- Mlinzi wa kushoto Mohamed Hussein (28) amepokea ofa kutoka Kaizer Chiefs kupitia Menejimenti yake na wanaendelea kuipitia ofa hiyo kutoka Afrika Kusini na mpaka sasa ni Mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba wake na Simba SC
- Lakini Mohamed Hussein ameipa Simba SC kipaumbele zaidi katika kuongeza mkataba mpya kutokana na ofa na vipengele vya kimkataba waliyomtamkia kwa mdomo kuwa watampatia mkataba mpya rasmi hivi karibuni
- Na mpaka sasa Mohamed Hussein hajasaini mkataba mpya na Simba SC na anachosubiri Mo Hussein ni mazungumzo rasmi ya kuongeza mkataba mpya baada ya viongozi kumaliza tathimini yao ya wachezaji kuelekea msimu ujao..