Nikamuuliza “kwanini uniite boss.”
Hakujibu badala yake akaendesha gari nami nikishangaa jiji lilivyo zuri.
Kisha tukafika mahali akasimamisha gari na kusema “Ndeana, Nakupenda. Kuwa mpenzi wangu tafadhali. Siwezi kujizuia kwako. Hisia hizi ni kweli na ndiyo. Nipo tayari kufanya lolote kwaajili yako.
Nipo tayari kufanya kila kitu kwaajili yako kwasababu wewe ndiyo furaha yangu. Nakupenda na nasikia furaha ambayo sijawahi kuwa nayo kabla.”
Nikamtazama. Yeye akatanitazama na kutabasamu halafu akashuka na kuja kunifungulia mlango. Mimi mwenzenu nilizoea super market moja tu, Mliman city pale nikichoka nibebane na wenzangu tukasafishe macho.
Huyu mwanaume alinipeleka moja kati ya supermarket nzuri na kubwa sana huko maeneo ya Posta. Tena alinishika mkono wangu na tuliingia kwa kushikana mikono. Huku akiwa ana furaha sana. Baada ya kufika ndani akaniuliza “Unataka nini totoo?”
Nikamtazama tu kwa maana mimi sikuwa nimejipanga. Akatabasamu na kusema “wakati unafikiria Icecream kwanza.”
Mimi huyu napelekwa sehemu ya icecream wakati mimi nikinunua icecream nimejitahidi ni koni ya buku au huku jero zaidi ni zile ukwaju, mara maziwa na vitu kama hivyo.
Leo hii nanunuliwa kubwa sana na ya gharama tena aliniuliza “Nyumbani si kuna friji totoo.”
Sasa friji la nyumbani kwetu lilivyo, leo linawaka kesho linazima. Nikamwambia tu “Moja inatosha zaidi zitaharibika.”
Alinitazama na kusema “nimeelewa. Haya chagua utakayo kisha sasa useme tununue nini kwenye soko hili.”
Nikamtazama tu usoni. Akatabasamu na kusema “hujanizoea tu. Basi sawa nanunua mahitaji ya nyumbani.”
Nikasema “wanajua sina pesa sasa nitasemaje?”
Akanitazama na kusema “kama ukishindwa kusema mpenzi wangu kanunua basi useme mtoto wa Mungu kanunua.”
Akaanza kucheka na mimi nikajikuta nacheka. Basi akanunua vyakula pale vya nyumbani. Na mafuta mara maziwa ya kopo, sukari na vingine vingi tu. Kisha akaninunulia vitu vya kitoto kama chocolate na pipi nzuri na vingine vingi. Tukaenda kulipia nakumbuka alilipa kwa kadi na kisha aliniambia “naomba nikupeleke nyumbani.”
Nikamuuliza “nyumbani?”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:27
Akanijibu “ina maana hutaki nipajue kwenu?”
Nikamtazama na kusema “hapana ila sio sasa. Naomba tuongee kuhusu kazi.”
Stewart aliniambia “nilikuahidi kazi, na nitakupa kazi. Ila nami ninaomba uwe mpenzi wangu. Kazi hata ukisema Jumatatu utaanza ila uwe mpenzi wangu nakuomba sana. Sitaweza kukaa na wewe kazini ukinikataa mimi.”
Nikavuta pumzi na kuuliza “unataka penzi langu kwa mara moja au unanipenda?”
Nikamuona Stewart akinitazama kwa kushangaa. Na kisha aliniuliza “Ndeana ina maana unaona mimi wale vijana wa kula na kukimbia. Mimi nakupenda nataka penzi lako maisha yote.”
Nikamwambia kwa upole “mimi siwezi kuwa mpenzi wako Stewart. Ninazo sababu nyingi sana. “
Akatabasamu na kusema huku akiwasha gari “Hutaki kuwa mpenzi wangu ila unaweza kunipa penzi upate kazi si ndiyo Ndeana.”
Nikainamisha kichwa na kusema “sina maana hiyo, kwa maana siwezi kutoa utu wangu kwaajili ya kazi.”
Akacheka na kusema “basi unatakiwa kunipenda. Nipende Ndeana hutojuta kunipenda mimi. Utafurahia sana. Tafadhali nipende.”
Nikanyamaza tu.
Aliendesha gari tukiwa kimya sana na alipofika mahali nikamwambia “niache hapa nitachukua bajaji mpaka nyumbani.”
Akatabasamu na kusimamisha gari. Kisha mimi nikawa nataka kushuka. Akanishika mkono akiitazama mikono yangu akisema kwa hisia “Ndeana nimekuelewa, kuwa hunipendi na hunitaki. Nakuahidi nitakaa mbali na wewe. Ila nitafanya hivyo walau ukinibusu hata kidogo tu. Ndeana naomba busu lako, please nakuomba sana.”
Namna anaongea kwa hisia mpaka nasisimka. Nikajikuta nasema “Stewart.”
Stewart akaniambia kwa sauti ya mahaba “please kiss me beutiful. Usiwe mchoyo please.”
Akasema hivyo wakati tayari amegonganisha vichwa vyetu, yaani komwe langu na lake vimegongana na mimi nimeinama tu siwezi hata kuinuka yeye ananiita kwa mahaba “Ndeana, Ndeana please kiss me, sitaki unipende, siwezi kukulazimsha but please. “
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:28
Alikuwa anaongea hivyo huku akiwa amenifikia kwenye midomo yangu. Na hapo ndipo alipoanza kunibusu tena kwa ufundi sana. Niliyafumba macho yangu ni kelele za midomo ndizo zilizosikika huku akichukua mkono wangu akiweka juu ya zipu ya suruali yake kunionesha namna pale juu palivyo tuna. Nilisisimka sana kwa maana ilikuwa inaonekana kubwa.
Sijui hata alifanyaje aliitoa palepale nami nikshtuka kwa maana sikuwahi kuona mtu mwenye sehemu nene na kubwa kubwa namna ile. Nilijikuta nazidi sisimka. Na yeye akionekana kunogewa aliniambia “Ndeana Suck me Please!!”
Nikashtuka, ina maana huyu mwanaume anataka afanye mapenzi na mimi kirahisi hivi, nikajikuta nasema “no inatosha, inatosha naomba kushuka.”
Akanifungulia mlango, kisha akaniambia “Ndeana, kesho nataka nikupeleke mahali, kama hutojali niambie na Nitafanya maandalizi yote Jumatatu uanze kazi. Ndeana Asante.”
Nikamtazama tu, kusema ukweli wa moyoni mwangu sikuwa nimechukia kabisa. Yaani anajua kubusu huyu Boss. Siwezi kusema ni mubaba, wala siwezi kusema kaka ila yupo hapo katikati. Namna alinibusu mimi Ndeana ninakiri kuwa ilikuwa ni kwa namna ya pekee sana.
Nilishuka, na yeye pia baada ya muda akashuka huku akinitazama kwa upendo sana. Akashusha mizigo yangu. Na kisha akawa ananipa mkono hivi kuagana. Nami nikampa mkono wangu vizuri tu, ila aliniachia pesa mkononi. Na kisha aliingia kwa gari na kuniacha pale. Nilipokunjua mkono wangu ilikuwa ni elfu 50.
Nikatabasamu huku moyoni nikisema “kajuaje kama sikuwa hata na nauli sasa maana hizi safari za kuonana nao zinanimaliza Pesa.”
Nikabeba vifurushi vyangu mpaka kwa bajaji. Sasa nipo kwa bajaji nawaza lile jambo nimetoka kufanya ndani ya gari. Inajirudia vilevile yaani mpaka najikuta ninasema kwa sauti “unafanya nini Ndeana acha ujinga ulishindwa kujizuia walau hata kidogo.”
Abiria mwenzangu akanitazama na akaniuliza “dada upo sawa kweli?, unaongea mwenyewe.”
Nikajisikia aibu, nikatabasamu ba kusema “nipo sawa nipo sawa.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:29
Basi nikawa ninatamani tu ifike sehemu nishuke na ndivyo ilikuwa. Ilifika mahali mimi nikashuka na kuendelea na safari kidogo tu maana ninaposhukia sio mbali na nyumbani kwetu.
Nimefika tu nyumbani nakuta dada yangu amejilaza sebuleni. Aliponiona na mizigo akainuka na kusema “mdogo wangu, umerudi, karibu. “
Nami nikamuitikia “asante mama wa mimi.”
Akaniambia “mbona vifurushi tena.”
Nikamtazama na kutabasamu tu. Kisha nikapeleka jikoni. Na kurudi sebuleni.
Nilipofika niliketi huku nikivuta pumzi na kusema “dada yangu mbona kulala tena kuna shida gani?”
Dada yangu akaniambia “mdogo wangu tumbo linanisumbua sana. Yaani ninateseka acha tu.”
Nikamtazama na kusema “pole sana dada yangu. Tutafute pesa tu inabidi utibiwe hilo tumbo sio kawaida ujue kuumwa mara kwa mara.”
Dada alinitazama na kusema “ni kweli mdogo wangu, ni kweli kabisa. Niambie imekuaje huko.”
Nikajikuta natabasamu.
Dada akaguna na kusema “unatabasamu tena. Niambie umepata kazi au hujapata maana umeenda huko unarudi usiku na unacheka tu hapa.”
Nikasema kwa upole “dada si unaumwa wewe sasa mbona mkali.”
Akacheka na kusema “unanikera ujue, niambie basi.”
Nikamtazama na kusema “yaani dada kabla sijasema habari za kazi. Nataka nikuambie kitu.”
Dada yangu akasema “unajizungusha ujue, si useme sasa.”
Nikavuta pumzi na kusema “dada, eti ananipenda.”
Dada akanitazama na kuniuliza “nani anakupenda?”
Nikajibu “Boss, Boss wangu ameniambia ananipenda sana. Anataka tuwe wapenzi na ana lengo la kunioa.”
Dada akaniuliza “na ndiyo kakununulia vyakula.”
Nikaitikia kwa kichwa.
Dada yangu akakaa vizuri, kisha akanoa sauti yake saafi kabisa nami nikawa na hofu ninamtazama tu. Akaniambia kwa upole akiniuliza “Ndeana nikuulize kitu?”
Nikasema kwa upole tu “niulize dada?”
Akaniambia kwa upole “ushawahi kuona au kusikia mwanaume anamtaka mwanamke akamwambia ninataka kukuchezea tu sitakuoa?”
Nikajikuta nasema “haiwezekani, kivipi sasa dada?”
Dada akacheka kidogo na kusema “
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:30
“mdogo wangu hakuna mwanaume mbaya anapomtaka mwanamke. Kama ni mlevi akijua wewe hupendi pombe basi ataacha akupate, akiwa mwizi atajificha usijue, akiwa malaya hutojua kwa mwanzo. Tabia zote mbaya huwa zinajificha kabisa mpaka pale atakapokumiliki na kukuweka kwa viganja vyake.
Mimi sijasoma hata kama wewe, wewe mwenzangu kidogo umesoma unaelewa. Ni nani amekuambia unaweza kuwa na uhisiano na Boss. Najua utasema wapo na wanaolewa na wanaishi.
Ni kweli mdogo wangu ila ni moja ya kumi. Ndeana huyo mwanaume utafanya naye vipi kazi mkiwa wapenzi?, utaishi vipi kazini mkiwa wapenzi. Na vipi kama humpendi na yeye akawa anakutumia tu kisa kakupa kazi ukimkataaa anakutishia au anakufukuza kazi. Kwanini akupende wewe mdogo wangu kwanini wewe.
Ile ni Hotel kubwa, wewe una uzuri gani wa ajabu kuwashinda wageni wanaofika pale, wafanyakazi wa pale. Mdogo wangu Ndeana. Kama mtu huyo humpendi muache akunyime kazi mbona tunaishi tu.
Au Lah kama anakupenda kweli inabidi akuelewe kuwa wewe humpendi ndiyo muwe wapenzi. Sitaki kabisa masuala ya kukutumua kingono na wakati hujalelewa hivyo. Sijui unanielewa mdogo wangu?, sasa nakuuliza swali, Unampenda huyo mwanaume na upo tayari kumpa penzi ili akupe kazi?”
Nikasema kwa upole nikimdanganya dada yangu “dada kazi amenipa tayari tu amekiri upendo.”
Dada alinitazama na kusema “mimi siwezi kukupangia nani wa kuwa naye na nani usiwe naye. Wewe ni mtu mzima sasa. Ila ninachoweza kusema ni kuwa usitoe penzi kisa sisi. Kinachokuja kirahisi huwa hakidumu siku zote. Kama anakupenda utajua na kama hakupendi pia utajua. Maisha haya ni yetu na yametukuza sisi wote. “
Nikatabasamu. Dada yangu akatabasamu na kuanza kucheka akisema “nimefurahi sana umepata kazi ya ndoto yako. Ina maana jumatatu kazini. Nimefurahi sana sana mdogo wangu ndoto imetimia.”
Nilimkumbatia huku nikisema “asante sana dada yangu. Ni wewe umesababisha. Nakushukuru sana.”
Dada alisema “wacha nimshukuru Mar kwakweli nimefurahi sana mdogo wangu amefanikiwa mno. Asante Mungu.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:31
Mimi na wewe sasa tunajua ukweli. Ukweli ni kuwa natakiwa kutoa penzi jumatatu niingie kazini. Yaani sielewi kabisa. Dada yangu alipotaka kumpigia Martha mimi nikamuulizia baba wakati yeye anatafuta namba. Dada akaniambia “baba si unajua afya yake, leo kalala mapema.”
Nikasema “Wacha nikamuone.”
Basi nikatembea na nikafika sehemu nikasimama nikawa namsikia dada yangu akisema “Martha ndugu yangu asante sana. Mdogo wangu amepata kazi kwasababu yako nashukuru sana.”
Sasa sikuwa nasikia ya upande mwingine, nikawa nasikia tu cheko huku dada akisema “nakuja kesho ndugu yangu tuzungumze. Nakuja.”
Basi mimi nikafumba macho kinyonge na kuvuta pumzi nikiwa nimechoka sana.
Taratibu nilianza kutembea kuelekea chumbani kwa baba. Nilibisha hodi bila mafanikio. Ikabidi nichungulie, baba yangu alikuwa amelala. Hivyo ilinibidi nirudi chumbani kwangu.
Nilipokuwa hata sijafika ujumbe ukaingia. Ulitoka kwa dada Martha. Nikasoma na yeye aliandika “Saafi sana mdogo wangu. Kiukweli ningekushangaa sana kuacha hii nafasi kubwa na nzuri. Hongera sana kwa kupata kazi naamini hutoniangusha.”
Sikuweza hata kujibu kiukweli. Nikaingia chumbani. Nikatupa simu kitandani ili nikaoge nichangamshe mwili wangu maana na lile busu najisikia sio vizuri yaani alijua kunichanganya.
Mara simu yangu kwa mara nyingine tena ujumbe ukaingia kwa simu yangu. Kama nisiseme nani alinitumia ujumbe. Alikuwa ni Boss kubwa, Stewart ndiye alinitumia ujumbe.
Nakumbuka aliandika “Midomo yako, totoo, midomo yako mizuri, na laini sana. Natamani nikuambie namna nimejisikia pale tulipokutanisha midomo yetu kwa mara ya kwanza.
Wewe ni wa pekee totoo, mtu mzima hapa nishavurugwa, natamani nirudi tena walau unibusu mara ya mwisho. Ladha yako bado imebaki katika moyo na midomo yangu.
Ni kama upo kando yangu, please, Please totoo kesho naweza kukuona tena, nakuomba nikuone tena nipate muda wa kutazama kwa uzuri uumbaji wa Mungu. Sema ndiyo basi nikupe zawadi. One, Two, Threee.... Yeees!!
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:32
Si nikajikuta nashika midomo yangu tena taratibu na kuketi kitandani. Nikawa nataka kumjibu kila nikiandika nafuta, kila ninachoandika nafuta. Ujumbe mwingine tena ukaingia kutoka kwa boss kubwa, aliniulizwa swali “hivi totoo unajisikia kama ninavyojisikia?. No ungekuwa unajisikia hivi ningejua. Mwenzako nipo tayari kuuza hata Hotel yenyewe nikupe niwe na wewe🤣🤣🤣🤣.”
Alimalizia hivyo na emoji za kucheka na mimi nikajikuta nacheka kwa emoji “😆😆😆.”
Akaniambia kwa upole “Finally, totoo amecheka. Niambie basi kesho upo tayari kutoka na mimi?”
Maneno ya dada yangu yakawa yanapita moyoni mwangu kwa kasi. Lakini nataka kwaajili yetu na familia. Hata hivyo mwanaume mwenyewe sio wa kutisha.
Nikawa najiuliza “hivi ni kweli nina hisia naye, hapana sitaki kutoa penzi sasa nifanye nini.”
Kumbuka kazi nataka hivyo sitaki kumuudhi tajiri hapa nacheza sitaki nataka. Nikamuuliza “tunaenda wapi sasa boss?”
Akaniambia kwa ujumbe “siwezi kusema kwasababu ni for you totoo. Nikikuambia itakuwa mbaya. Kesho utapaona.”
Nikaanza “mimi sitaki kwenda mbali, baba anaumwa na dada pia hajisikii vizuri.”
Boss akajibu “Ndeana, Ndeana kwahiyo kesho tunatoka mimi na wewe?”
Nikavuta pumzi na kuuliza “si ni kutoka tu kwani kuna lingine boss?”
Nakumbuka akaniambia “sipendi neno boss, kuwa huru kwangu nakuomba sana. Pia Ndeana acha utoto. Kesho nakufuata hapo mida ya saa 6 hivi naomba upendeze sana.”
Nikamuuliza kwa kushangaa “kupendeza tena?”
Akaniambia “Hata hivyo wewe ni mzuri.”
Nikavuta pumzi na kuweka simu pembeni bila kujibu, nikajiuliza “nafanya nini sasa Mungu wangu. Hivi inawezekana kweli?”
Simu yangu ikaita. Nikatazama simu, alikuwa boss. Nikashusha pumzi na kusema “kazi ipo.”
Nikapokea ile simu.Nilipopokea tu sauti tamu ya mapenzi iliniita kwa upole “Sweetheart!!!”
Nikanyamaza. Akaniambia “Hivi si unajua Mungu hapendi kumnunia mtu anaye kupenda hiyo si ni dhambi totoo!!!”
Nikajikuta natabasamu. Na kusema “samahani nilikuwa nataka nikaoge.”
Basi akaniambia “Ooh jamani, i wish nipae. Kwahiyo umejiandaa unaenda kuoga.”
🤣🤣🤣 ila penzi jipya🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌
Soma muendelezo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.