Ingia

Sema Jambo

Unsplashb
750+ Trending Pictures | Download Free Images on gonga94
  never give up harmonize

USINITANGAZE 02 ❤❤

6th Aug, 2025 Views 67


ENDELEA..........
"Karibu mtoto nikusaidie nini!?"
"Nipe ile ya kuzuia mi...mba!"
"Nini!?"
"Sijui ni nini ila kwenye lile duka wanaiuza!"
"Heeee wewe mtoto!"
Binti alitoka dukani na kwenda mpaka kwenye duka alilotoka Boke.
"Isa mambo!"
"Poa nambie!"
"Yule mtoto mbona simwelewi!"
"Mtoto yupi!?"
"Yule pale!"
Isa aliangalia alipooneshwa na kumuona Boke.
"Kumbe hako!"
"Eeeeh kamekuja dukani kwangu kanataka nikape ya kuzuia mi..mba na kameniambia hapa unauza sasa sijajua ni nini hicho"
"Achana nako tu!"
"kwanini!?"
Isa alimpa mkasa mzima ulivyokuwa na binti aliyatoa macho baada ya kusikia kuwa Boke anataka kununua ndo..mu na baada ya kuambiwa alirudi mpaka dukani kwake na kumwambia Boke kuwa hauzi ndo..mu, Boke alichukia na kuamua kuinunua pesa yake pipi za kutosha na biscuit na kuondoka.

Boke alifika mpaka kwao na kuingia ndani na kumkuta Mama yake akiwa kwenye pozi lenyewe kabisa akifanya minyanduo na Baba D.
"Heeeee!"
Mama Boke alikulupuka na kumsukuma Baba D pembeni.
"Wewe Boke ebhu toka nje huko!"
Boke hakutaka kutoka zaidi ya kuganda kama sanama akiwatumbulia macho.
"Ivi huelewi!?"
Baada ya kukazaniwa aliamua kutoka na Mama Boke aliufunga mlango na kuubana kabisa na komeo.
"Unaona sasa Baba D mimi nilikwambia twende chu...mbani!?"
"Hakijaharibika kitu hata hivyo"
Aliongea na kumge...uza Mama Boke vizuri na mchezo ukaendeleaaaa.

Nje Boke alikaa zake na kutulia akiwasubiri waweze kumaliza na baada ya mda Baba D alitoka nje na kuondoka na Boke aliingia ndani na kumuuliza mama yake.
"Mama ivi mlikuwa mnafanya nini!?"
"Swali gani hilo kwanza jiandae twende mgahawani!"
"Mmmmh!"
Boke aliguna na kuanza kujiandaa na baada ya mda walitoka na kwenda mgahawani.

Wateja wa kila aina waliingia na kutoka na baada ya mda kuna kundi la wanawake lilifika mgahawani.
"Tupe chetu mama Boke lasivyo tunabeba kila kitu"
Mama Boke alitaka kukimbia baada ya wanakikundi wenzake kufika.
"Mtakuja kesho jamani leo sina!"
"Weeeee usitutanie, leo tunabeba kila kitu hapa!"
Mwanamke mmoja aliongea na Boke aliyekuwa amekaa zake pembeni alitupa macho nje na kumuona Afande anapita.

Alitoka mbio haraka mpaka kwa asikari na baada ya mda alirudi akiwa kaongozana naye.
"Hawa hapa afande wamekuja kumletea fujo mama yangu!"
"Wewe mtoto kumbe unanuksi ivi!"
"Nuksi mama yako!"
"Unamwambia nani hivyo!?"
Alitaka kumzaba kofi Boke ila Afande alimzuia na kuwauliza kuna tatizo gani mpaka walete vulugu kwenye mgahawa wa Mama Boke?.

Walimjibu Afande kuwa wanamdai Mama Boke na amekuwa akiwachenga kila wanapotaka awalipe.
"Afande sio kwamba nawachenga kwa sasa sina pesa nimewaambia waje kesho kuchukua ila hawataki kuelewa!"
"Kwakuwa umesema mwenyewe haina shida, nyie njooni kesho mchukue pesa yenu!"
"Afende huyu ni muongo kesho hatafungua mgahawa tunamjua huyu"
"Kabisa Mama Boke anajifanyaga mjanja sana!"
"Atupe chetu kwanza mengine baadaye"
"Mbona mnakuwa wagumu kuelewa!?"
Afande alifoka kwa sauti ya juu na kidogo ilichangia kufunga midomo yao na kishingo upande walikubali kuondoka huku wakiahidi kuijia pesa yao siku inayofata.

Mama Boke alimshukuru Afande aliyemtaka afanye chochote kile ili alipe pesa ya watu na baada ya hapo Afande akaondoka.
Mama Boke kichwa kilianza kuwaka moto akiwaza pakiotoa pesa ili aweze kulipa deni la watu, Boke alimtazama mama yake na kumhurumia na Mama Boke aliongea kwa hasira.
"Kumbe ndiyo maana watu wengine wanajiuza ili wapate pesa aaaaaah!"
"Mmmh dada kujiuza tena!?"
"Kama hali ndiyo hii si bora kujiuza tu kwani inaondoka!?"
Mama Boke alimjibu Suzi mfanyakazi wake ndani ya mgahawa wake.

Boke baada ya kumsikia mama yake akisema ukijiuza unapata pesa alitoka mdogo mdogo kama vile yupo pasipo kuaga, alisogea kwenye duka mmoja kulipokuwa na mzee mmoja akiuza.
"Karibu mtoto mzuri nikusaidie nini?"
"Nimekuja kujiuza"
"Umakuja kujiuza?"
"Ndio ili nipate pesa ya kumsaidia mama"
Mzee aliduwaa na kutazama pembeni kama kutakuwa na mtu mwingine na kumjibu Boke.
"Mama ndiyo kakutuma?"
"Hajanituma mtu nimeamua mwenyewe, utanipa shingapi!"
"Mmmmh ebhu subiri hapo nje"..........ITAENDELEA..
   

X
SHARE TO SOCIAL MEDIA

USINITANGAZE 02 ❤❤  >>> https://gonga94.com/semajambo/usinitangaze-02
#Nk #gonga94 #trending #instagood #explore #viral #challenge #simulizi #hadithi #israel #iran #war 

Share on Facebook
Share on Twitter
Share on LinkedIn
Share on Pinterest
 

never give up harmonize
SIMULIZI NA SAUTI
gonga94ads - The Best Popunder Adnetwork
offa ya msimu wa nanenane
offa ya msimu wa nanenane

RATIBA YA SIMULI ZETU

Hakuna ratiba iliyopangwa kwa sasa.


Home Login Signup
Top 20 Popular Contact us
Terms & Conditions About us Latest