.
Ilikuwa majira ya baridi kali huku nikiwa kwenye bustani la maua na katakata majani huku mwili ukinitetema mithili ya genereta.
Wakati huo nilikuwa nimemaliza wiki moja tu tokea nimeanza kazi mahali pale.
Gari dogo liliingia na kuegeshwa kisha alishuka msichana mrembo mithili ya malaika kisha alitembea haraka haraka kuelekea ndani.
Kwa jinsi alivyokuwa amevaa niliishia kutazama na kumsindikiza kwa macho hadi akapotea kwenye mbona za macho yangu.
Mapigo ya moyo wangu ulikuwa yakienda kwa kasi sana,mwenyewe hali ile ilinishangaza maana sikuwahi kuwa hivyo hapo awali.
Nikiwa bado nimepigwa na butwaa mara ghafla yule msichana alitoka tena na kuanza kuangaza huku na kule kama vile anatafuta kitu alicho kipoteza.
Kwa jina alitwa katrina na ni mtoto wa pekee wa boss wangu,alikuwa na umri wa mika ishirini.
Kifua chake kilikuwa kimepambwa na chuchu zilizosimama vyema ,watoto wa kileo wanaita chuchu saa sita.
Uso wake ulikuwa mpana kiasi na macho yake yalikuwa madogo kama ya chawa.
Nyuma alikuwa na makalio makubwa kiasi yaliyo changia urembo wake.
Alikuwa na nywele ndefu kama za kichina huku lips zake zikiwa laini kama ngozi ya mtoto mchanga.
Alifungua kinywa chake na kuanza kuita jina langu,,,,,Ramaaa...Ramaa,,,,nikaitika kwa woga kidogo maana aliita kwa hasira....
"Naam niliitika na kuanza kutembea kuelekea sehemu aliyokuwepo.
Mbona nimekuita sana ulikuwa wapi???nikamjibu hivi "nilikuwa kule nanyuzia maji maua.
Alinitazama kisha akasema "njoo kuna kazi nataka nikupe.Basi bila kupoteza wakati nilianza kumfuata nyuma nyuma huku nikimtazama jinsi makalio yake yalivyokuwa yakicheza.
Kwa kweli nilikuwa nikiyamezea mate sana na kuyatamani,hatimaye tulifika hadi chumbani kwake.
Alifungua mlango kisha alisema "ingia ndani mmh niliguna kidogo kisha nikaamua kuingia tu.
Nilipoingia katrina alifunga mlango wake na kusimama upande wa mlangoni.
Rama nataka unisaidie kitu kimoja tu,kuna hiyo bulb iliungua jana usiku hivyo basi nimeenda kununua nyengine....