Usiku mzima nililala nikiwa namuwaza mubaba nilipitiwa usingizi nikaja shtuka asubuhi nikaamka nikatandika kitanda
Kisha nikaenda kujiandaa haraka kwa ajili ya kuwahi chuoni
Sasa bwana ile nimetoka tu nje nikakutana na mubaba😁😁😁
Akaomba anipe lift mi sawa nikapanda kwenye gari
Tulianza safari alikuwa anaendesha huku ananiuliza samahani naitwa Henry unaitwa nani
Nilimjibu naitwa Lisa
Akaniuliza unaenda wapi
Nilimjibu naenda chuo
Akaniuliza unasoma chuo gani
Nilimjibu nasoma chuo cha mwalim nyerere
Akanijibu ok safi sana wewe nimtoto wangapi kuzaliwa kwenu
Nilimjibu wamwisho
Henry akaniuliza unandugu wangapi
Nilimjibu kuwa ninakaka mmoja na dada mmoja wote wanafanya kazi sasa
Nikamuuliza vipi wewe unawatoto
Alijibu ndio ninao wawili wapo nje ya nchi wanasoma mmoja wakike na mwingine wakiume wanaishi huko
Nikamuuliza tena kuwa na mamaao yupo wapi
Alinijibu mamayao alishafariki muda mrefu tangu wakiwa wadogo niliwalea mwenyewe tuu
Nikamwambia pole kwa hilo nisamehe sikujua
Alinijibu usijali ndio ukweli uliopo haupingiki ni razima maisha yaendelee
Nikamwitikia ok nikweli lakini
Akaniuliza nawewe wazazi wako wapo wote hapo nyumbani kwenu
Nilimjibu wote wapo kisha nikamuuliza unaenda kazini sio
Alinijibu nikweli naelekea ofisini mimi nimejiajili mwenyewe na pale ninapoishi nikwangu nipo mimi mwenyewe na wafanyakazi tuu
Akaniuliza jee tunaweza kuwa marafiki kama hutojari
Nilimjibu sawa hainashida
Akaniambia niite dady Henry
Nilimuitikia kuwa ok sawa nilikuwa nimefika posta natakiwa nielekee kwenye pantoni
Nikamuambia asante sana kwa lifti dady Henry
Akanijibu nimefurahi kukufaham Lisa kisha akanipa sim yake niandike namba yangu
Niliichukua na kuandika namba yangu haraka sana
Kisha nilimrudishia na kumuambia haya baadae dady Henry
Alijibu ok sawa baadae Lisa
Kisha niliondoka nae aliondoka
Namimi nilielekea chuo nilipofika nikaingia kipindi na baadae nilipotoka nikawa nimekaa sehem ya kantini nakunywa chai
Nilisikia sim yangu imeingia msg nikaitoa na kuitizama ilikuwa ni namba ya dady Henry
Nikafungua msg na kuisoma aliniambia kuwa ukitoka utanijulisha kama nitakuwa tayari tutoke wote
Nilifurahi kimoyo moyo huwezi amini nilikuwa najiuliza au kaishajua kuwa nampenda
Nikamjibu sawa nitakujulisha
Nilipomaliza nilijisikia furaha sana kwani nampenda sana yule baba sijui akijua itakuwaje
Kipindi changu kingine tena kilifika nikaenda kusoma
Baadae nilikuwa tayari nimesha maliza vipindi vyangu vyote kisha nilimtumia msg kuwa mimi tayari nimesha maliza vipindi
Alinijibu kuwa sawa tukutane hapo kituo cha feli
Nilimjibu ok sawa kisha nilitoka na kuelekea tulipokubaliana
Tulipofika tuu muda huo huo na yeye alifika aliponiona alifurahi sana akaniambia Lisa zamida
Nilimjibu ninzuri sijui wewe
Alijibu namshukuru mungu pia ninzuri
Tulianza safari ya kuludi nyumbani Henry akafika kwenye super market moja akaniomba kidogo anavitu anachukua
Nilimjibu usijali wewe chukuwa tuu kwanza tumesha fika naeza kutembea tu mdogomdogo kuelekea nyumbani
Usiondoke please nisubilie tafadhari sitochelewa
OK sawa dady
Alishuka asikuambie mtu dady Henry kapanda juu na anakifua kipana hadi raha yaani anavutia hatakama ni mubaba 🙈
Nilizidi kuvurugwa jamani hatasijui nifanyeje alienda akanunua mivinyo na wine kisha akachukua na box ya chocolate
Alipofika kwenyegari akanipa chocolate na kisha aliweka vinywaji vyake nyuma kwenye gari..
Endelea kufuatilia........
Full 0742133100
WhatsApp 0742133100.