umepunguza kasi ya kuuma ,alinitazamaa mi namtazama jicho la chini chinii

Aliondoa gari ,hata sijui tunaenda wapi lakini hatukuwa tunaenda njia ya nyumbani kwangu wala kule kwake
Alifika nje ya hotel moja akashuka akaja kunifungulia mlango akanambia shuka nikashuka zangu mnyongeee

Akanambia salma hutakiwi kuliaa hata kwa sec moja ,hivi unanielewa nacho kuambiaaa??
nilikuwa hata simuelewi nikasema ndio inno nakuelewa akasema haya kula halafu tuongee

Nilikula chakula hata hakiendi ,muda unaenda hata simu ya alex haikuita muda wote nilikuwa naichungulia labda amepiga simu hakuna
Nilitamani inno anipeleke nyumbani, nijifungie peke yangu lakini nilikuwa naogopa kumuambia ,baada ya kumaliza kula inno akaniuliza salma bado unampenda alex???
Nikabaki nimetoa macho ,sijui nimjibu nini kweli nampenda tena sana lakini sasa hii vita mbona naona kama siiwezi ??

Nilitikisa kichwa nikasema ndio nampenda !!

"Pamoja na yote yaliyotokea??"

Nikasema ndio nampenda alex sana sana nataman wazazi wake walau wangenielewa "

Inno alivuta pumzi akachukua Juice ilikuaa kwenye glass akanywa funda moja wakati anashusha ile Glass akanambia basi pambana ,nilintazama akasema Yeah pambania ,pigania moyo wako unachotaka hilo ndio jibu la moyo wako

Nikasema moyoni kwahiyo huyu innno ananidharauuu,anaona bora ningemkubali yeye Auuu???

Itaendeleaaaaaa

Angalizooooooo facebook wameweka sheria kali sanaaa hii simulizi ina vipande mpka 60+
Facebook watanifungia nikimaliza hadi mwishoo hii

Njoo na hela yako
Uje nikupe usome yote hii
Natoa kwa watu 20
Tu
Kwa shilingi 1000 tu
Njoo whatsapp 0657171961

Na kwa wale wenye cku zao za kuzaliwa tutakuwekea kwenye page yetu bure kabisa

Na wenye biashara zao tutakutangazia free

KWETU morogoro.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SEHEMU YA 30💘💘  >>> https://gonga94.com/semajambo/sehemu-ya-30
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
karibu msagala furniture
karibu msagala furniture

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MKEKA 03

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 30💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

TREVOR CHALOBAH 🫡

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 28💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

🌹I MISS YOU 🌹

majario rewards 100 Comments 0
 

.BABAMKWE epsd 19.

majario rewards 100 Comments 0
 

SEHEMU YA 22💘💘

majario rewards 100 Comments 0
 

ALINIINGIA BILA IDHINI

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE..17..18

msagala rewards 100 Comments 0
 

bei sawa na bule

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 16

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 14...15

majario rewards 100 Comments 0
 

MDOLI MPENDA UTAMU...1

majario rewards 100 Comments 0
 

HUYU KAKA🙈3~4

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 11.

majario rewards 100 Comments 0
 

GIGY MONEY DAH😭

majario rewards 100 Comments 0
 

YOUNG AFRICANS,

majario rewards 100 Comments 0
 

BAKORA VILLAGE

majario rewards 100 Comments 0
 

BABAMKWE epsd 7...8

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest