Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:45

5th Aug, 2025 Views 42



Akaniambia “totoo, unaniruhusu nile, please dont say no, naomba nile please.”
Nikaitikia kwa kichwa “eenh!!, eenh!!, eenh!!”
Akaniuliza tena “unataka ipi, slowly au faster!!”
Nikapiga “both.”

Hakuchelewa, alishika mguu wangu akasogeza pembeni, akakusanya mikono yangu pamoja huku juu kichwani, kisha yeye akawa katikati ya mapaja yangu na mikono kanishikilia. Mimi naona kama anachelewa vile.

Sitaki kuelezea sana ila hakika sikuwahi kuhisi kama kuna watu wanajua kuhusu mahaba kama Stewart Boss wangu. Alivyo kiumri na hili ninaloona ni tofauti. Nilielezea kuhusu fimbo yake nene na ndefu kimtindo. Sasa namna ananichapa hata haiumi yaani, ni taratibu sana, taratibu huku ananiambia “totooo, nakupenda sana. Toto be mine, nakupenda sana, nakupenda sana.”
Mimi naye utamu kolea nalia kwa burudani, nikisema “ongeza, sana, tena, tena.”

Basi huku nachapwa huku napulizwa kwa mabusu kemukemu. Sitaki kusahau mitindo na nilizopata huku akiniambia “your so sweet, kila kitu chako ni kitamu eti.”

Ninaona aibu yaani, tena tulitumia muda mrefu sana. Mwanaume hachoki, tena ananichapa mpaka analia na anapiga kelele kila akiwa anamaliza kunichapa. Tena kelele mpaka wewe mwenyewe unasema nimemkomesha. Basi tukawa hoi, tukajikuta tumelala tena tumekumbatiana kabisa.

Wakati mimi naamka nakuta yeye tayari ameamka ananitazama. Nilijisikia aibu sana, Nikageukia pembeni kwa aibu. Akaniambia “totoo thanks so very much, umenifanya mtu mzima nilie na kelele nipige. Nakushukuru sana Ndeana. Unanipenda?”

Aliniuliza swali ambalo tena kwa mara nyingine nashindwa mjibu.
Badala yake nikamwambia “nataka kuoga!!”
Akaniambia kwa tabasamu “totoo ina maana hunitazami tena?”

Nikatabasamu pembeni, akaniambia tena kwa upole “basi tukaoge wote.”
Nikajikuta nasema “nooo!!, no!!, no sitaweza.”
"Kwanini sasa??"
"JAMANI BOSS MI NAONA AIBU
Akacheka , akainuka akaenda bafuni na kurudi na taulo. Alinipati na kisha aliniambia “wewe ni mzuri sana. Haya sasa nenda kaoge.”

Kwa aibu niliinuka kwenda bafuni, sijui hata navaa nini maana nguo kachana. Nikiwa bafuni naoga huku nacheka mwenyewe kisha najiuliza
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:46

“umefanya nini sasa, Akikunyima kazi itakuaje, utamkuta wapi.”
Nikajikuta naanza kujuta hata sijafika mbali.

Ni kweli sijawahi kufurahia kiboko kama anavyochapa yeye hii asilimia mia. Kuna mahali kafika hapajawahi kufikiwa na mtu. Yeye kafika lakini imekuwa haraka sana nitafanyaje sasa.

Nilioga na nilipomaliza nikatoka, nikashangaa naona chakula na nguo zangu pale pembeni. Aliniambia “nilinunua nguo nyingine ila vaa hizi ambazo umekuja nazo usigombane na dada nyumbani. Pia kula ushibe tuondoke, nimepokea simu ya dharula. “
Moyoni nasema “mmh ndiyo nakimbiwa hivyo mbona haongelei kazi kabisa.”
Basi mimi nikasema “labda wanifungie nitakula tu nyumbani.”
Alinitazama na kusema “totoo are you ouk?”
Nikamtazama na kuitikia kwa kichwa tu, akaniambia “sikia totoo, natamani kukaa na wewe tuongee mengi sana. Ila nina simu muhimu sana. Umenisamehe?”
Nikaitia kwa kichwa, alinitazama kwa upole akaja kunikumbatia akisema “changamka basi, nakupenda kweli mwenzako.”
Nikatabasamu kidogo ila kiukweli nilijua wazi nimeliwa bure.

