_____________________________________
Niliamua kuziba mdomo nisitoe sauti, J alinitizama machoni, nikakwepesha macho, akatabasamu na kuendelea kunipaka akanivalisha adi kabati, ndipo akaenda kuoga, katoka ata bila taulo, ikabidi nijifunike macho, alivyo na makusudi, akasogea mpaka nilipo, ivo ivo akanitoa mikono machoni, " mke wangu, usinionee aibu wewe ndo msiri wangu, unapaswa kuona kila kitu, "naomba basi ulipize kisasi kama nilivyokupaka mafuta na mimi unipake ili usione kama nakuonea iwe ngoma droo, tena wewe utaipaka mpaka hii, huku ananishikisha, wee nilitoa mkono haraka...
Nikamwambia mimi naumwa, sitaki kulipiza, alitabasamu tu akajiandaa, kumbe alikuja na nguo kabisaa, saa 11 tayali usafili ulifika tukaondoka, simu nilizima,ila nikamuhofia bibi yangu, nikaona niazime simu ya J, niongee nae ili akiwa na shida kwa siku kadhaa nitakazokuwa off, tutumie simu ya J...
Alinipa nilimpigia bibi yangu, nikaongea nae nakumwambia saivi nitatumia hii kuwasiliana nae, alihisi siko sawa, "joy uko sawa kweli mjukuu wangu? Mbona unaongea leo bila furaha, kuna tatizo huko? Au simu yako imehalibika? Nikashukuru Mungu bibi kanipa jibu mwenyewe, nijatumia huo huo mwanya, simu bibi sijui hata nitafanyaje saivi, simu yangu nilikuwa naipenda, kumbe simu yenyewe bikra...
J alinitizama, muda huo naongopa huku natetemeka kama ingekuwa live nisingeweza kudanganya hata,bibi yangu akasema nina laki apa ya akiba niuze na mbuzi nikutumie ununue nyingine, nikakataa bibi usijali kuna pesa wiki ijayo inatoka nitatumia hio...
Bibi alikubali lakini kishingo upande, nililudisha simu uku nalua nimemdanganya bibi yangu,J alinikumbatia nakunilaza kwake uku ananituliza, mpaka nikapitiwa usingizi, nimekuja kushtuka saa mbili naamushwa nile tuondoke na ndege, nilishtuka ndege?🙄...
Sijawai kupanda ndege toka nizaliwe sasa leo mmh, na huyu hizi pesa anatoa wapi jamani 🙌,nilipewa chai tu na sambusa moja, nilipewa dawa za maumivu ili angalau niweze kutembea vizuli kwenye safari na sindano ya masaa,ilinisaidia tumepanda naogopa, J aligundua akaniambia,"usijali J wangu hakuna kibaya huku, uko na mimi kila kitu kitakuwa sawa punguza pressure mamaa...
Sikujibu chochote zaidi yakumganda mkono tu, ndege ilivyoanza kuondoka nilihisi uoga sio kidogo, Jeon alivyoona hivyo akanishika vizuli huku akanipapasa mgogoni, na hio mikoni yake, inavyonipapasa kuna namna na feel, pressure yote ikaniisha...
Nilivyotulia nikamuuliza Jeon tunaenda wapi, nilikuwa siwezi kukutanisha nae macho, ikitokea tumekutanisha tu, natoa yakwangu halaka, " J kwa nini unakwepa kunitizama mmeo? Natamani kuviona vimacho vyako vizuli sana kwakweli vinanivutia mno, huku tunaenda zanzibar, nilitamani nikuulize uchague mwenyewe pakwenda, lakini nikaona sio mbaya kwa mala ya kwanza mmeo nikakuchagulia, kama hautopapenda unaluhusiwa kukataa tutaenda utakapopataka...
Kupata full bonyeza hio link hapi juu ukasome yote hadi mwisho kwa buku tu...
Itaendelea....💥.