Bas bwana tukalala pale tukajisahau kabisaร aaaa....chaajabu kumbe mimi ndo nilikuwa nimelala ๐คฃ....robby alikuwa macho ananipigia mahesabu tu pale usoni yaan muda wote nimelala kumbe yeye alikuwa ananiangalia usoni hanimalizi alikuwa anazilazalaza nyusi zangu na vidole vyake hapo ndipo niliposhutuka..........
nilikurupuka.....tulia unaenda wapi mama....robby alinambia.....kaka robby ...lala mama bado sijapata utulivu .....bas nikalala nae karudi kifuani๐ .....ila nyie hii raha haielezeki ni kweli wanaume wenye hisia za dhati wapo ila kuwapata ndo kipengele...... robby alikuwa akiniambia anataka utulivu bas najua tu anataka kifua changu au mimi nilale kifuani kwake ......daaah ๐๐.....tulikuja kushtukizwa na honi ya gari .....kucheki time ni saa kumi na mbili na nusu......kaka robby wamerudi twende sebuleni......nilimwambia ......
hapana subiri kwanza tulia na mimi hapa ....nikatulia....basi bwana kumbe mama lulu alikuja na mama mchungaji pamoja na maua na Justine alikuwepo.......mara mlango wa chumbani kwa Robby ukagongwa......nikaenda kufungua ...alikuwa ni Justine......broo Maua yupo around kazi unayo leo ..... Justin aliongea......wala sina kazi bro kazi ataipata yeye subiri nimuomeshe ukatili wangu leo .......robby alijibu huku mimi nikiwa natoa macho tu sina raha tena๐ฅ.......jina maua lilikuwa linavuruga kabisa mfumo wangu wa akili.......shem vp umeshindaje na mgonjwa wetu.......daah nikashindwa kuitikia .......ikabidi tu nimuitikie justine ......salama kaka J tuko vzr .....niite shem bana pia jitahidi huyo mwamba akae sawa halafu tumveshe suti na shela sawa๐ณ......... sikuelewa alimaanisha nn...ila nikajikuta tu ...sawa kaka J.......
bas j akamchukua Robby wakatoka sebuleni mimi nikabaki natandika kitanda na kukunja nguo .....kufika sebuleni tu maua akamkimbilia robby na kumkiss usoni.......robby akakaa kimya......maua akaanza kujichekesha pale.......bebi tumekuja kukujulia hali unaendeleaje mme wangu ........stop!!!!!!maua nakuheshimu sijaoa na wala sitaki kusikia kuhusu kuoa na mimi siyo mume wako tafadhali.....hivi kwanini wewe ni mgumu kuelewa ! uko darasani unakuaga wangapi?.......kwann unanilazimisha ? mimi sina mapenzi na wewe mama sikutaki sikuhitaji bora nife kuliko niishi na wewe moyo wangu upo kwa mtu mwingine kabisa kwann haunipi nafasi nikafurahi kwann mama .......robby aliongea huku anatetemeka๐คฏ.......mama maua naona sasa mmekuja kuniharibia siku yangu.......sikitu amefanya kazi kubwa sana kunifanya niwe na furaha Lkn nyie mnatumia nafasi kunivuruga....mama naomba I
Uwaondoe hawa watu hapa sitaki kuwaona hapa please........Robby aliongea kwa hasira sana mpaka akaanza kubadilika na kuwa mwekundu si mnajua watu weupe ......
mama lulu akachanganyikiwa akaniita.... Sikitu ...sikitu ....abee mama ....njoo haraka....nilitoka mbio nikaenda sebuleni .......mchukue kaka ako ukampe dawa sasa hivi fanya haraka ....nilienda nikataka kuendesha kile kigari Lkn robby aliudaka mkono wangu na kuuweka kifuani kwake ๐.......nyie true love never feel shy( penzi lakweli halina aibu)
wakati huo alikuwa kavaa tisheti ambayo ilikuwa na vifungo hapa kifuani hakuvifunga kwahyo alivoweka mkono wangu kifuani kwake nikagusa kifua moja kwa moja nikashika garden love ๐๐๐.......nikataka nitoe mkono.....subiri kwanza mamy .......Robby aliongea akafumba macho akavuta pumzi......sikitu mama nipeleke nikapumzike ....aliniambia huku ananiangalia kwa macho legevuya mahabati๐.......nyie nyie nyie acheni tu.....
wakati huo maua mama lulu na mama mchungaji wanaangaliana hawaamini macho yao.....justine alikuwa mlangoni ameegemea mlango na kuweka mikono mfukoni huku akitabasamuโบ๏ธ ....daaah nikamtoa robby wangu pale nikampeleka chumbani.......kumbuka saa sita usiku nina jambo na wewe usilete kikwazo naamini utakuwa hapa.....robby alinambia....sawa kaka hakuna shida.....nilimlaza pale kitandani kisha nikamuaga naenda kufanya majuku mengine......okay mom take care usirudi sebuleni please......kboa sijaondoka ....naomba unikiss nipumzike kwa raha ...robby alinambia....nikabaki nazubaa tu alinivutia kwake kisha akanikiss kwenye paji la uso akaniambia badae mama.......aaah nikatoka.....mama lulu akaniita nikarudi sebuleni nikakuta mama mchungaji anafoka balaa maua kavimba kanuna analia .......aliponiona tu akanisogelea ......wewe mchawi umeamua kuniibia mme wangu akaniwasha kibao๐ฅ......hapohapo Justine akaja na kunitoa nje......maua acha fujo kwann unampiga sikitu huyu ni mfanyakazi tu hana uhusiano wowote na robby ...... alifoka ....angekuwa hana uhusiano na Robby ,Robby asingemjali yeye kuliko mimi sasa takuonesha wewe mtoto ......robby ni wangu mimi hakuna mwingine......mama mchungaji naombeni muende sihitaji fujo nyumbani kwangu kama kijana wangu amekataa naomba mumuelewe heshimuni hisia zake tafadhali......mama lulu aliongea kwa jazba sana........maua naomba ufunguo wa gari ..mama lulu alimwambia .....maua akatoa ufunguo na kumrushia mama lulu......wakaondoka .......
Mama hivi kwanini unaruhusu huyu binti apigwe na maua hali ya kuwa unafahamu ni jinsi gani anamsaidia robby mpaka sasa anaanza kuponapona .....j aliongea kwa uchungu sana......hapana mwanangu ni bahati mbaya tu....sikitu naomba usiumie sana mwanangu hawa watu hawatarudi tena hapa sawa mama......sawa ......nenda kampake kaka yako dawa miguuni na umpatie chakula......
niliondoka na kwenda chumbani kwangu...nilitafakari sana maisha yangu ndo kwanza hata wiki mbili sina nishaanza kuwekwa mabao na watu daah nililia nikafuta machozi .......Lkn kama ipo ipo tu kama Robby hamtaki yule binti kwann amlazimishe mimi nitapambana mpaka nione mwisho wake safari hii sikubali akinipiga atanitambua ataiona rangi yangu halisi ..... niliongea pekeangu.......
Nikatoka kwenda kumhudumia mgonjwa wangu......
ITAENDELEA
FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.