Kwa uhalisia kweli hakuonekana sawa nami sikupata nafasi ya kumuuliza. Basi nikawekewa kila kitu sawa. Nakumbuka tuliondoka pale na tena hakunipeleka mpaka anapoishia. Na hata barabarani hakuniongelesha kama ambavyo hufanya. Hakika nilikuwa najiona mjinga. Natamani kulia, natamani kumtukana, natamani anishushe.

Nilifika mahali ndiyo akasimamisha hapo. Aliniambia “siku yetu ya kwanza mimi na wewe imeisha vibaya. Nisamehe sana totoo, ila nakuahidi nitakutafuta haraka. Shika pesa ya nauli, natamani nikusindikize ila nina haraka sana sana.”

Chozi lilinitoka, akashtuka na kuniuliza “totoo nimekukera?”
Nashindwa kujibu nasema tu “asante, tutawasiliana.”

Alinipatia laki moja ya nauli, na mzigo wangu ambao nguo kanunua na chakula. Nikashuka, sikutaka hata kumuaga niliondoka nalia. Tena sikutaka chelewa nyumbani nikapanda pikipiki mpaka nyumbani.

Dada yangu alikuwa ananisubiri na baba yangu. Waliponiona walinikaribisha kwa furaha sana. Nami nikaigiza kuwa sawa. Nikawasalimia na kusema nimechoka sana, naomba kupumzika. Tutaongea kesho.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:47

Dada aliondoka mimi nasubiri simu ya Boss. mpaka usiku sana hakuna cha umefika, umefurahi au zile meseji zake.Hakuna chochote hata simu sioni akinipigia. Natamani nimtafute siwezi. Nilianza kujilaumu kwa kulia nikisema “mjinga sana wewe, kwanini ulikubali, umeona sasa umeachwa, umeachwa siku moja tu baada ya ujinga wako.”

Mimi sikulala, sikufumba macho, roho inauma mno. Ikawa kesho yake, dada alinifuata chumbani, akaniuliza tatizo langu. Nami nilisema “jana nilifanya sana kazi huko mpaka nahisi homa.”

Maskini dada yangu alinipatia dawa, akaenda nichukulia maji. Sikuwa na namna nikanywa zile dawa na siumwi. Dada yangu akaniandalia na chai, kwani niliweza kunywa, kiasi nikifumba macho tu machozi yananitoka. Simu yangu ipo kimya, sitafutwi na boss wala Mar. Nipo tu nimeishiwa.

Dada aliniletea chakula akiniambia “zile chips za wapi ni tamu sana.”
Nikamtazama nikisema “hata sijui kuna mtu alienda nunua akanipa.”
Dada alisema “tamu sana.”
Mimi moyoni nasema “ungejua najuta hapa usingefurahia.”
Sikuweza kula, dada aliniacha na chakula sikugusa, hamu inatoka wapi. Hamu naitoa wapi mimi, dada alirudi akisema “sasa mdogo wangu kesho kazini utaweza kweli twende hospitali.”
Natamani niseme “nimefukuzwa kazi siwezi.”
Nikamwambia dada “nikiamka hivi itabidi nitafute namna dada, ila nitapona.”
Na hapo najiambia “nitasema wamenikatalia ruhusa hivyo basi tena.”
Yaani nawaza mengi. Ila dada hakuacha nipa moyo akisema kesho nitaamka sawa.

Ninatamani niseme namna nimejuta, nimelia peke yangu yaani siku ya pili mpaka saa 6 usiku kimya ina maana kazi sina. Nazidi kuchanganyikiwa. Niliamua kupiga simu inaita tu, nikapiga tena hivyohivyo. Nikasema maboss ni watu wabaya, maboss sio watu wa kuamini. Tazama nimeliwa na hakuna mpya. Nilibaki nalia tu chumbani maana tangu aliponiacha mpaka sasa hakuna simu wala meseji. Uchungu moyoni ambao yeyote nikimuelezea atanitukana na kusema ukome na umalaya wako. Sithubutu kusema nabaki nalo moyoni.
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:48

Nakumbuka ilikuwa saa 7, nimekaa nawaza na kuwazua. Nalia na kujifuta meseji. Nimechoka sina hamu maana kama ni kulaani nimelaani, kujichukia nimejichukia. Maskini machozi yananitoka hayakauki. Najiona mpumbavu, mwenzenu nimetoa mwili na kazi sina.

