๐จ๐ค
Baada ya Kuuzwa kwa mtandao wa kusikiliza muziki wa Tidal mwaka 2021.
Nicki amedai kuwa anapanga kutumia pesa hizo kuwasaidia mashabiki zake (Barbz) kuwalipia ada za chuo na mikopo ya wanafunzi. ๐๐ฐ
Nicki anasema yeye alikuwa mmoja wa wasanii wa kwanza kumiliki sehemu ya platform hiyo, na alipambana sana kuitangaza kuliko hata Beyoncรฉ pale ilipozinduliwa. ๐ฃ๏ธ๐ฒ
Anadai kuwa wakati Jay-Z aliuza Tidal kwa kampuni ya Jack Dorsey (Square) kwa $300M, wasanii wengine walilipwa kati ya $8M - $9M, lakini yeye hakuambulia hata senti! ๐ณ
Pia Nicki anasema alipewa ofa ya $1M (Tsh Bil 2.6/=) ili anyamaze, lakini alikataa.
Mashabiki wake sasa wamemuunga mkono, wakisema hajatendewa haki, kwani Nicki alichangia sana jina la Tidal kupaa.
Jay-Z alinunua Tidal mwaka 2015 kwa $56M, kisha akauza majority stake kwa Square (Jack Dorsey) kwa $297M+ (Tsh Bil 689+).
Baadhi ya wasanii waliokuwa wamiliki wenzake ni: Beyoncรฉ, Alicia Keys, J. Cole, Rihanna, Kanye West, Lil Wayne, T.I., na Nicki Minaj mwenyewe.
#halisimax #halisimedia #halisimediatz.