Yule Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake
1: Control the ball ( anajitahidi kudhibiti mpira , kutoka kwa mabeki wake na viungo wenzake )
2: Anapiga pasi vizuri ( anajitahidi , good long ball mita 20-30 : anaweza kuboresha zaidi ) Zote hizo ni Offensive , yani timu ikiwa na mpira
3: Good defending ( na bado anaweza kuzuia vizuri sana aisee , pale ambapo wenzake watashindwa kukabilia physical basi yeye atafanye na kuondosha athari kwa timu )
NOTE: Umri 22yrs .. hii ni mali sana , kwa umri huo na ukakamavu alionao naona akiwa dhahabu bora kwa baadae , best best young player ๐๐ฟ๐ฅ.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.