Nikiwa katika hali hiyo, Uliingia ujumbe kwa simu yangu. Haraka nikafungua, alikuwa Boss. Nikafuta machozi yangu ili nione vizuri pengine ninakengeza. Alikuwa ni yeye, boss wangu, kanitumia ujumbe, tena sio ujumbe tu ni ujumbe mzuri sanaa. Mimi sijawahi tumiwa ujumbe mtamu wa kunipa raha vile.

Nilisoma ujumbe nikitabasamu, nilisoma nikiwa nasikia raha, nilisoma kwa furaha, mapenzi matamu sana haswa umpate mtu anayethamini furaha yako.

Aliniandikia hivi “Baby your love is soo special.. Sikujua you are this sweet and lovable.. Sikujua I would dive deeper into this. I am enjoying every moment darling.. you are mine totoo. The first time I met you.. I had no damn idea that I would love you this much. I miss you Ndeana.(Baby penzi lako ni la pekee sana. Sikujua kuwa wewe ni mtamu na wakupendwa hivi. Sikujua nitazama hivi katika penzi lako. Wewe ni wangu toto. Nilipokutana na wewe kwa mara ya kwanza, sikuwaza ningekupenda namna hii.Nimekukumbuka Ndeana.”)

Nyie!!, nilikuwa nimekaa kitandani, nikashuka chini. Nilisoma kwa kucheka, nilisoma kwa tabasamu, nikasoma kwa kulia, nilisoma tena nikasoma tena na kukumbatia simu nikisema “Asante Mungu, Asante Mungu wangu, nilichanganyikiwa mimi.”
Nikaaa kitandani nianze mjibu, simu yangu ikaita, alikuwa Boss wangu ananipigia. Haraka nikapokea na aliniambia “Hello my sweet person. I miss you loads.”
Nikacheka, yaani mimi naitwa mtu wake mtamu, mnajua raha yake, mwili wote ulisisimka tena na ile sauti yake tamu🤣🤣🤣🤣nyie hata mimi natamani mjue🙆🙆🙆 kama hujanipigia kura na unatamani unipigie
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:49

Nikaitikia kwa sauti iliyojaa furaha na wasiwasi mkubwa sana “Hello, Boss umenipigia?”

Boss wangu aliniambia “ulidhani sitakupigia. Ndeana nawezaje mimi nisikupigie wewe. Sikia Ndeana, nilikuwa na tatizo, mambo yalinizonga ila sikuacha kukufikiria totoo, ninakuwaza kwenye kila kitu ina maana hujui hilo?”
Nikavuta pumzi na kisha nikasema “nilifikiri...”

Akamalizia kwa kusema “sitakutafuta tena, unawezaje kuwaza mawazo mabaya namna hiyo haswa kwangu nitafanya vyote ila sio kwako. Ni usiku nimekupigia ila ni muhimu sana. Ndeana kesho unatakiwa kuwahi kazini si unajua hilo?”

Nikatoa macho na kumuuliza “kweli?”
Akaniambia kwa kushangaa “ina maana hujui hilo, si nilikuambia tangu majuzi kuwa jumatatu kazini. Mbona mzembe hivyo sasa totoo.”

Nilifurahi kiasi chozi lilinitoka nikashindwa kuongea. Na aliendelea kuniuliza “na kwanini hujala mpaka sasa wakati unajua kesho unatakiwa kuwahi kazini?”
Nikajikuta huku nalia nasema “nilikuwa nasubiri, nilikuwa nakusubiri wewe useme.”

