Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa

‎NILIJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA ‎ ‎NOTE: INA MAUDHUI YA WATU WAZIM SOMA KWA UANGALIFU ‎ ‎EPISODE 10

3rd Aug, 2025 Views 37

.....
tulia galia sana sana kisha mwisho wa siku nikapokea simu ya rafiki yangu yaani shogile ukipenda muite Caren mwalimu wangu wa ukubwa nisiwafiche masomo nilikuwa sielewi nahisi sababu ni mwalimu mbona huyu kanielekeza nimeelewa? Mwalimu wa mathe kwanini lakini ?
" Mambo shogile"
" Powa mzima wewe"
" Mi mzm sijuwi wewe"
" Niko powa wapi apo?
" Uko wapi Caren "
" Ndo napanda gari narudi nyumbani "
" Oho mwenyewe niko nyumbani,"
" Aaaah shoga jamani leo nimemis mume wangu sio siri nataman anikune hatari"

Muda huo mume mwenyewe anayemsemea na aliyekywa akimsifia kuwa kwake habanduki yupo anachezea saa sita zangu na kinyau changu na usemi sina juu ya utundu wake muda huo naendelea kuongea na Caren
" Eeeeh mnaonekana mnapendana wenyewe mpaka mimi naona wivu sio siri "
" Hhahahaha! Kawaida bhana ujuwe mwanaume mwenyewe nimemweka hapa"

Jamaa alisikia yale maneno na niliweka sauti kubwa ili nimharibie shoga yangu sio siri tayari shemeji kaivuruga akili yangu basi tuliongea sana na shoga yangu mpaka mume aliondoka na kuniacha naongea naye baada ya yeye kutoka nikamwambia shoga kuhusu kazi na hali ya nyumbani na nikamuomba kitu ..
" Shoga nitafutie mwanaume anayepiga miguu yote bila huruma maana mume wangu ni mdebwedo kama lenda la uwani na kasafiri"
" Be yako ni ipi shoga "
" Mmmmmmh laki moja tu yaani mguu wa kwanza 50 na mguu wa pili 50 "
" Shoga uko moto sana "
" Tunatafuta hela bhana moto gani unaousemea wewe?
" Haya sawa usijali"

‎Nilipomaliza kuongea naye niliingia bafuni nikaoga haraka haraka na nikArudi kulala kidogo then nikawa nimetulia zangu nachati chati na yule mkongo sahizi kwa bahati mbaya yupo kwao na anachokisema kaumIs mlango aliopita ile siku nilibaki nacheka tu maana huyu ndo wa kwanza kuufungua ....

Halafu alichonifurahisha et kwa sasa yupo anakamilisha nyumba aliyoniahidi kwamba atanijengea hapo ndo nilizidi kujishaua . Akaniambia ananitumia kitu niangalie nilisubiri na kweli alituma kitu nilipokifungua mpaka kinyau changu kiliunguruma jamani .Alinambia kafanya update ya mguu wa mtoto na kweli sasa umekuwa mguu wa punda ......

Nilishtuka na kumtumia meseji kwa chini
" We mkongo jamani ya kwako kweli au umedownload? Alicheka sana nakusema kama huamini utaamini nikija huko Tanzania na nitakuja wiki lijalo na baada ya hayo mazungumzo nilikuwa tayari akili zimekimbilia kwenye kiofisi changu ...

Hapo hapo shoga yaangu Caren aliingia mojs kwa moja ndani nilikuwa nipo hoi kama mgonjwa aliyelala siku 50 hospitalini lakini nilizuga kama niko sawa. Lakini moyoni mwangu nachowaza sasa duuuuh. Alikuwa akiniongelesha lakini akili zangu zipo kwenye saa sita zake .

Story Za Kelvin
‎0699286085
‎.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

‎NILIJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA ‎ ‎NOTE: INA MAUDHUI YA WATU WAZIM SOMA KWA UANGALIFU ‎ ‎EPISODE 10  >>> https://gonga94.com/semajambo/nilijiuza-bila-mume-wangu-kujua-note-ina-maudhui-ya-watu-wazim-soma-kwa-uangalifu-episode-10
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

Afande sele ft Belle 9 dini tumeletewa
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

HONGERA WEWE NDIO MSHINDI WA VOCHA YA LEO VOCHA NAMBA (499712343590381) MTANDAO VODACOM TUMA NENO NIMESHINDA KWENDA NAMBA 0768304821


majario rewards 100 Comments 0
 

BLOOD MOON EPISODE 1

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 03

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 02

mjukuu rewards 100 Comments 0
 

CHANZO NI BOSS 01

majario rewards 100 Comments 0
 

MTOTO WA MAMA LISHE

majario rewards 100 Comments 0
 

MY LUNA SEHEMU YA : 06

majario rewards 100 Comments 0
 

NDOA YA MIE ... 8...

majario rewards 100 Comments 0
 

LUVIE binti wa malaya

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest