______________________
Nilinyanyuka na hasira zangu, nikampiga kibao hicho , lakini hata hakushtuka wala kunizuia, badala yake aliniambia nipigie mpaka hasira yako itulie, nipige mpaka utakaporizika ila tu unisamee...
Nilimpiga mpaka nikawa naumia mwenyewe, mikono ikavilia damu,nikajikuta naumia mikono, alinituliza kwa nguvu, akanikaba nisifurukute kisha akanipaka dawa sehemu nilizoumia...
Naomba tu nikwambie, jifunze kunisamehe, jifunze kunipenda, kwa sababu sikuachi, najua nilifanya kosa nikakuachia hapa ukitoa miguu yako, utaenda waambia wale kaka zako, watakuondoa tena nikukose, japo najua lazima nitakupata, lakini itanichukua muda sasa Ili tusipoteze muda, hautoenda popote tena, kama ni kazi utakuja kufanya ukishakuwa na akili timamu sio hizi ulizonazo...
We ni mtu gani hubembelezeki Mariam!! Mimi nimejitahidi nimejishusha mpaka magoti nimepiga, aya unataka nikuombeje msamaha?
Yaani ety hapo anaomba msamaha ivi mnamuelewa kweli huyu ng'ombe��....
We mbwa naomba uniachie niende, tafadhali sana, sio lazima ukiomba msamaha usamehewe ingekuwa hivyo hata Mungu angemsamehe shetani...
Na wewe na shetani ni damu moja, nakuchukia kuliko mtu yeyote hapa duniani, najuta hata kumjua mwanao, najuta��, " usinitibue saivi mimi sio mbwa niite Mudy, Sasa hivi sikumbembelezi tena nimechoka, jitambue basi tunapoteza muda kisa jambo moja tu....
Jiandae kunisamee, jifunze kwa sababu sina muda tena wakutafuta mke nje na wewe, sina muda tena wakugombana na wewe nahitaji kujenga na wewe....
Hapa ni kwako, na utaishi hapa kuanzia muda huu, na hiki ni chumba chako, na kuhusu nguo zako usijal naenda kukufatia saivi...
Sitanii hunijui vizuli Mariam, itakubidi unijue Mimi ndio mmeo pekee, aliongea hivyo huku ananikazia macho, niliwaza nikaona ni bora niigize tu nimemsamehe nitoke, ngoja nijaribu
kujishusha...
Nilimuita Mudy, aligeuka make alikuwa kashaanza kuondoka, naomba uje tuyamalize, alinitizama kisha akasogea, na kukaa kwenye sofa jirani na mimi, nilikuwa muoga nikasogea mbali nae, akanikata jicho...
Mudy naomba yaishe, tafadhali Niko tayali kufuata masharti Yako lakini tafadhali��, usinifungie, Mimi nimeshakusamee, naomba uniruhusu niendelee na kazi hayo ya ndoa tujipe basi muda Aya kidogo����...
" Mariam ivi unaniona Mimi kama mtoto ee? Ni sawa nilikukosea, lakini sio ndo unanichukia muda wote huo, najua unaomba msamaa kucheza na akili yangu ila nakuapia...
Ukitoroka nikikukamata utaniona mimi mbaya, nakupa muda ila ni wiki moja tu, uwe umeshajiandaa Kwa ndoa...
Mimi sina Nia mbaya na wewe, na sikurupuki kukuoa, tayari nakujua nje ndani, wewe sio gazeti Kila mtu afunue asome, tayari nimeshafunua Mimi inatosha sitaki kushare na mtu, Wala kuonjewa...
Tulichokianzisha nilazima kiendelee, niliamua kunyamaza kimya nilishajua Niko na chizi fresh kabisa...
" Nazani tumeelewana Sasa Leo utalala hapa, utarudi uko kwako Jumatatu, leo na kesho utakuwa na sisi hapa, Mudy sio vizuri unajua kulala hapa, afu biashara yangu kesho Natakiwa kufungua...
Mariam huwezi, kuacha kunibishia ni lazima Kila neno tubishane ama tugombane ndo utaelewa ee?, biashara nitakulipa natoka kukufatia nguo za kesho na nguo za kulalia...
Lakini ebu inuka twende wote Ili ukale pia, make umu ndani Leo hatuna ratiba ya kupika, Kwa jinsi nilivyokuwa namchukia uyu mbwa, ata sikutamani kuongozana nae, Mudy kanichukulie tu, sijisikii vizuri...
Kwani hii kenge, ilielewa basi dah, ilinibeba bila kusema chochote, nikatolewa mpaka nje, nikawekwa kwenye gari, tena mbele, jamaa akatoa gari, sikutaka ata kuongea nilivuta tu mdomo, alinipeleka tena pale pale kwenye duka la mwanae...
Niligoma kushuka akanishusha Kwa lazima, mpaka dukani na tayari wale wafanyakazi walikuwa washanijua wananiita mama Amina, walivyoniona tu wakanichangamkia , make nilibebwa nikaachwa mlango wakuingilia akarudi kufunga gari yake...
Nilivyoingia tu wakanichangamkia Kwa furaha na shikamoo mama Amina wengine nikiwacheki ni kama tunalingana kabisa ila wananisalimia...
Niliwaitikia tu, huku natabasamu kuficha majanga yangu, ghafla nikaona Kila mtu kapoa, wamekuwa bize sana, nikasikia tu spray ya uyu mbwaa, nikajua tu wanamuogopa...
Alisogea mpaka nilipo akawaita wote na kuwa uliza kama wananitambua, wote walitizamana nakusema,wananitambua kama mama Amina , akawajibu vizuri , naomba niwaongezee utambulisho mwingine, sio tu mama Amina ila pia ni mke wangu...
Hesabu zake zote naomba nipewe mimi, hata kama atakuja peke yake ama na boss wenu, huyu ni jukumu langu Mimi sio la Amina ama lake, nafikiri tumeelewana, wote wakaitikia kuwa wameelewa, nilikunja sura nikaamua kutoka na umo dukani kabisa ila aliwahi akanishika mkono, alisogea karibu na sikio langu...
akanisemeza, sipendi hio kiburi yako nachukia sana, shukuru nakupenda najikaza kuvumilia, tumekuja hapa kuchukua nguo, unatoka kwa hasira, Aya nikikuuliza hapo kosa langu nini unachakujibu? Ama kuna kibwana chako uku tayari unahofia kikitambua?
Sikujibu chochote nilikaa tu kimya, akanishika mkono Moja kwenye nguo, akanichagulia, kimbembe ni hizo nguo za ndani alizonichagulia, Kila nikizitazama siwezi kuzivaa ziko wazi sana, na hii baridi ya Moshi hapana kwakweli...
Nikamwambia hii siwezi kuvaa, na huku Kuna baridi sana nataka suruali na kishart , sitaki hivo vifupi, ata hakunijibu alichagua ninazotaka na hivyo vya ajabu ajabu , akanichukulia na nguo za ndani, kisha tukatoka, akanipeleka duka jingine, la vishanga vya kiunoni vizuri hivyo, aisee alinichagulia dazan nzima, akaniambia tunapaswa kuwa unavaa wewe ni wakike, usiwe kama nyoka...
Sikujibu chochote tulitoka apo akanipeleka kwenye chakula, kimbembe mikono yangu kumbe niliumia sana...
Itaendelea...��
Full sh 1000
Njoo WhatsApp katika namba 0683944333.