Menu






Simulizi za Maisha,Mafunzo,Mapenzi ,Chombezo Habari za Michezo na Burudani vyote kwa Kiswahili ndani ya – Gonga94 Semajambo

SEHEM YA 12 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—
Gonga94 Β· Stories

SEHEM YA 12 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—

Usimulizi huu ni wa watu wazima. Chukua muda wako, tulia, kisha usome kwa utulivu kama machapisho yetu yanayoendelea moja kwa moja.





Mr Qassano aliketi pembeni ya Vicky akaendelea kuangalia mgongo wa Vicky kwa muda sana kichwa kilikuwa kinawaza mengiiiii moyoni anasema mbona ni huyuuu au ndo wawil wawil Dunianiii

Masha huku alijiandaa kisawa sawaaa kumpokea Mr Alberto ,Alitoa wafanyakazi wotee akabaki peke yake , sasa usiku umeingia jumba lake kubwaa yupo peke yakee hakuna mtu hata mmoja Zaidi ya mlinzi wa nje alikuwa Getini ndio eneo lake la kazi

Vyakula alipika akaandaa meza ,Sasa alikuwa juu ya meza peke yake anatazamana na vyakula vyake ...

"Mpaka sa hiziii ,Au Rahul kaamua kuniongopea??" Akachukua simu yake akaweka namba ya Ofisi ya Rahul

Rahul hakuwahi kumpa namba yake ya simu wala kumuonesha anapo ishi ,akiwa na shida apige simu ya Ofisini ndio
Aliambiwa

Aliipiga sana ile simu ya ofisini kwa Rahul inaita tuu bila kupokelewa ,Ilikuwa ni usiku sidhani kama rahul alikuwa bado ofisini

Na kila akipiga namba ya Mr Alberto haikuwa inapatikana namba aliyokuwa nayo ni ya nje ya nchi haiwezi kupatikana akiwa Tanzania

Akaingia WhatsApp piga na kupiga hata online mtu hakuwepo

"Wamenichezea auuu?? Ooh Rahul hakiamungu nakuachisha kazi labda hunijui mimi ni masha sijawahi kukupenda hata kidogo mfyuu"

Meza ilikuwa imejaa vyakula ,hasiraaa zikamjaa akajiona mpuuzi kwelii kwelii,

Alitoka akamuita mlinzi wake akamwambia asafishe meza , mlinzi akabaki anashangaa kazi yake ni nje leo anapewa za ndaniii
Masha kama alijua hilo akamwambia safisha nitakupa malipo ya ziada

Basi mlinzi akaanza kazi ya kusafisha mpaka akamaliza ,Kweli masha akampatia pesa ya kazi hiyo kaka akamshukuru akatoka

Mlinzi kutoka jumba kubwaa hajazoea kulala peke yake amezoea wafanyakazi kibaoo ,
"Kumbe nyumba ndio inatisha hivii,,Siwezi kutoboaa"

Akatoka tena kumuita mlinzi

"Boazi njoo ulale basi huku ndani siwezi kabisa kulala peke yangu naogopa kweli"

Boazi akabisha bisha lakini masha akambembeleza sana akamwambia basi kama unataka nikulipe nitakulipa nakuomba ujee jamani

Mwisho Boazi akakubali kwenda kulala huko ndani ...
Boazi akawa Sebleni juu ya sofa ,masha chumbani ..
Kati kati ya usiku masha kiu kilimshika akainuka kwenda kuchukua maji , wakati anaenda alimpita Boaz amelala

"Duh kitambo sijaona mwanaume amelalaaa" akajisemea huku anamtazama Boazi

Akajikuta anakumbuka wakati ule baada ya kupata Bingo kwa Rahul maisha yakabadilika Gafla Akakumbuka akivyo mkatia bwana wake wa chuo ,

"Yule mjinga sijui anamaisha gani siku hizii lakini alikuwa mtam mmh"

Baada tu ya kuwaza hivyo akajikuta mwili wake unasisimkaa kwa hamuu

"Halafu mimiii,Mfyuuu"
Akanywa maji wakati anarudi ndani akapita tena alipo kuwa amelala Boazi akajikuta anamtazama sanaaa

Mwili taratibu ukaanza kumchemkaa, kama mwanamke hai anakulaa lakini Sumu hatoi alijikaza sanaa hizo siku lakini kumuona Boazi yupo ndani kwake tena wapo wao tu

Kuvumilia kulifika mwisho na Siku hiyo alikuwa ameshaiandaa akili yake kuwa atapata chakula cha mwili kutoka kwa Mr Alberto lakini imeshindikana

"We Boazi wewee!!" Masha akamwamsha Boazi akaamka ni usiku .

"Vipi boss"

Masha kaujibu akaachia kile kitaulo chake alichokuwa amekifunga kifuani ,Ndani alikuwa mweupee

Boazi alishtuka akaangalia pembeni

Wakati Boazi alikuwa amelala juu ya Sofa alikuwa amelalia mgongo
Masha akamshika kwenye surual yake hapo kati
Palikuwa Tayari pameshatuna kitamboo, ukiwa mwanaume kamili hii ni kawaida hata kama wewe hutaki mwenzio anakuaibisha kwa kihele hele chake cha kusimama dede kwa kumuona mchumba wake wakati wewe wala hakuwa unahitaji pengine

Masha akaanza Ma njonjo yake Boazi akajikuta hawezi hata kuongeza neno hakusema kitu alikuwa kama kipofu akaacha fimbo iongoze njiaa yeye ataruka tu hiyo mitalo hakuna shida ....

Masha akaanza kumtoa nguo Boazi hakuonesha ushirikiano wowote yeye alikuwa kama kipofu kimyaa amelala vile vile baada ya masha kumtoa nguo akawa sasa kama anabaka

Mpaka sehem ya kwanza inaisha masha ndio alikuwa staring wa mchezo baada ya kujiridhisha akainuka kuondoka kimya kimyaa

Wakati anataka kuondoka, Boazi akamvuta akamrudisha na wakati huu Boazi alikuwa tayari ameshainukaa wima akamvuta Masha mpaka kifuani kwake Taulo yake tena ikaanguka akabaki mtupu

Boazi akaanza kumnyonya lips huku mikono inafanya kazi nyingine kwenye mwili wa Mashaaaa
Masha damu ikaanza upya tenaa ....

******
Rahul alishamtafuta Boss wake mpaka kachoka kwenye simu hakuwa anapatikana, Alikuwa amekaa ofisini kwake kichwa kinamuuma anakwenda wapi sasa hiviii aelekee upande gani Boss wake amepatwa na Tatizo ganii

Simu ya masha ilikuwa inaita anaiona akaitazama tu mara zote hakutaka kuipokea .......

*******

Mr Alberto Nae Ndo akaja kukumbuka mawasiliano baada ya Vicky kuwa amepitiwa na usingizi ndio akakumbuka simu yake ilikuwa kwenye mifuko ya surual wakati wote wa heka heka hakuichukua wala kuishika
Akaingiza mkono mfukoni akaitoaa

"Ooh" alipata ki mguno kidogo baada ya kukutana na hali mbaya ya simu yake

"Kumbe umeumiaa??" Aliuliza simu , ilikuwa imegongwa kioo chake kimevunjika akajaribu kuiwasha haikuwakaa

Akatoka mpaka mapokezi akamuomba muuguzi mmoja simu yake atumie , hawakuwa na shida wakampatia

Mtu wa kwanza kumpigia alikuwa ni Rahul

Wakati huo Rahul yupo Ofisini kichwa inauma anaomba lisiwe baya limemkuta boss wake anajuta kumuacha aende peke yake bora hata wangeongozana akahakiki kuwa amfika salama yeye ndio afate mambo yake ..

Namba ngeni ndio ilikuwa inaitwa kwenye simu yake ,akaipokea kivivu huku anajivuta kupokea bora hata angekausha kwani angejua na sa hivi ni usiku si bora angejifanya amelala tu

Lakini ndo alikuwa kashapokea hata kuiweka sikioni alitumia Sec kadhaa wakati Mr Alberto alikuwa ashasema haloo mpaka kachoka

Anataka kuikata simu ndo anasikia Aloo tena ya kichovuuu

"Kwa lugha Rahisi umeshalala??"

"Bossss!!!!!????" Rahul alisimama wimaa baada ya kusikia sauti ya Mr Alberto

"Umelala"

"Nilale nina raha Gani nakutafuta karibu siku nzima sikupatii upo wapii??"
Mr Alberto alimtajia Hospital aliyopo akamuuliza umepata shida akamwambia hapana ila nimesababisha shida kwa mtu ndio nipo nae hapaa ..

Kwakua ni hospital ambayo ipo chini ya Rahul kwa sasa yeye ndie msimamizi mkuu hapo haikuwa shida akamwambia nina kuja sasa hivii kiongozi wangu ....

