Nilimuacha Lewis pale nje nikaingia ndani moja kwa moja nilielekea chumbani kwangu...Nilipofika chumbani kwangu nilikuta msg kutoka kwa dady Henry nilipoifungua alikuwa ananiambia
Lisa samahani natoka kidogo naenda duka la dawa maramoja naenda kuchukuwa dawa
Mfanyakazi wangu nimemkuta anaumwa anahoma kali sana ungekuwa sio mtoto ningekuomba utoke tuende wote
Au unaonaje twende unipe kampani kama haitokuwa shida nyumbani??
Nilipoziona hizo msg nilivurugwa arafu kanikuta nje atahisi nini jamani dah
Nilichukia sana aisee huwezi amini nilibaki nikijilaumutuu
Nikaona nibora nimpigie kwani sijui kanielewaje ila liwalo liwe vyovyote
Nilimpigia sim dady Henry na akapokea
Akaniitikia haloo Lisa
Nilijibu haloo dady Henry
Henry akajibu niambie
Nikabaki nagongesha maneno tuu kisha nikajifanya vipi mgojwa anaendeleaje
Akanijibu anaendelea vizuri nimempa dawa kisha nikamuambia apumzike sasa
Nikajifanya ok vizuri
Dady Henry akaniuliza Lisa yule kijana ni boyπ₯Ήfriend wako sio
Nilibaki na kigugumizi nikamjibu hapana kweli tena sio ukweli ni rafiki tuu
Henry akaniambia mbona nimemkuta bado yupo nje tena alikuwa anahasira mno
Nikamjibu hapana sijui yeye nini kimemkuta lakini mimi na yeye hakuna kitu katietu dady Henry
Daddy Henry alijibu lakini nyinyi nivijana bwana alikuwa anaonyesha kunakitu kimetokea
Nilimuambia usijali mimi sijui anakitugani kinaendelea
Nikamuuliza Daddy Henry ehee niambie
Daddy Henry alijibu naona sasa muda umeenda mno tutaongea kesho ili ulale uweze kuwahi kuamka
Nilimjibu kuwa kesho mi weekend hivyo nitapumzika nyumbani vipi wewe unaenda kazini hadi weekend
Daddy Henry alijibu kuwa nitatoka nje ya mji kidogo kikazi ila usijali tutawasiliana tuu rafikiangu
Nilihisi kama kunakitu kimeuchoma moyo wangu kusikia Henry atasafili
Nikamuuliza utakuwa uko kwa siku ngapi
Henry alijibu sio muda sana
Nilimuitikia kwa kunyong'onyea sana kama nimehuzunika sana
Daddy Henry alielewa kwavile nilivyojibu kuwa nimehuzunika akaniuliza vipi mbona kiunyonge hivyo rafiki kunakitu hakipo sawa
Nilijibu hapa usijali niko sawa daddy
Kisha nilimuaga haya pumzika ili kesho uamke mapema uanze safari salama
Daddy Henry alijibu ok sawa na kwako pia
Kisha tulikata sim na kulala nilikuwa nahuzuni mno sijui nesemeje nampenda sana Daddy Henry nampenda hadi nahisi ukichaa
Hata sijui kama analijua hili natamani ajue na kama angejua ningetamani anit*ππngo..ze basii
Nilijiongelea tuu mwenyewe hadi nilikuja kupitiwa usingizi sikujua kabisaa
Pia nilichelewa kuamka sana siku hiyo nilipokuja kuamka nikakuta msg na kuifungua
Alikuwa Daddy Henry aliniambia nimejaribu kukupigia ila najua utakuwa umechoka sana bado umelala
Haya mimi ndio naondoka pumzika nitakupigia baadae nikisha kuwa nimefika sawa best yangu..
Nilijibu asante nimeiona msg yako rafiki sasa nimeamka
Kisha niliamka na kwenda bafuni kuoga nilipotoka kuoga nikavaa na kwenda sebreni kunywa chai
Nilikuwa mnyonge nyonge tuu muda wote hadi dada akaniuliza Lisa unanini mamy
Nilimjibu dada sinakitu nipo poa mbona
Mama nae akaja na kusema kumbe hata wewe umemuona kipnzi sijui sikuhizi ananini
Hebu niambie Lisa wangu kwani unakitugani kinakusumbua nikusaidie mimi ni mamaako
Nilimjibu hapana niko poa tu mnapenda kukuza mambo tuu nyie yaani hata siwaelewi
Unajua woote wamenitambua haraka kwakuwa wananijua hiyo sio kawaida yangu ya upole mimi nimtu mwenyefujo sana na makelele nyumbani kwetu lait wangejuaππ
Endelea kufuatilia.......
Full 1000
WhatsApp 0742133100.