IMEANDIKWA NA : HAFIDHI J IKRAM
Tulipoishia
Irene kwanza akapitia bafuni akajisafisha kipochi manyoya chake na kutoka kwenda chumbani kwake
“wee Mwanamke ulikuwa wapi muda wote?"
Rashidi alimuuliza mkewe baada kumuona anaingia tu,
“nilikuwa chooni baby!"
“Chooni gani muda wote huo kibaya zaidi umenifungia mlango ndio tabia gani hiyo ya kufungiana Milango.
“Sio hivyo mume wangu wakati naenda chooni wewe ulikuwa umelala nikahisi mwizi ataweza kuingia pasipo wewe kushituka nikaona bora nifunge mlango kabisa.
Na wakati naingia chooni ndipo nikasikia kelele za Mwizi nikaenda kuangalia!"
“Irene tambua kitu kimoja kitendo cha kumfungia mtu chumbani sio kitu kizuri yani umeenda kutizama Mwizi ukiwa umevaa Kanga moja tu"
Basi mke na mume wakayamaliza,
kimtindo tu,
Kidume siku hiyo alikuwa yupo off baada kumsugua bibiye Irene akaenda kuoga kisha akatoka na kupitia kwa Mama ntilie yani
Mama Sikitu.
“mmh shogaangu mkaka mwenyewe ndio huyo anakuja"
“unasema yule aliyevaa Fulana ya blue?"
“ehee ndio yeye huyo anaitwa Kidume tena Kidume haswa yani mwenzako nilitembea na Chupi mkononi pasipo kujitambua!"
Yalikuwa mazungumzo kati ya mama Sikitu na shogaake nae zinga la jimama.
Za saahizi jamaani?"
“nzuri tu Mwanaume wa shoka huyo!"
“mama Sikitu bwana ujaacha tu mambo yako eti Mwanaume wa shoka ahaa wapi"........
Kidume akakaa kwenye benchi kabla hajaagiza Sikitu akamletea oda yake kama alivyo agiza jana,
Kwa macho ya kiwizi wizi Sikitu akawa akimtizama Kidume,
Kwa upande wa Seiph hakuweza kumuelewa kabisa mpenzi wake ambaye ni bibiye Glory kama unakumbuka juzijuzi tu alienda kufanya mapenzi na Kidume yani shemeji yake.
“oyaa Amidu kaka unajuwa huyu
Shemeji yako simuelewi kabisa yani",,,,,,
“shemeji yupi Glory au?"
“embu acha uchoko kwani mimi naishi na nani",,,,,,,
“kuishi na nani sio Surusheni ndugu unaposema Shemeji taja na jina basi wewe si unademu anaitwa Tabu mwingine Hasina na Latifa
sasa naitaji kujuwa yupi hapo?"
“ni Glory yani kwa kifupi hataki kunipa unyumba hata kidogo yani nikitaka mpaka nitumie nguvu kama nabaka vile!"
“mmh kama umefikia hatua hiyo hapo sasa kuna bonge la tatizo ndugu, embu niambie kuna siku yeyote ambayo mligombana?"
“ndio ndugu kama unakumbuka siku ile tukiwa hapa maskani tukapanga kwenda kucheki game kati ya
Arsenal na Chelsea, sasa wakati narudi home nikatulia zangu kimyaa.
Time ya kwenda kibanda umiza
si ikafika ile natoka tu,
Glory akanizuia na
kutaka nisex nae. Wakati muda wote nilikuwepo hakusema,
Anakuja kusema wakati natoka.
Nikaona anazingua tu, nikamshit! na kusepa zangu!"
“Duhuu sasa mwanangu hapo ndio umearibu kila kitu unaposema muda wote ulikuwepo sijui hakutaka huwezi jua, mashetani yake yalikuwa mbali sana.
Hivi naomba nikuulize kitu ndugu
kati ya mpira na Glory vikiwekwa
hapo mbele ukaambiwa uchaguwe kimoja wapo utachagua nini?"
Seiph akajibu,
“nitachaguwa mpira"
“khaa kumbe mchizi wangu wewe kolo ehee yani unathamini kuangalia mpira kuliko demu",,,,,,,,kwanza mpira unakupa faida gani ndugu.
Huyo Arsenal Wenger wewe hakutambui kabisa Embu acha ujinga"
Seiph akaona kumbe jamaa nae kimeo
baada kumpa ushauri
wa maana anamletea propaganda za
kijinga akanyanyuka na kuondoka zake.
Katikati ya kitaa hiko kuna mwanadada alikuwa analia vibaya mno huku akigaagaa chini,
“hiiiiiiiiiiiii,,,,,Mungu wangu mieeeeee,,,,,!!!!,,nakufaaaa....jamani mwiziiiii,,,,
“wee Witness nini tena mbona hivyo"
yule binti anaekwenda kwa jina la Witness ndio aliyekuwa analia,
Mwenzake akafika na kumuuliza
“tuambie basi nini tatizo shost kulia sio suruhisho la matatizo vipi umefiwa au?"
“hiiiiiiiihaaaa...bora hata ningefiwa kuliko hiki kilichonitokea"
“sema basi nini hiko kilichokutokea yani kikawa zaidi ya msiba?"
“mwenzenu nimeibiwa pesa zote za mchezo nilikuwa nampelekea mwenyewe ghafla nikaporwa",,,,,,,,
Wenzake wakaangua vicheko vya kishambenga na kumwambia
“Hahahaha yani shost ndio useme bora kufiwa kuliko kuibiwa mbona makubwa
Hivi nani amekwambia ndugu
anaweza kupatikana tena",,,,,,,
Wakati pesa inatafutwa tu cha umuhimu futa machozi twende tukapange mchongo au sio Shost?"
Witness akatikisa kichwa kuitikia kisha hao
Wakaondoka pamoja,
Ndani ya Camp moja kitaa hikohiko cha Magomeni kuna washikaji walikuwa wanavuta bange utasema hawana akili nzuri.
“oyaa Issa jana tulikupa mchongo gani ukafanye ukazingua mbaba?"
“sio nimezingua wale mademu niliwapa mtonyo kama kawa wakasema kwa muda ule hawawezi kuja maana kila mmoja anaitajika nyumbani kwao.
Wakatoa ahadi watatimba leo"
“kama hivyo full mamzuka kichaa wangu sasa wamesema saa ngapi ndio watatimba",,,,
“hawasema saa wamesema watakuja tu!"
“ukisikia uboya ndio huo yani utaki kutaja muda ili wakija wengine tusiwepo sio, uchezee Chura peke yako"
“sasa ubaya wangu uko wapi",,,,,embu weka denda ganja inaisha hiyo!"
Ni kijiwe cha wahuni
mtoto wa Mama huruhusiwi kuwepo basi msela akaweka denda
Msoto usiishe haraka,
Ndani ya kichochoro kimoja wapo tunawaona wale mabinti waliokuwa wakionyesha show ya kukata viuno nao wakijadiliana jambo
“mmh unajuwa shoga zangu mie mpaka sasa naogopa kwenda huko!"
“sasa Rose unaogopa nini si tunaenda kuwakatikia viuno tu
kama pesa tushapewa nusu twenzetuni bwana"
“Fatuma wewe ujui tu kumbuka wale ni watoto wa kiuni uwezi juwa tusije kufanywa asusa bure"
“ehee ushasema watoto wa kiuni pesa yao tushakula nusu
Tukisema tusiende hivi unavyofikilia wewe tutajifichia wapi?"
“sikia nikwambie kitu maadamu tushampa taarifa Shemeji yenu Kidume kasema atakuwepo sio mbaya nyie twendeni"
“unasema kweli Suzy Kidume atakuwepo?"
“ndio maana yake mbavu nene yupo"
Mabinti wale wakaongozana na kufika kwenye Mjumba huo,
Kitendo cha kuingia tu Radio ikawashwa na kusikika nyimbo ya nakomaa na jiji kutoka kwa Shilole.
Mabinti nao wakaanza kuyakata mauno,
Kidume nae alikuwa katulia kimyaa akivuta msoto wake
Yani ilikuwa full mamzuka kwa kila
mmoja hata masela waliokuwa
Arosto wakazinduka na kucheki jinsi makalio yanavyo jimwaya tipwatipwa,
Nyimbo zikazidi kubadilishwa tu
Sugua gaga kutoka kwake
Shaa maji yakazidi unga pindi
ilipowekwa nyimbo ya Chura wa Snura
Kila mshikaji akanyanyuka na kuanza kubambia na kuyashikashika makalio yale yaliyonona.
Kwa kitendo hiko hakuna
binti aliyeshituka wakachukulia kawaida tu,
Ndani ya bagamoyo tunamuona
Witness akiwa na shogaake yule aliyekuwa akimuuliza unalia nini, na safari hii imewaleta moja kwa moja kwa mganga mzee Othman chulli
Bagamoyo nzima wanamtambua mzee ni noma"
Ndani ya kibanda cha mganga Othman chulli zilisikika kelele za nyimbo
“kina mama kwenda kwa waganga kazi kutafuta nini bwana kuna madawa mnayopewa yanawazuru mwilini bwanaa",,,,,Chani mwana unyonge mukamukalore bwanaa,,,,,"Chani mwana karume aisari rambaramba,,,,,,"utaramba
Mchikiti wa muembe chai hakuna asiejuwa bwanaa walizuka polisi wawili mchikitini ingia bwanaa wakamkuta shekhe ochitadhi yeye anajichwalia bwanaa,,,,,,"wakampiga virungu alafu wakamuuliza bwanaa,,,,,"Chee unachwali nini kazi yako kudomea bwanaa,,,,,"Chee akakachirika nakuanza choma duwa bwanaa,,,,
Wakati akiwa anaendelea kuimba na kucheza cheza
Ndipo akasikia sauti ya vicheko ikitokea kwa nnje.
Akauliza kwa sauti nene yenye kuonyesha kama amekasirika hivi baada kuhisi amechekwa yeye.
“kina nani nyie"
Kwa sauti ya kubabaika Shogaake Witness akajibu
“sie hapa babu!"
“nyie kina nani na mnafanya nini hapo nnje?"
“mimi Anna nimekuja kumleta shogaangu ana matatizo"
“sasa mbona mmefikia nnje embu ingieni ndani upesi!"
Anna kwa uwoga wakaingia ndani na kwenda kukaa kwenye Mkeka mdogo chakavu.
“ahahahaha karibuni sana vijana
Witness binti unaonekana na matatizo makubwa tena mazito
Embu tuone kiganja chako cha mkono!"
Kwanza Witness akashangaa imekuwaje mganga aweze kulifahamu jina lake.
Basi akashikwa na uwoga hata mkono aliuwona mzito kuunyoosha,
“usiogope binti nyoosha mkono.....ahaaahaaaa,,,nyoshaaaa,,,,,,,"
Witness akaunyosha Mganga akaushika na kuupiga piga na usinga wake,
“sikia nikwambie kitu binti kiganja cha mkono wako kuna kitu kama tobo yani huwezi kushika pesa kamwe zikadumu"....
yani ukishika zinapotea pasipo wewe mwenyewe kufahamu"
“ndio babu nina tatizo hilo hata nishike kiasi gani kinapotea tu!"
“usijali hapa ndio umefika kwa Othman chull mwisho wa leri
Kila kitu kitakuwa sawa,,,"
"KAMA UNASOMA CHOMBEZO HII TAFADHARI NAHOMBA USHILIKIANO WAKO WA #Like--Comment ukimaliza kusoma
"Endelea kufatilia mkasa huu hapa hapa
#SHARE.