Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Pyar Ho Jane Dushman

DADA POA WA USIKU MMOJA _______________________________________ SEHEMU 09

1st Aug, 2025 Views 18

MTUNZI; NURU HALISI
SEHEMU 09

ENDELEA.......
Osman na Anjeli wanarejea nyumbani, kitu kilicho mshangaza Sabrina ni namna wawili hawa wanavyo onekana kuzoeana kana kwamba wamefahamiana miaka 5 iliyopita.

Anjeli alielekea jikoni kuandaa chakula, alisita kidogo baada ya kumuona Hilda.

"Unaweza kwenda kupumzika chakula cha usiku nitaandaa Mimi" Hilda aliongea.

"Basi ni kusaidie kukata matunda" Anjeli aliongea.

"Ungekuwa una fahamu wajibu wako usingekubali kudhurula huko nje.... naomba uniache nifanye kazi yangu" Hilda aliongea kwa msisitizo.

Anjeli alijikuta akikosa amani kukaa tu bila kufanya kitu ilikuwa ni sawa na kujiona boss kwenye nyumba hii.

Si kawaida yake kudeki nyumba mara mbili lakini alianza kujishughulisha.

Baada ya chakula kuiva kiliwekwa mezani, kila mtu alimsifia Hilda kwa upishi wake.

"Anjeli hana tofauti na Asha pamoja na Victor, itapendeza pia kama hata yeye atakuwa ana kula meza moja na sisi" Hilda aliongea.

Watu wote walijikuta wakikodoa macho, ni kweli alikuwa sahihi katika hili.

Ni kama alikuwa ana mkumbusha Asha kuwa asijisahau kama ni Mfanyakazi pia.

Kwa mara ya kwanza Anjeli alikaa mezani, lengo la Hilda lilikuwa ni kuthibitisha kuhusu picha alizotumiwa na Asha.

Anjeli aliweza kuvunga kama hakuna kitu kibaya kilichowahi kutokea kati yake na Osman.

Lakini kwa Osman ilikuwa ni mtihani bila kujua anachokifanya alijikuta akimtazama Anjeli bila kummaliza.

Hilda alijionea kwa macho yake mwenyewe, ili kuirudisha akili ya Mumewe mezani alianza kumuuliza maswali kuhusu kazi.

Kwa kiasi kikubwa aliweza kulizuia balaa alilotaka kulionesha Osman.

Mida ya usiku wakiwa wamelala alinyoosha mkono taratibu akamshika Mumewe. Alikuwa katika uhitaji wa tendo.
Moyo wake ulimuuma baada ya Osman kumueleza amechoka.

Hakutaka kuomba tendo tena, aligeukia ukutani.
Aliamua kuvunga amesinzia, bado alihitaji kupata uhakika kabla hajatoa hukumu kuhusu picha alizotumiwa na Asha.

Moyo ni kiungo cha ajabu sana katika mwili wa binadamu.
Osman alijikuta akikosa usingizi, shauku ya kumuona Anjeli ilikuwa juu kuliko kawaida.

Alimchungulia mkewe, baada ya kuhakikisha amelala aliondoka. Alielekea chumbani kwa Anjeli.

"Weee ni mpuuzi kweli, kitu gani kimekuleta chumbani kwangu...punguza uma....ya" Anjeli aliongea akiwa na wenge usingizi.

Osman hakutaka kuongea mengi alimvamia akaanza kumbusu kwa lazima, siku ya leo alikuwa tayari kuitwa mbakaji na si kuumiza hisia zake.

Anjeli alikuwa katika hali ya nataka sitaki....
Ushawishi wa Osman ulimzidia, alijikuta akiachia miguu.
Bila kupoteza muda walianza kupelekeana moto.

Utamu ulimkolea Osman, alijikuta akianza kugugumia.

Hilda akiwa mlangoni kwa Anjeli alisikia kila kitu, ile anataka kusukuma mlango mkono wake ulishikwa.
Aligeuka kwa haraka amuone mtu aliyeshika mkono wake, alikutana na Asha.

Bado alihitaji kufanya fumanizi, Asha alimtoa kwa nguvu mpaka bustanini.

"Kama una uhakika unaweza kuishi bila Osman nenda ukafanye fumanizi. Lakini kama unajua huwezi kuishi bila huyo Mwanaume tuliza makalio yako!" Asha aliongea akionekana kuwa na hasira kupita kiasi.

"Kuanzia kesho huyo Anjela ataishi kama yupo jehanamu, ahsante kwa ushauri wako" Hilda aliongea akataka kuondoka lakini Asha alimsubirisha.

"Kwa wakati huu unahitaji msaada wangu, si rahisi kumtikisa Dada poa ukiwa pekee yako. Mara nyingi huwa wanajificha walokole lakini hawa viumbe ni zaidi mashetani"

"Pengine hunifahamu vizuri... kuanzia kesho na kuendelea utajifunza kuhusu Mimi, ahsante kwa ofa yako lakini huo mziki naweza kuucheza mwenyewe bila hata msaada wako.... usisahau kama wewe ni Mlinzi wa Mume wangu ni aibu kunifundisha kipi nifanye na kipi nisifanye" Hilda aliongea kisha akaondoka.

Asha alibakia kutabasamu kwa namna Hilda anavyojiamini.

Alikaa kwenye benchi lililokuwa hapa bustanini akaanza kuhesabu nyota wa anganj.

Taratibu alianza kukumbuka ile siku aliyokutana na Osman, alitarajia Mwanaume huyu atamtangazia upendo cha ajabu alimpa nafasi ya kuwa Mlinzi wake.

"Siyo Hilda wala Anjeli naamini mwisho wa siku utarudi kwangu, kuanzia kesho nitaanza kuzungumza kila kitu kuhusu moyo wangu nipo tayari kuwa Kimada wako..." Asha alijisemea.

Osman anarudi chumbani kwake baada ya kumaliza kuzagamuana na Anjeli, aliingia kwa kunyata.

Hilda aliendelea kuvunga amelala, machozi yalimtiririka kwa usaliti aliofanyiwa.

Kulivyo pambazuka asubuhi, alielekea jikoni kuona nini kinaendelea. Cha ajabu jiko lilikuwa limezimwa.

Aliachia tabasamu kisha akaelekea chumbani kwa Anjeli.

Anjeli alikuwa bado ana koroma, shughuli aliyofanya na Osman usiku wa jana ilikuwa nzito.

Hilda alichukua maji yaliyokuwa kwenye kikombe kisha akaanza kumwagia usoni.

Anjeli ndio kukurupuka, kabla hajakaa sawa alikula kibao cha uso, ile anataka kuongea alikanyagwa teke la tumbo.

Uvumilivu ulimshinda, alihitaji kusikia sababu ya yeye kuchapika, ulokole aliuweka pembeni, yeye na Hilda walianza kupigana.................Kumeanza kuchangamka sasa๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€.......HII STORY NI TAMU ACHA KABISAAA. FULL STORY/MUENDELEZO MPAKA MWISHO 1000 TU ALAFU BADO VIPANDE VINGI.

NAMBA YA MALIPO 0743770612 JINA JOFREY.

UKISHALIPIA NICHEKI WHATSAPP KWA NAMBA 0683009150..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

DADA POA WA USIKU MMOJA _______________________________________ SEHEMU 09  >>> https://gonga94.com/semajambo/dada-poa-wa-usiku-mmoja-_______________________________________-sehemu-09
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Pyar Ho Jane Dushman
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest