Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Dkt. Juma Zuberi Homera (@juma_zuberi_homera ), ameshinda kwa kishindo kura za Maoni za Ubunge Jimbo la Namtumbo mkoani Ruvuma kwa kuzoa ushindi katika Kata zote 21 za Jimbo hilo.
Dkt. Homera ameshinda kwa kupata kura 11,836 sawa na asilimia 92%. Huku aliyekuwa Mbunge wa Jimbo Hilo Vita Rashid Kawawa akiambulia kura 852.
Katika kata hizo matokeo yake aliyozoa kura Dkt. Homera ni kama ifuatavyo;
Lisomonji 431
Limamu 611
Mkongo nakawale 682
Mkongo Gulioni 408
Luchili 844
Luegu 468
Litola 522
Namabengo 895
Msindo 403
Mputa 282
Kitanda 543
Mgombasi 404
Likuyu 565
Rwinga 746
Mchomoro 677
Namtumbo 851
Ligera 326
Hanga 569
Msisima 317
Lusewa 627
Magazini 668
Jumla 11,836
1.Mussa kassim Chowo = 327
2.Dkt Juma Zuberi Homera = 11,836
3.Vita Rashid Kawawa = 852
4.Shaibu hamisi majiwa = 63
5. Sharifu Hassan Ngonyani = 182
Asilimia 92%.
#KitengeUpdates.