Rahul anakwenda kumuonaaa Mr Alberto na yupo na Vicky nae kitamboo hajamuona Vicky sa itakuwajeee akimuona mtu ambae anaamini ni mdogo wa masha yupo na Alberto na tena hajamuona muda mrefuu

Masha nae huku ameshindwa kuvumiliaa amejitolea sumuu kwa Boazi mlinzi wa getini kwakee , ameshindwa kuvumiliaa zaidii...

What's Next!!!!!??????

Tukutane sehemu ya 13

ITAENDELEA..
KWETU morogoro

Maoni

You're not logged in


Tangazo - MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
MTAKATIFU GEMMA UTUOMBEE SHIRIKA LA MASISTA WA MT GEMMA WA DODOMA
Tunao Wapenda ndio wanao tuua baba
Sikiliza Wimbo Kamili
   
X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

SEHEM YA 12 πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—






Mr Qassano aliketi pembeni ya Vicky akaendelea kuangalia mgongo wa Vicky kwa muda sana kichwa kilikuwa kinawaza mengiiiii moyoni anasema mbona ni huyuuu au ndo wawil wawil Dunianiii

Masha huku alijiandaa kisawa sawaaa kumpokea Mr Alberto ,Alitoa wafanyakazi wotee akabaki peke yake , sasa usiku umeingia jumba lake kubwaa yupo peke yakee hakuna mtu hata mmoja Zaidi ya mlinzi wa nje alikuwa Getini ndio eneo lake la kazi

Vyakula alipika akaandaa meza ,Sasa alikuwa juu ya meza peke yake anatazamana na...

πŸ‘‰ Soma zaidi hapa: https://www.gonga94.com/semajambo/sehem-ya-12-billionea-ndani-ya-hoteli

#Nk #gonga94 #trending #simulizi #hadithi #viral

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 
Umesoma kwa utulivu Β· dakika chache tu Asante Endelea kusoma chagua hapo chini
Umependezwa ?? Asante Soma Zaidi sehem-ya
SEHEM YA 13 Bilionea ndani ya hoteli
SEHEM YA 13 Bilionea ndani ya hoteli
BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 20
BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 20
BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 10
BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 10
SEHEM YA 14    MWANDISHI ::HURU MEDIA  Bilionea ndani ya hoteli
SEHEM YA 14 MWANDISHI ::HURU MEDIA Bilionea ndani ya hoteli
BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—  SEHEM YA 18
BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’— SEHEM YA 18
BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 15
BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 15
BILLIONEA NDANI YA HOTELI πŸ’—πŸ’—  SEHEM YA 16
BILLIONEA NDANI YA HOTELI πŸ’—πŸ’— SEHEM YA 16
BILLIONEA NDANI YA HOTELI πŸ’—πŸ’—  SEHEM YA 06
BILLIONEA NDANI YA HOTELI πŸ’—πŸ’— SEHEM YA 06
BILIONEA NDANI YA HOTEL  SEHEM YA 08
BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 08
BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’—  SEHEM YA 09
BILLIONEA NDANI YA HOTELIπŸ’—πŸ’— SEHEM YA 09
BILIONEA NDANI YA HOTEL  SEHEM YA 03
BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 03
MTOTO WA BOSS  Sehem ya pili   Wangesi alimsalimia tena lakini dereva alimjibu kwa nyodo!
MTOTO WA BOSS Sehem ya pili Wangesi alimsalimia tena lakini dereva alimjibu kwa nyodo!
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆβ™₯️ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š  πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„           SEHEM YA 34
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆβ™₯️ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ SEHEM YA 34
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ β™₯️ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️  SEHEM YA 09
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆ β™₯️ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ SEHEM YA 09
BILIONEA NDANI YA HOTELI  SEHEM YA 17
BILIONEA NDANI YA HOTELI SEHEM YA 17
π‘†π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘¦__; π‰π€πŒπ€ππˆ π’π€π‹πŒπ€ 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ Sehem ya ::03 &04 &5
π‘†π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘¦__; π‰π€πŒπ€ππˆ π’π€π‹πŒπ€ 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔 ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ Sehem ya ::03 &04 &5
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆβ™₯ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š  πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„         ::  SEHEM YA 40  Joseph Akiwa Anatoa story Kuhusu...
NI JAMBAZI ILA ANAYAJUA MAHABA πŸ™ˆβ™₯ ❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„πŸ”„ :: SEHEM YA 40 Joseph Akiwa Anatoa story Kuhusu...
π‘†π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘¦__; π‰π€πŒπ€ππˆ π’π€π‹πŒπ€ 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️    𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š    SEHEM YA 01
π‘†π‘‘π‘œπ‘Ÿπ‘¦__; π‰π€πŒπ€ππˆ π’π€π‹πŒπ€ 𝐖𝐀𝐍𝐆𝐔❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️❀️ 𝑩𝒖𝒓𝒖𝒅𝒂𝒏 π‘Ίπ’Šπ’Žπ’–π’π’Šπ’›π’Š SEHEM YA 01
MTEULE WA KUZIMU  SEHEM YA KUMI
MTEULE WA KUZIMU SEHEM YA KUMI
Tafuta Simulizi,Hadithi,Michezo
Andika unacho taka.

Top 10 Kali za Leo

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

AAAAASH BOSS ENZO* *16&17*

577
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMI NANE*

500
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 17

251
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 18

231
WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19

228
AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*

225
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*

224
REALLY LOVE* *29&30*

REALLY LOVE* *29&30*

140
SHAMIRA 1 mpk 7.

SHAMIRA 1 mpk 7.

112
WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21

WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21

84

ZIMESOMWA ZAIDI

β€ŽTUNDA LA  DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

β€ŽTUNDA LA DADA β€Ž β€ŽSEHEMU YA KWANZA

11.3K
RUNGU LA KIPOFU 22.

RUNGU LA KIPOFU 22.

7.05K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tisa.  πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tisa. πŸ‘‰ Akaanza kunipamp sasa...πŸ‘‡

3.72K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya sita.  πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡  Shemeji inauma utanichana.

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..6..10 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya sita. πŸ‘‰ Aaaaaaaaa chomoa...πŸ‘‡ Shemeji inauma utanichana.

3.14K
 UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 20.  πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 20. πŸ‘‰ Nikatanua mwenyewe miguu manuu..kazi kwake tu...πŸ‘‡

2.55K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya tatu.  πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya tatu. πŸ‘‰ Sitaki sitaki mimi mdogo niache sitaki...πŸ‘‡

2.44K
πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20  KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯  Sehemu ya 16.  πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

πŸ”₯ UTANI WA SHEMEJI KAICHOMEKA..16..20 KWELI...Aaaaaaaaa chomoaπŸ”₯ Sehemu ya 16. πŸ‘‰ nakupenda pia...πŸ‘‡

2.36K
I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

I LOVE YOU DADY πŸ’˜β€οΈπŸ’˜10

2.35K
❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜›  Sehemu ya tisa.  Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa  hawa na hawa kaachama

❀❀ MTOTO WA MKE WANGUπŸ˜›πŸ˜› Sehemu ya tisa. Sasa jamaa akaupitisha ulimi kwenye mdomo wa hawa na hawa kaachama

2.29K
πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯  sehemu ya nane.  πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

πŸ™„ NILIONA MWENYEWE DADA YANGU ANAGEUZWAπŸ”₯ sehemu ya nane. πŸ‘‰ Mimi Nalia ndio tayari bikra imetolewa...πŸ‘‡

2.2K

RATIBA ZA MAKALA ZETU

Hakuna Ratiba kwa sasa

Machapisho Mapya
Vijipost vilivyotangazwa karibuni (yamekatwa hadi maneno 30)
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 11
@majario LIVE

β€œhivi una shida gani wewe, kwanin I hutaki kuniona na mm ninafuraha, kwann hutaki mimi niwe na mahusiano lakin shureymu, nikaanza kulalamika… β€œ mm sijakuzuia kuwa na mahusiano ila Yule...

PENZI LA OMBA OMBA 10 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA 10
@majario LIVE

β€œ zamu yako kufanya nini, maana siku hizi umekuja na tabia sizielewi kabisa, nikasema, akaniangalia kisha akacheka na kusema β€œ najua wewe huelewag ila usijal mdogo mdogo utaelewa...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 09
@majario LIVE

KIUKWELI nilishangaa sana, kwa maana sikujua ni kitu gani kilikuwa kimempa hasira shureymu kiasi chote kile, kuna muda nikawa nahisi labda simtendei anayoyataka vizuri, sijui hata nilikuwa na wasiwasi...

PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08 Post Mpya
PENZI LA OMBA OMBA😍❀️😍❀️😍❀️ Sehemu ya 08
@majario LIVE

Nilishangaa sana anashida gani, kwa maana alishasema mara kadhaa kuwa hawez kuwa na mahusiano na mimi na kila dakika ni warda, warda, sasa mbona yuko kama ananionea wivu hivi…. Bsikutaka kuendelea...

*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7* Post Mpya
*PENZI LA OMBA OMBA* *1&7*
@majario LIVE

*__________________________________* *SEHEMU YA KWANZA* Sio kila unaemkuta anaomba amependa, na sio kila omba omba ni mvivu na hataki kufanya kazi, muda mwingine huwa tunakosa namna ya kufanya ndio maana tunaomba, ni...

SHAMIRA sehemu ya 13&14 Post Mpya
SHAMIRA sehemu ya 13&14
@majario LIVE

Mwandishi; lissa wa huru media Kiukweli uyu baba alikuwa anajua kunipemdezesha mana pesa alikuwa ananipa mno. Na Nilipendeza sana nikawa navaa vitu vya bei nawaka mda wote sina shida ndogo...

Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka... Post Mpya
Robert Carmona ndiye mwanasoka mkongwe zaidi anayecheza soka...
@majario LIVE

Ana umri wa miaka 63 na anacheza safu ya ulinzi, alianza kucheza mpira mnamo mwaka 1976 na amechezea zaidi ya vilabu 30 Kwa sasa anachezea Klabu ya Liffa ya Uruguay inayoshiriki...

FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜  SEHEMU YA 10 Post Mpya
FROM BANGI TO BABY πŸ’žπŸ’˜ SEHEMU YA 10
@majario LIVE

Veda huyu akatokeza nilikwepa macho fastaaa nikaangalia mbinguu, Tinner akanambia kwa sauti ya chiniii "Kumbe shem sio haba nilikuwa sijamzingatia tu bonge la mwanaume jamani "Nikashindwa kuvumilia ila nikajikaza kuchekaa sikujibu kitu...

WEWE NI WANGU   SEHEMU YA 21 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 21
@majario LIVE

SONGA NAYO........ Hatimae mke wangu alijifungua baby boy, πŸ₯° nyieeh hivi mnajua nilikuwa na furaha kiasi gani eeh yani iku hii mwanaume nilifanya kaazi mpaka ambazo nilikuwa sifanyi. Kwanza niliingia jikoni nikapika...

AAAAASH BOSS ENZO*    *SEHEMU YA KUMU NA TISA* Post Mpya
AAAAASH BOSS ENZO* *SEHEMU YA KUMU NA TISA*
@majario LIVE

Ishani Mimi nililia sana, lakini safari hii nililia tu kimya kimya sikutaka kusumbua watu wengine kwaajili ya matatizo yangu binafsi ambayo kwa Namna Moja au nyingine nilijitakia Mimi Mwenyewe Baba ya...

REALLY LOVE* *29&30* Post Mpya
REALLY LOVE* *29&30*
@majario LIVE

*mbona hupokei simu nani huyo anayepiga aliuliza fahima baad ya kuona seven anaingalia. tu simu bila kupokea sevan si nakuuliza nani huyo alisema fahima ni cathe na sijui anataka nini tena kwangu"...

REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE* Post Mpya
REALLY LOVE* *SEHEMU YA ISHIRINI NA NANE*
@majario LIVE

cathe alisogea mpaka walipo hapo alishindwa hata kusalimia kiukweli alichanganyikiwa sana hakujua nini hatma ya maisha yake, ""kaa hapo" alisema baba cathe, nae cathe akaketi kwenye kiti ""baba yako amekuja kukuchukua cathe...

SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10. Post Mpya
SASA NAKUPENDA Sehemu ya 10.
@majario LIVE

Kipande cha 10 🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼🌼 Mwandishi; lissa wa huru media Basi jioni sana taratibu nikaludi zangu home.. mnazani iyo simu niliiiacha kwa adrian wala sio kweli mimi simu wala sikuiacha. Nikaludi nayo...

NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2 Post Mpya
NILILETEWA MFANYAKAZI KUTOKA KIJIJINI 1--2
@majario LIVE

SEHEMU YA 1 ANZA NAYO SASA....... Ndugu zangu, dada zangu mama zangu na watu wangu kwa ujumla kwanza kabisa nianze na funzo hasa hasa kwa hawa wanawake wanaopenda sana wadada wa kazi Jamni...

WEWE NI WANGU    SEHEMU YA 19 Post Mpya
WEWE NI WANGU SEHEMU YA 19
@majario LIVE

SONGA NAYO...... Muda ulienda na sikupata wasaa wa kuzungumza na mama maana alikuwa hataki kusikia chochote kutoka kwangu, so niliona nimsubiri dada yeye ndie anaweza kuwa msaaada wangu Hatiame muda wa dada...

Home Login Signup
Top 20 Privacy Policy Contact us
Terms & Conditions About us Latest