..
"Nataka kuwaambia kwamba nimeamua kuondoka kwenye klabu hii wakati huu wa joto. Kwa heshima, klabu hii imenisaidia katika uamuzi huu.
Ulikuwa uamuzi mgumu zaidi ambao nimeufanya katika kazi yangu. Sababu kuu ni kwamba nimefikia kila kitu nilichoweza huko Tottenham. Nahitaji mazingira mapya kwa changamoto mpya.
Nilikuja kaskazini mwa London nikiwa mtoto. Kijana alikuja London ambaye hakuweza kuzungumza Kiingereza. Ninaondoka katika klabu hii kama mwanaume. Asante kwa mashabiki wote wa Spurs ambao wamenipa upendo mwingi.”
.... Miaka 10 🏟️ ya mwamba Michezo 454 ⚽️ Magoli 173 & assist 101 ,,, kila la kheri kwenye safari yako nyingine SON 👋.
》》.