1: Babu yangu mkubwa alizaliwa ETHIOPIA ๐ช๐น
2: Alioa mke kutoka BOTSWANA ๐ง๐ผ
3: Akahamia ANGOLA ๐ฆ๐ด
4: Kwa sababu ya changamoto, alihamia ALGERIA ๐ฉ๐ฟ
5: Walimkaribisha mtoto wao wa kwanza nchini BENIN ๐ง๐ฏ
6: Alioa mke wa pili huko BURKINA FASO ๐ง๐ซ
7: Alikuwa shujaa, baadaye akaalikwa BURUNDI ๐ง๐ฎ
8: Lakini vita ilimalizika CAMEROON ๐จ๐ฒ
9: Akapata rafiki kutoka CAPE VERDE ๐จ๐ป
10: Wote wakaenda safari kwa Gari (Jamhuri ya Afrika ya Kati) ๐จ๐ซ
11: Baadaye alihamisha familia yake kwenda CHAD ๐น๐ฉ
12: Na babu yangu alizaliwa COMOROS ๐ฐ๐ฒ
13: Ndugu yake mdogo alizaliwa COTE D'IVOIRE ๐จ๐ฎ
14: Babu yangu alikulia UGANDA ๐บ๐ฌ
15: Na alisoma shule DR CONGO ๐จ๐ฉ
16: Aliendeleza masomo yake DJIBOUTI ๐ฉ๐ฏ
17: Akapata shahada ya uzamili ya uhandisi EGYPT ๐ช๐ฌ
18: Kazi yake ya kwanza ilikuwa Air MOROCCO ๐ฒ๐ฆ
19: Safari yao ya kwanza ya mpito ilikuwa EQUATORIAL GUINEA
20: Safari ya pili ya mpito ilikuwa ERITREA ๐ช๐ท
21: Kituo chao cha mwisho kilikuwa GABON ๐ฌ๐ฆ
22: Baadaye walikwenda likizo GAMBIA ๐ฌ๐ฒ
23: Akakutana na mwanamke kutoka GHANA ๐ฌ๐ญ
24: Wakafunga ndoa GUINEA ๐ฌ๐ณ
25: Lakini alikuwa mhitimu kutoka KENYA ๐ฐ๐ช
26: Mama yake anaishi GUINEA BISSAU ๐ฌ๐ผ
27: Wote waliamua kuishi LESOTHO ๐ฑ๐ธ
30: Wakaenda safari LIBERIA ๐ฑ๐ท
31: Akapigiwa simu kwa kazi mpya LIBYA ๐ฑ๐พ
32: Lakini akasikia kuhusu nafasi ya kazi MALAWI ๐ฒ๐ผ
33: Akaikataa kwa ajili ya kazi moja MALI ๐ฒ๐ฑ
34: Msaidizi wake alikuwa kutoka MADAGASCAR ๐ฒ๐ฌ
35: Akapata rafiki mpya MAURITANIA ๐ฒ๐ท
36: Akahamishiwa MAURITIUS ๐ฒ๐บ
37: Haikumfaa, akaenda kujaribu MOZAMBIQUE ๐ฒ๐ฟ
38: Hatimaye akaamua kuishi NAMIBIA ๐ณ๐ฆ
39: Wakapanga kutembelea NIGER ๐ณ๐ช
40: Wakapewa kazi NIGERIA ๐ณ๐ฌ
41: Yeye alienda kupimwa afya RWANDA ๐ท๐ผ
42: Alitumia ndege kutoka ZAMBIA ๐ฟ๐ฒ
43: Baadaye akajifungua baba yangu huko SUDAN ๐ธ๐ฉ
44: Walitalikiana, babu akahamia SEYCHELLES ๐ธ๐จ
45: Naye akahamia SENEGAL ๐ธ๐ณ
46: Akafunga ndoa tena SOMALIA ๐ธ๐ด
47: Babu akafunga ndoa Afrika Kusini ๐ฟ๐ฆ
48: Baba yangu alisoma chekechea SOMALILAND
49: Akaenda kwa shangazi yake SWAZILAND ๐ธ๐ฟ
50: Akaenda kuona wanyama pori TANZANIA ๐น๐ฟ
52: Akaoa mke kutoka UGANDA ๐บ๐ฌ
53: Mke wake ni mhitimu kutoka ZIMBABWE ๐ฟ๐ผ
54: Mimi nilizaliwa SIERRA LEONE ๐ธ๐ฑ
Kwa hiyo, hakuna Mweusi aliye mgeni barani Afrika
Sisi ni wamoja
Sisi ni kwa ajili ya Afrika
Cc: Kly Mohamedd Ali
#halisimax #halisinewsflash #halisimediatz #afrikampya #mapinduziyafikra.