Sauti hio haikuwa ya mwingine bali ya kondaaa , ndo nikashtuka na kumuangalia
Abee kaka shida nini???
Gari ishafika mwisho pingo hapaaa konda akanijibu
Ile kuangalia nnje kumbe kweli nimeshafika ni vile tu usingizi nilipitiwa
Asante kaka angu , nikaitia kisha nikajikaza kinyonge nikashukaa
Japo sikuja chalinze miaka mingi kutokana na ubize wa maishaa lakini sikupasahau hivo moja kwa moja nilianza safari hadi kwenye kijumba kangu
Nilichukua kama dakika kumi nikafikaa kwenye kijumba hikoo
Mlango ulikuwa nimeuegesha tu hivo niliupush nikaingiaa
Humo sasa🙌🙌🙌🙌nikakuta mimavi ya paka mbwaa jamanii
Nikaanza kusafishaa nikafagiaaa huku naliaaa😭😭😭😭yaani hasira zangu zote nikazirudisha sakafuni nafagiaa kwa fujo kama nina ugombi na sakafu
Baada ya muda nikamaliza usafi kisha nikaona nitoke nikasalimia majirani zanguuu
Nilienda kuwasalimiaa majirani ambao baadhi walikuwa wapya hivo tulijitambulishaa kika mmoja ,japo sikuwa vizuri kiakili ila nilijitahidi kusalimiana nao vizuri kabisaa
Hatimae usiku ukawadia hapo nina njaa ila hata hamu ya kula sinaaa
Hilo halikunipa shida kabisaaa nilijikuta nawaza sana kuhusu kulala ,sina godoro waka kitandaaa ukizingatia kuna mbu hatari maana madirisha hata nyavu hayana😭😭😭😭😭nikajikuta nalia jamani
Hadi nakuja kushtuka asubuhi sijui hata ilifikaje
Niliamka na njaa kali sanaa hivo moja kwa moja nikachukua elfu arobaini nikapanda boda boda huyoo nikaelekea hadi dukani
Palikuwa mbali hivo tulichukua lisaa lizima kufika huko kwenye kiduka maana sio dukaa🤣🤣🤣🤣
Hatimae tukafika nikashuka mie kisha nkamwabia boda anisubiri maana sio kwa umbali ulee
Nikaagiza mchele unga maharage mafuta na nyanya pia nikanunua
Basi nikafungasha kwa kiroba bodaboda akavipaki ao safari ya kurud ikaanza
Mida kama ya saa sita tukafika hadi nyumbani kwangu ,nikashuka na vitu vyangu nikachukua namba ya bodaa maana kule bila namba hutoboi si hospitali si wapi mbalii khaaaa🙌🙌🙌🙌🙌
Tuachane na hayo kwanza hapa nna njaa nsgazoea mapupu ya 500 hapa hata hakunaaa
Basi nikakoleza mkaa wangu si haba jiko tu ndo nilikuwa nalo na mkaa wa mchongooo
Nikabandika maharagee hapo naishi kwa bajeti maisha yenyewe siyaelewi elewi
Nikiwa nimekaa kaa zangu sina hili wala lilee mda huo nasubiri maharagwe yaivee
Nikasikia simu yangu inaitaa
Kuangalia alikuwa Captain jacob ambaye nilimsave "mjeda mpapule" 🤣🤣🤣🤣🙌🙌
Nikaiangaliaa ile simuuu😏😏😏😏😏😏nikafonyaaa mfyuuuuuuuu kisha nikaikataaa
Baada ya mudaa kidogo maharage yangu yakaivaa nikaanza kuyaunga huku nikichambua mchelee
Msiulize sufuria nilizipata wapi!!!!niliazima kwa jirani moyaaa si unajua mie mtu wa watu😜😜japo mjeda kaniharibia jina
Basu buana nikabanfika zangu kaubwabwa kangu safiii huku naimbaaa imbaaa
Mara tenaa simu ikaanza kuitaaa😜😜😜😜nijachungulia nikaona ni yukeyulee mavimavi anapiga wala sikupokea tena nikaona niweke vibration asinisumbue mie
Kwani mnazani aliachaaa🙌🙌🙌🙌🙌muda wote matako yalikuea yanafanya "ziziziziziziziziziziziziziz" simnajua mambo ya kiswaswa kuvibrate 🤣🤣🤣🤣
Uwiii hata sikujali sana simnajua dada kibooo sinaga dogooo mieee
Nikapakua wali wangu na maharage nikaweka upoe kisha nikazima motoo nikafanya usafi pale kisha nikakaa zangu nikanawa nianze kupiga cha mtumee
Gafla nashangaa mlango wangu unafunguliwaa na hakuwa mwengine baliii Mjeda a.k.a Captain Jacob
Khaaa hili nalo limefuata nini hapa lakini???kwanza limepajuaje hapa lakini aaaaaah mfyuuu😏😏😏😏😏nikabaki namuangalia tu hata simmaliziii mfyuu😏😏😏😏😏😏
We unahisi nitamfanyajeee huyu kinyago cha mpapuleee??
Dada nani???dada kibooooooooooooo👌👌👌👌👌👌👌👌👌
Soma mpaka mwishooo kwa sh 1000
Njoo WhatsApp 0743433005.
   
Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.