Akatulia kwa muda, halafu aliniambia “Ndeana, futa machozi yako. Na ukimalizia kufuta weka katika kichwa chako kuwa Nakupenda sana tena sana. Kisha unatakiwa upande kitandani ulale na tukutane kesho kazini. Nakupenda.”

Sikuwa na uwezo wa kumjibu, yaani vile anaitwa Boss inanisumbua sana kichwani kwangu. Nashindwa kumzoea kabisa. Simu ikakata.

Baada ya simu kukata nikabaki nina furaha hata mwili ukapata nguvu. Haraka nikaanza kuandaa nguo ya kuvaa asubuhi. Nikarudia kusoma ule ujumbe wake anaosema hakujua kuwa atazama kwenye huba langu. Nikajikuta nacheka nikisema “ila Boss kwahiyo hakujua kuwa atazama alitaka kuchezea usichana wangu huyu.”
𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:50

Nikacheka tena, niulize basi nacheka nini, nimefurahi sana, maneno matamu ni tiba ya moyo. Wanaume wengi sana hawana hii, ila hakika wanaume wote wangekuwa hivi mpaka huko kwenye ndoa basi watu wengi wangetamani ndoa, kwa maana mapenzi ni kitu pekee kizuri na kikubwa sana kwenye hii dunia.

Nilikuwa nalala, baada ya dakika 3 nashtuka, nalala baada ya dakika kumi nashtula kuangalia muda. Yaani usingizi sipati, nina hamu ya kazi. Si mnajua mtu ambaye kazoea kwenda kazini ghafla akakosa kazi kasota ndiyo kapata nyingine huyo ndiyo mimi sasa. Nina hamu sana na kazi. Nina hamu.

Nilikutana na ujumbe wake tena , ulikuwa tu wa kawaida “Totoo, umeamkaje my sweet person.”

Nilitabasamu na kisha nikamwambia kwa ujumbe “mamshukuru Mungu.”
Akaniuliza “are you ouk totoo?”
Nikatabasamu na kujibu “Yes iam.”

Basi akanipa maelekezo kidogo ya kazini na alinipa namba pia kisha aliniambia maneno haya “May your day be as bright as your smile and as sweet as you are my flashlight, nakutakia heri kwa siku yako ya kwanza kazini.Nakupenda Ndeana wangu❣️.”

Nikatabasamu na hapa nikajikaza, nataka niandike “nakupenda Stewart wangu.”
Lakini siwezi yaani. Nikajikuta namtumia “Nashukuru sana, sina cha kukulipa ila Mungu ndiyo anajua.”

Akaniuliza “hivi Ndeana, ni lini na wewe utajifunza kuniambia maneno matamu ili wote tufurahi?”

Nikashindwa kujibu. Akanitumia tena ujumbe “You know what?, when you understand each other, everything becomes sweet(Unajua nini?, kama kila mmoja akimuelewa mwenzake, kila kitu kinakuwa kizuri sana.)

Nikamjibu kwa upole “Nakuelewa, nitajitahidi.”
Akaniambia tu kwa ufupi “ouky, Goodday totoo.”

Nilijiandaa harakaharaka, ninakumbuka nilipokuwa natoka nilikutana na baba yangu na dada yangu. Kusema ukweli nyuso zao zilikuwa na furaha sana.

Hata dada yangu aliniambia “Mungu akutangulie kazini kwako kipenzi. Dada yako nakuombea.”
Nikamtazama na kumjibu kwa tabasamu pana “Amen.”

Baba yangu alikuwa amekaa kwa kochi, aliniita mbele yake, nilifika na kupiga goti mbele zake.
Mwisho wa season one

Usikose season two .
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

𝐉𝐀𝐌𝐀𝐍𝐈 𝐁𝐎𝐒𝐒 𝐌𝐈 𝐍𝐀𝐎𝐍𝐀 𝐀𝐈𝐁𝐔 🍒🙈💞:45  >>> https://gonga94.com/semajambo/jamani-boss-mi-naona-aibu-45
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Ratiba ya Simulizi

  • USINITANGAZE 02 ❤❤ 05-08-2025 19:00

Ratiba ya Simulizi

  • USINITANGAZE 03 ❤❤ 06-08-2025 04:00

Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest