Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  gonga94 official track

NIMEZAMA 21

9th Aug, 2025 Views 10


Basi nilipoisoma Ile masg nikatamani kujibu lkn sikua najua jinsi ya kuandika kwenye simu ....basi nikamjibu tu moyoni....sawa Mme wangu ๐Ÿ˜‡.....hili jina mume wangu nalipenda Sana Ila naona haya kumuita Robby aibu hahahahaha.........bas nikiwa pale chumbani mlango ukagongwa nikaenda kufungua.......mbona unavaa nguo za mitego hivo? Hujui kuwa hii ni familia ya kisabato......tafadhali jitahidi kuendana na hii familia sawa ๐Ÿ™†... ...alikuwa ni Lulu ......sawa dada hamna shida........kitu kingine ukitaka kumhudumia Robby mlete huku sebuleni usimfate kule chumbani kwake unamfataje mwanaume chumbani ukiwa na vinguo vinakubana kiasi hicho? Aliniuliza........hapo akili yangu yoote imeshapotea nawaza tu jinsi ya kufukuzwa kazi maana tayari nimeshagundua sitaendana na Lulu kabisa ni mkali Sana alafu ni mfatiliaji wa mambo ......sawa dada nimekuelewa .....vizuri Kama umenielewa.......

Nilienda kule aliko Mwaj nikakaa nae maana nyumba nilianza kuiona chungu๐Ÿ˜ฅ.......sikitu huyu Lulu ni mkorofi Sana jitahidi uendane nae ...yaan ukimkosea akakasirika anaweza kukuwasha makofi bila kujali.......tena ulivo mdogo mdogo ivo na fimbo anakucharaza๐Ÿ˜ณ.....nyie wamama iniliogopa nikaanza kupoteza furaha ghafla ๐Ÿ˜ฅ......

basically tukaandaa chakula cha mchana Mida ya Kula wote tukawa mezani ..........chakula cha Robby alipewa mtoto mkubwa wa Lulu akapeleka.....mama hivi hawa wafanyakazi wako huwa huwaambii Sheria za nyumba yako.....lulu alianzisha.......kwann mama mishely.....huyu nimekuta amevaa kinguo hakina adabu kabisa au hajui kuwa humu kuna mtoto wa kiume ......Lulu aliongea. ...huyu bado mgeni Lulu muache azoee mazingira atakuwa sawa tu.......mama lulu alinitetea .......totoo Mimi huwa nacharaza bakora Kama ukiwa mkaidi sawa......Lulu alinitishia....sawa dada nikajibu kiuoga Hadi hamu ya Kula ikaniisha๐Ÿ˜ฅ........

asante kwa chakula mama...niliaga .... Mbona kidogo hivo mwanangu sijakuzoea au dada yako amekukwaza alivosema hivo.....mara Lulu akadakia......nimemkwaza na nn mama kama Sheria za hapa zinamshinda arudi kwao au ahame kituo cha kazi......daaah๐Ÿ˜ฅ.....Robby wangu naona kabisa naenda kumpoteza .......niliwaza sana.....nilienda chumbani kwangu nikachukua kikaratasi nikaandika......Roby nitaumia Sana nikikukosa katika maisha yangu lakn navoona hii hali naelekea kukukosa.......nikakificha kwenye begi langu kile kikaratasi......nikajilaza kidogo .......hazikupita hata Dakika mbil nikaskia.....sikitu sikitu.....niliitwa ....nikatoka kufungua mlango.....mbona unaitwa hauitiki........alikuwa ni Lulu ....sikukisikia dada nisamehe ......ulisikia ila ni ujeuri Tu .....kha๐Ÿ™„ huyu dada vipi huyu yaan kafikia hata masaa matano hajamaliza tayar ananifanya nione nyumba chungu .....niliwaza ......kawaogeshe watoto uwafulie na hizo nguo zao ....sawa dada.

Nilienda kuwaogesha wale watoto kisha nikawafulia nguo zao zote......nikarudi chumbani kwangu na kuchukua simu yangu ....Robby alikuwa ameshapiga mno na kutuma msg nyingi za kuniita chumbani kwake hapo nlikua napata ahueni kuwa ninae mtetezi ๐Ÿ˜‡........mmmh tafanyaje sasa siwezi kwenda Lulu ameweka kizuizi........mama nini shida unafanya nini kimekubana hivi hadi unashindwa kupokea simu yangu.......hujaja kumuona. Masaa matatu sasa unaamani, Kama wewe unaamani Mimi sina kabisa naweza kuugua zaidi please njoo mama? .........ilikuwa ni msg kutoka Kwa Robby .......au Mwaj amekupa kazi ....hayo siyo majukumu yako jukumu lako ni moja Tu kunihudumia mimi.......ilikuwa ni msg nyingine hiyo........daaah niliishia tu kulia ๐Ÿ˜ญ sikuweza kujibu .......baadae kalikuja kale katoto kadogo chumbani kwangu......hello aunt( uncle is after you) mmmmh hata sikuelewa jmn nikabaki nimekodoa macho๐Ÿ™„ ......muda huohuo msg ikaingia ....njoo chumbani kwangu nimemtuma mtoto aje kukuita ......duuuh ๐Ÿ˜ฅ nifanyeje niende au nibaki tu na maumivu yangu.......nilijiuliza.........mmmh nikiona huu sasa ni upuuzi kumuendekeza Lulu itanigharimu.......alafu kipendacho roho hula nyama mbichi ningumu Sana kunitenga na Robby ...Lulu liwalo na liwe kwenda chumbani kwa Robby siwez kuacha ........nilijisemea Kwa ujasiri wa ajabu......niliondoka pale chumbani kijasiri Sana nikaelekea Kwa Robby๐Ÿƒ .....muda huo Lulu yupo na mama yake sebuleni wanapiga story ......

Nilimkuta Robby kakasirika Sana......Sikitu unafanya nini mama....si unajua chakula hakipandi pasipo wewe angalia hadi kimepoa ulikuwa wapi.....nikatupia jicho pembeni kweli chakula kilikuwa hakijaguswa .......duuuh๐Ÿค”....Kaka Robby Kula tafadhali ngoja nikalete chamoto ....nikajichukua kwenda kufata kile chakula ili niende jikoni nikamletee chamoto.... ...unaenda wapi unataka unitoroke tena .....njoo hapa Robby akanivuta mpaka kitandani ......sasa tutakaa wote hapa hutoki utaondoka humu ndani kesho mchana sawa........na huo mchana nitakuwa nimekuagiza ndo utapata nafasi ya kutoka hapa........Robby alinambia ......na ukicheki saa ni saa Saba mchana ....yaan nikae nae kuanzia ule muda mpaka kesho yake mchana nisitoke ......Lulu atanitafuna nyama walay akijua nipo Kwa Robby hahahahaha๐Ÿคฃ......

ITAENDELEA

FULL STORY UNAIPATA KWA KULIPIA TSH 1000
NAMBA YANGU YA WHATSAPP NA KULIPIA PIA NI 0715906120 MTANDAO YAS JINA LA USAJILI FLORA.
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

NIMEZAMA 21  >>> https://gonga94.com/semajambo/nimezama-21
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

gonga94 official track
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+
Mambo ya wakubwa hayo soma kwa uangalifu 18+

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest