Yule dada alimuendesha Robby mpaka mbele kabisa akasimamiaha kiti kwenye mstari kisha na yeye akaenda kutafuta kiti akakiweka karibu na Robby wakakaa.....wakati huo nimebaki pale mlangoni natumbua macho kama mwizi๐คฃ.......mara Justine huyu hapa ......sikitu twende ndani mama....Robby kashachukuliwa na kipenzi chake twende zetu tukale neno la Mungu.......OMG ๐ฅNilisikitika sana....Lkn isingekuwa rahisi kwa Robby kijana handsome Kama Yule kuwa single ...haikuwa rahisi....mmmh nilijidanganya.....
kinyonge sana nikachukuana na Justine mpaka viti vya katikati tukajichomeka kwenye mistari tukakaa......mara nikaona Robby hatulii kule mbele yaan anageuza shingo nyuma kama vile kaitwaa.....
ibada ilianza
Mama lulu alisimama pale mbele pamoja na mchungaji wa kanisa wakatoa somo kisha wakamliza......lakini muda wote Robby hakuwa na raha kabisa alikuwa kainama chini tu anaangalia biblia yake......tulitoka pale kanisani ....
yule dada alimuendesha Robby Hadi kwenye gari akanikuta mimi nimesimama pale na Justine alikuwa akisalimiana na watu........
Robby mpenzi naomba tuongee kabla haujarudishwa nyumbani ......yule dada aliongea....sina Muda Maua naomba uniache na sitaki mjadala na wewe zaidi....tulishamalizana kwann unaendelea kulazimisha mambo? ...Robby aliongea huku amekasirika ......kama huwez kuwa rafiki wa kawaida naomba uwe adui wa milele .....sikitu naomba tuondoke mamy....nilienda kwa Robby na kuanza kuendesha kile kigari......aaah ngoja kwanza tulia wewe kijakazi ...bado naongea na mchumba wangu ....yule maua alinifokea mpaka nikashtuka nilijivuta pembeni.....sikitu rudi hapa ulikuja na mimi hakuna wa kukuondoa kando yangu zaidi yangu mimi.....robby aliongea kwa sauti ya mkazo .....maua kuheshimu kabla sijakuvunjia heshima yako naomba uniache niende......huyu siyo kijakazi huyu ni mke wangu naomba umuheshimu.......khe๐ณ mkewake....nilishtuka nikataka kuzimia kwa mshangao mkubwa... kwann Robby ananiita Mimi mke wake?.....anhaa yaan Robby unanitusi mbele ya huyu mfanyakazi wenu.....anaanzaje kuwa mkewako sasa...kwa lipi alilonalo ......hii migauni ya marinda ndo awe mkewako....mimi najua hizo ni hasira tu kesho baada ya sabato nitakuja nyumbani kwenu tuongee vizuri mpenzi ......maua alimshika Robby mkono na kuukiss...karoho kaliniuma .....we sikitu acha upumbavu kwani ulidhani Robby Hana mtu...nilijiwazia moyoni......
Sikitu am sorry mamy tutaongea tukifika nyumbani...Robby alinambia
Justine alikuja na kumuingiza mgonjwa kwenye gari na mimi nikapanda tayari kwa kuondoka.....kabla hatujaondoka .....mama lulu alikuja na kutaka tumbebe tuende nae......mama gari ikowapi uliyokuja nayo...Robby aliuliza.....aah maua ameomba maramoja aendenayo mjini mchungaji amemuagiza hivyo ataileta kesho jioni nyumbani.......Robby kusikia jina la maua alikasirika njia nzima mpaka tunafika nyumbani......
Tulifika salama....tulishuka.....robby aliniomba nimpeleke chumbani kwake.... nilitii tulifika chumbani akaniambia nifunge mlango niende nikakae pembeni yake......nilitii......sogea sikitu....nilisogea karibu kabisa na yeye hapo moyo unaenda ndundundundundu๐คฃ chezea uoga wewe......Robby alinivutia kifuani kwake kwa nguvu.......
naomba utulize mapigo yangu ya moyo na kuniondolea hasira zangu .....Robby aliongea......wakati huo napumua kwa nguvu nimechanganyikiwa......kaka Robby niache mama atatukuta......hata akitukuta hakuna shida yoyote.......lala hapa mpaka niridhike.... Duuuh๐ kama kazi yenyewe ndio hii mshahara wangu wa mwisho wa mwezi utakuwa ni mimba๐คฃ๐คฃ niliwaza ......sikitu.....sikuwahi kupenda kabla mpaka nilipompenda mtoto wa mchungaji wetu kanisani ......nilimpa kila kitu nilimjali na kumpa upendo wa dhati ...lakini alinilipa ubaya ....sikuwahi kumpenda tena wala kumhitaji ........zaidi nahitaji utulivu mkubwa kwa mtoto mmoja hivi mdogo mdogo yeye nadhani atanifaa sana maana naona hana mambo mengi kabisa....ni mpole mweenye aibu na msikivu .....asante Mungu kwa kumleta kwangu mtoto huyu....Robby aliongea huku kanilaza kifuani kwake....sasa huyo mtoto si ungemuoa tu kaka Robby ili awe karibu yako zaidi niliongea.......nahitaji muda zaidi kumuonesha ni kiasi gani amenivutua ...Lkn najaribu kumuonesha dalili ila naona kama haelewi sijui sasa nifanyeje ili anielewe....Robby aliongea.......mi naona ungemwita hapa kwako uongee nae vzr tena umlazimishe mpaka akubali na akikubali mtie mimba ya Fasta ili asikukimbie....
niliongea kwa ujasiri wote๐คฃ
hahahahahahahaha......amakweli usilolijua ni sawa na usiku wa kiza...... Nitamleta hapa na najua atakubali tu hata akikataa nitafata ushauri wako sikitu .......mimi ni mwanaume Rijali najielewa najitambua huyu mtoto sitaki kumpoteza......Robby aliongea......sawa kila la heri kaka Robby ...hapo kiroho kinaniuma balaa ...najua wapenzi wasomaji mnajua kama umempenda mtu halafu usikie anampenda mtu mwingine vipi inavochoma eeee.....kama mwiba kidondani.........nilikaa kifuani kwa Robby kwa Lisaa lizima mpaka pale alipoomba nimpeleke bafuni kuoga ......nilimsaidia kuvua nguo zake ......ngoja kwanza ....cyo hvo wamam hakubaki uch....alibaki na boksa......wamama kha acheni umbea ๐คฃ๐คฃ......nilimfunga taulo na kumsaidia kwenda bafuni......nilimfikisha na kumfungulia maji kabisa......asante sikitu umenifaa sana....ni jukumu langu kaka Robby .......nilimjibu.....nilitoka na kukaa pale chumbani nikisubiri atoke kuoga aendelee kunipa story .......Lkn roho ilikuwa inaniuma balaaaa.
*NIMEZAMA* 10๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐
Robby alimaliza kuoga kimbembe ni jinsi ya kutoka kwenye yale madishi makubwa ya kizungu maana kusimama hawezi nyie mnadhani ilikuwaje wamama๐คฃ๐คฃ.......mamy tayari nimemaliza njoo unichukue sasa...Robby aliniita .....Kaka Robby umeshavaa? .....nawezaje mama.....naomba msaada wako... ..robby aliongea kwa upole sana....daah ๐ฅ maskini roho iliniuma sana ...niliumia sana juu yake baada ya kuongea hiyo kauli.....
Sasa kaka Nawezaje kuja kukuchukua bila nguo.....niliongea huku nimepagawa kabisa.....njoo tu mama hakuna shida siwezi kukudhuru wewe njoo unifunike taulo hakuna shida......hata ukiniona utupu wangu hakuna shida sikitu yawezekana ukaja kuniona kila siku na milele na ukanizoea.......robby aliongea kwa kujiamini sana......daah nilipagawa nikachukua kitambaa kilikuwa pale kitandani nikajifunga machoni ๐คฃ.... daah bangi mbaya jmn imagine nimejifunga kitambaa machoni natembeaje sasa? na sioni mbele๐คฃ.......
basi nikaanza kupapasa kuutafuta mlango wa toilet hahahahaha......nikafungua nikaingia ndani yaan sikutaka kabisa kuona dyudyu ya Robby uwiii Nawezaje sasa .......ila kuna mpenzi msomaji mmoja hapa anasema kimoyomoyo mi ningeangalia dyudyu yake hahahaha ....akuu mi siwezi bado mdogo sikitu mie ๐คฃ....bas nilivyofika pale chooni wacha robby avunje mbavu alivoniona๐คฃ yaan alivunja mbavu balaaaa.......mamy you are so funny ( mamy unafurahisha sana)๐คฃ ......hii huyu ni nataka kumsaidia ananicheka alaf kikazi chenyewe naacha leoleo yaan leo haipiti naacha kazi๐ .......niliwaza kichwani.....
mmh niache kazi Robby je? Hahahaha yaan nawaza alaf najipinga hukohuko ndani kwenye medula obolangata๐คฃ.
Bas nikapapasa mpaka alipo robby pembeni yake palikuwa na taulo nikalichukua akanipa mkono nikamnyanyua..... yaan kama mshale nikalizungusha lile taulo kiunoni kwake paaap hahahaha.....nilivoona sasa hapa ni shwari basi nikatoa kile kitambaa machoni........jamani sikuweza hata kumuangalia Robby usoni naona aibu .....nikamsaidia kumkalisha kwenye kiti chake nikarudisha chumbani......
mamy mafuta yako hapo juu ya kabati naomba unipake ......duuh๐ง kaka Robby Niku.... Niku....ndiyo nipake mafuta au hutaki..... sikitu sasa usiponisaidia wewe atamsaidia nani mamy.....robby aliongea kwa huruma sana ......Lkn kaka Robby huyo mtoto ambaye umempenda basi nitume hata mimi nikakuitie uongee nae vzr maana ukimuoa yeye ndo atafaa zaidi kukufanyia hivi maana mtakuwa ni mwili mmoja....niliongea kwa uoga huku nikiwa nampaka mafuta miguuni.....aah ni sitaki kukutuma ila yeye mwenyewe atajileta na wala sitaki kumharakisha ila yeye mwenyewe atajua tu kuwa mimi nampenda na atavutiwa tu na mimi ingawa bado naumwa......
ila siku akinipa matumaini ya kunikubali yaan nitamtia mimba ya mapacha wanne kabisa.... robby aliongea......yaan kaka robby hata usimcheleweshe tena mapacha watano ndo itakuwa vzr maana hataweza hata kutembea mtakuwa wote muda mwingi kwahyo hawezi kutoka kamwe.....nilimpa ushauri kaka Robby๐คฃ....nitafanya hivo mama yaan unaushauri mzuri sana.....
Basi wamama nikampakamafuta nikamaliza .....bas Robby nikaona mpaka anasinzia kaka wawatu hahahahaha.....sikitu ...aliniita......abee kaka Robby......Mimi leo usiku nitakuwa naumwa sana hivyo nakuomba ulale hapa na mimi siwezi kukudhuru si unajua siwez hata kutembea......nahitaji utulivu sana usiku wa leo ......kaka Robby mama akijua nimelala huku itakuaje.....muache ajue tu mimi nafanya kile moyo unataka na kile nikipendacho ......mama yangu amekuamini sana ndio maana akakuleta hapa unihudumie hivyo naomba unikubalie usiku wa leo ili kesho nikasali kwa raha ......sawa kaka nitakuwa hapa.....nilikubali jmn hivi nina akili kweli mimi.....hebu mmoja anizabe kibao jmn ili nizinduke ๐คฃ๐คฃ......
Bas nikachukua nguo zake nikamvalisha ...nikachukua boksa yake nikainyoosha vzr nikamvalisha bas yeye akaipandisha tu....tayari uoga ulishaanza kupotea jmn .......nilikuwa nafua nguo zoooote za Robby boksa na kila kitu kwahyo nishaanza kumuweka karibu na kumzomea kabisaร aaaa....alipomaliza kuvaa akaniomba turudi kule sebuleni .....nilimuendesha mpaka sebuleni tukamkuta mama lulu na Justine wanakunywa juice huku wanajadili lesson.....bas Robby akajiunga pale nikawaacha nikaenda jikoni kuchukua vyakula nikatenga pale mezani ........sote tulienda mezani wakati wa kula sasa........nilikaa karibu na Justine lkn Robby alisema J naomba nije nikae hapo ili huyo mtoto awe ananinyoosha mguu naona umekufa ganzi ๐คฃ.....jmn Robby alitumia tekniki ili akae na mm alihisi sijui Justine ananifanya nn.....bas mama Lulu anacheka tu amefurah kijana wake amepata msaidizi mzuri sikitu mimi.......tulimaliza kula mama lulu akamsindikiza Justine .......na Yeye akaenda kulala huku akisisitiza nimhudumie kaka Robby Kwa atakachohitaji ....
Tayari ilikuwa ni saa nne usiku sebuleni tukabaki wawili ......tulisogea upande wa tv na kuanza kuangalia nyimbo.......sikitu...... abee kaka...njoo hapa karibu ...nikasogea......naomba nilaze kichwa changu hapo miguuni kwako ..... aliniomba....sawa kaka .....nilikubali ....bas Robby akalala mapajani kwangu..
hahahah nyieeeee nyieeeeeee nyieeeee mnaijua raha au mnasimuliwa tu ....aaah naona hamjanielewa yaaani yule handsome Robby akalala kwenye mapaja yangu OMG very very very fantastic and excemptional ๐คฃ๐คฃ๐คฃ niliskia Raha jmn loooooh ....na mm usingizi ukanipitia palepale .....tulilala pale sebuleni mpaka asubuhi huku robby kanilalia mapajani hahaha......sikitu sikitu sikitu....tulikuja kuamshwa na sauti ya mama lulu.....abee Abeee mama shkamoo๐ณ uoga ukanijaa
ITAENDELEA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.