Bas bwana Robby akapagawa kusikia mtoto sijawah kuguswa na mwanaume ......mnaijua ile feeling mwanamke unapojielezea kwa mwanaume kuwa wewe ni new product alaf mwanaume apate ile sapraiz ๐คฃ.......daah inakuaga pambe sana......
bas Robby akanibusu kila sehemu huku akiongea vijineno vya kuchombeza ilove you mama....
.i love you mama....i love you mama....nakupenda milele daima kamwe hakuna wa kututenga zaidi ya kifo......nilifeel kitu kitamu sana moyoni mwangu .....robby hakuwa na Papara kabisa tayari njiwa nipo kwake mawe ya kazi gani๐......mama najua hatujapata chakula tangia mchana naomba ukalete ile box pale juu ya meza.......nilinyanyuka na kuenda kufata ile box....niliileta pale kitandani........fungua Sweetheart......robby alinambia.....daaah๐ Hilo jina sweetheart lilipenya kwenye ubongo wangu likaenda kutokea kwenye medulaobolangata hahahaha....
niliskia Raha jmn. ...bas nikafungua lile box ...mmmmh mmmh mmmmh ndani kulikuwa na harufu taaaam ya chakula .....ni pizza wamama.....kama hujawahi kula njoo ule kwangu mbweni dsm kila weekend lazma ipikwe๐คฃ.....bas palikuwa na umma pale pamoja na mapocho kibao......robby akachukua umma akaanza kunilisha OMG.....sikuwahi kulishwa .....bas kaka yule akawa ananilisha alaf na yeye anakula daaah umma ni mmoja wamama ๐คฃ.....tukala tukamaliza kulikuwa na vinywaji pale .....robby anapenda sana fanta pineapple ....bas tukanywa pale tukashiba ndiiiiii .....nikatoa Ile box ........haya kifuatacho itv๐
Sikitu mama sasa ule wakati niliokuahidi ndo huu kaa hapa.......robby alinambia....nikakaa.....sikitu Bosco he unakubali kuolewa na robby awe mume wako siku zote za maisha yako akuoneshe raha iliyopo duniani.......haya jibu ndio nimekubali.....robby alinambia๐คฃ....bas wote tukacheza pale akanikiss kwenye mdomo wangu๐
Mimi nina miaka 32 ...wewe unayo mingapi... aliniuliza 20 kaka Robby........kumbe ukinikosea naweza kukuchapa maana wewe ni mtoto kwangu si ndio .......niliona aibu nikainama chini...... naomba kuanzia sasa usiniite kaka niite mume wangu ....mimi ni wako mama ...hata kama hunitaki Lkn mimi ni wako na utanitaka tu hata kwanguvu mimi nafanya moyo wangu unataka nini .......mimi tayari nimeshazama kwenye dimbwi zito la penzi lako .....naomba uniruhusu nikuambie jambo zuri sana kabla sijaujua undani wako usiku huu wa leo....khe๐ณ nikakodoa macho....inamaana usiku wa leo nazagamuliwa humu ndani ...niliwaza๐คฃ....
kaka robby niambie tu hakuna shida...nilimjibu....wewe ni mrembo sana ... Umebarikiwa kila kitu kizuri ...sasa unadhani naweza kwenda wapi nikahangaike na kuacha dhahabu ndani kwangu........nahitaji uwe mama wa watoto wangu ,mke wa maisha yangu fahari ya nyumba yangu na malkia wa moyo wangu please mama......jmn robby alinambia.....akanisogezea uso wake na kuanza kunishika ๐คฃ hahahaha ......
Safari hii alidhamiria alichokitaka........bas bila kuchelewa akaanza kuchojoa kigauni changu......akamaliza katoa na ki๐ akanikumbatia
hahaha ๐คฃ...nyie ila mwanaume akikupenda anakua kama chizi ... imagine mtu anakumbatia ki๐......bas na yeye akavua zake tayari kwa nini? Et nyie mnadhani nini kikifuatia hapo...hahahahaha.....
Chaajabu ni kwamba lile tendo halikufanyika .....nilihisi maumivu makali mara tu alipotaka kufanya......hakutaka kuniumiza alinipoza na kunambia Mungu hajaruhusu kwa usiku ule .....siku nyingine tutafanya kwa usahihi zaidi....bas akanikiss kisha akanikumbatia tukalala๐ด.
Kutokana na ule uchovu wa usiku na kuchelewa kulala ...tulijikuta tunaamka saa nne asubuhi .....nilikurupuka ....mamamamamamamama .....mama lulu akijua nimelala huku itakuwa kesi niliongea huku nikiogopa.... . Hakuna kesi mama na leo atafahamu juu ya hisia zangu kwako....robby alinijibu......bas nikachukua nguo zangu nikavaa....kabla sijatoka pale chumbani.... Mke wangu fungua kabati hapo chukua mzigo wako ....mmh mzigo ๐ค niliwaza ...bas nikaenda kwenye kabati nikakutana na mfuko mkubwa nikabeba huyooooo kuelekea chumbani kwangu....ile namaliza tu kufunga mlango kwa Robby uso kwa uso na mama lulu.....
Sikitu umetoka wapi ...mbona ni kama ndo unaamka saizi? ...ulilala kwa kaka yako? ...maswali yoote yalikuja kwangu kwa maramoja....nikaanza kutetemeka...mama weeee hapa kibarua kimeota nyasi.... nikawaza ....hapana mama nilienda kuchukua vitu vya kaka ili nifue ...nilijibalaguza .....mmmmh ...mama robby aliguna huku akionesha sura ya sintofahamu kisha akaondoka.....nilienda chumbani kwangu huku moyo wangu ukienda mbio sana sanaaaa......nilifanya kazi zangu nikamaliza kisha mama lulu akaniomba aniagize dukani ambako alikuwa amesahau mzigo wake Ijumaa......
Alimuita boda akaja kunichukua mpaka pale dukani ...nilifika na kufata maelekezo niliyopewa ...nilipewa ule mzigo ...Lkn wakati natoka uso kwa uso na yule kaka yuleeee wa kwenye gari alienifanya nikashindwa kula mapande ya mihogo alininunulia Chips....sikumtambua kirahisi Lkn yeye alikuwa ameshanikumbuka mpaka jina langu๐คฃ.......sikitu sikitu...Mambo yako za tangu siku ile...alinisalimia ...salama tu oooh nikamkumbuka ....jmn nimefurahi kukuona sana......tukapiga vistory pale Lkn yule bodaboda alienileta akawa anamlpiga honi kuashiria kwamba tuondoke......okay chukua hii namba yangu utanitafuta ...yule kaka akaniachia kikaratasi cha namba kisha nikaondoka zangu .
ITAENDELEA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.