❤️🥀Pongezi kwako mpenzi,❤️ ufundi na ujuzi unao.
🌹Hasa tuwapo wawili chumbani.💋❤️🥀
Penzi lako halichakai daima huzaliwa upya.💋
💋Mapenzi ni upepo, mimi sivumi na kupotea, 💋mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,💋 mapenzi ni raha kamwe siwezi kuibeza,
nakupenda wewe pekee.💋
💋Nataka kukufahamisha, wewe ni ndoto yangu. Nataka kukujuza. Kuwa ww ndiwe mlinzi na Mfariji wa nafsi yangu. 💋💋
💋 Malaika kama wewe ni nadra sana kumpata, nashukuru kuwa na wewe maishani mwangu. 💋
💋Habari za mchana
mpenzi wangu 💋💋.