Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

‎NILIJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA ‎ ‎NOTE: INA MAUDHUI YA WATU WAZIM SOMA KWA UANGALIFU ‎ ‎ ‎EPISODE 9

2nd Aug, 2025 Views 30


‎Basi baada ya kupepelea kitumbua kikapoa niliingia kuoga na kusafisha vizuri asije baba watoto akashtukia kuwa tayari chakula chake kimeliwa tena sio na mtu wa kawaida ni muokota makopo. Mimi ndio lisa namshukuru sana Dada Caren kwa kunifundisha kuwa naweza kutumia nilichonacho kupata nachokitaka bila kumtegea kiumbe anayeitwa mwanaume.

‎Baada ya ile siku kupita siku tatu baadaye mume wangu alinambia ana safiri na watoto wanaenda kumsalimia bibi yao hatuwezi kwenda wote inabidi mimi nibaki kulinda nyumba.Nisidanganye nilijifanya kulia kinafiki ila kwenye kamoyo kuna sherehe ngoma zikiambatana na nderemo na vifijo niliona ni muda pekee wamimi kuwapa watu wale kitumbua na kunipa hela maana napenda hela mpaka nahisi kuchanganyikiwa....

‎Nilijifanya nikideka mume wangu usiende ili ajuwe nampenda lakini nataka aondoke ili niwe huru na mambo yangu sitaki niache hela ipite tu.Basi alinibembeleza na kunifuta machozi namimi kwa kuigiza kudake nina DIVISION ONE YA 7 kama ingekuwa ni mtihani wa kidato cha nne na kama ni cha sita yaani ningekuwa basi nina 0ne ya 3 ..........

‎Basi waliniaga na kuniambia nibaki salama niwe na afya njema na ulumbi lumbi kibao kisha wakaondoka .Alipoondoka mume wangu tu niliingia ndani na kuanza kuruka ruka furaha niliyonayo acha tu nilitoa kufuri langu na kuvaa kichwaaa huku nikiache kinyau nje 😂....

‎Ukinitazama kwa mbali unaweza sema ni kichaaa ukinisogelea utagundua kweli ni kichaaa .Basi sijakaa sawa shemeji yangu alinipigia simu yaani mume wa Caren na kuniuliza kama nipo nyumbani . Nilimjibu nipo akaniuliza kuhusu mume wangu nilipomwambia kasafiri akasema anakuja tupige stori maana shogile yaani Caren katoka na anachelewa kurudi.......

‎.
‎Basi nilishangaa baada ya dakika kumi na tano huyu hapa muda huo nimeenda kuoga narudi nikiwa na khanga yangu namkuta katulia kwenye kochi. Ananitazama nilitabasama lakini kumtazama macho yake yalikuwa yanatazama map.... Yangu mmmmmmh nilianza kujiuliza huyu shem anashida yangu kuna nini kwenye mapj yangu?


‎Namimi nilipeleka macho yangu kwenye pens aliyovaaaa nilikodoa macho baada ya kuona jitu poli limesimama na kunitazama huwezi amini niliachia kanga shemu aliyakodoa macho ...........

‎0699286085
‎.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

‎NILIJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA ‎ ‎NOTE: INA MAUDHUI YA WATU WAZIM SOMA KWA UANGALIFU ‎ ‎ ‎EPISODE 9  >>> https://gonga94.com/semajambo/nilijiuza-bila-mume-wangu-kujua-note-ina-maudhui-ya-watu-wazim-soma-kwa-uangalifu-episode-9
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest